johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbunge wa Mvumi Mh Lusinde Kibajaji amesema Rais Samia ana roho nzuri sana ndio sababu Wamasai wanaohama kwa hiyari wanasafirishwa kwa mabasi ya kisasa.
Lusinde amesema Tanzania ni nchi yetu wote hivyo ndugu zetu Wamasai ni lazima waelewe nia njema ya Serikali yetu.
Chanzo: Star tv bungeni
Lusinde amesema Tanzania ni nchi yetu wote hivyo ndugu zetu Wamasai ni lazima waelewe nia njema ya Serikali yetu.
Chanzo: Star tv bungeni