Livingstone Lusinde: Rais Samia ana Roho nzuri sana ndio sababu Wamasai wanaohama kwa hiyari wanasafirishwa kwa mabasi mazuri

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mbunge wa Mvumi Mh Lusinde Kibajaji amesema Rais Samia ana roho nzuri sana ndio sababu Wamasai wanaohama kwa hiyari wanasafirishwa kwa mabasi ya kisasa.

Lusinde amesema Tanzania ni nchi yetu wote hivyo ndugu zetu Wamasai ni lazima waelewe nia njema ya Serikali yetu.

Chanzo: Star tv bungeni
 
20220619_122511.jpg
 
Ngoja niende kwanza kujisaidia halafu nitarudi kwaajili ya hidaya kuchangia Liuzi lako.
 
Kibajaj hata ukimuangalia usoni unagundua hana akili sio lazima aongee
 
Naye kama atakuwa tayari atasafurishwa kutoka Geita Hadi handeni Kwa basi zuri, umemkumbusha Jo?
 
Kibajaj hata ukimuangalia usoni unagundua hana akili sio lazima aongee

Ukiona yule unayedhani hana akili anaingia Bungeni kuwawakilisha wale unaodhani wana akili, ujue wale unaodhani wana akili wana sifa za kulazwa Mirembe!
 
Mbunge wa Mvumi Mh Lusinde Kibajaji amesema Rais Samia ana roho nzuri sana ndio sababu Wamasai wanaohama kwa hiyari wanasafirishwa kwa mabasi ya kisasa.

Lusinde amesema Tanzania ni nchi yetu wote hivyo ndugu zetu Wamasai ni lazima waelewe nia njema ya Serikali yetu.

Chanzo: Star tv bungeni
Ndio mwisho wa ufahamu wake
 
Kama huyo ndiyo Mbunge ana mawazo kama hayo, vipi wananchi waliomchagua.
 
Mbunge wa Mvumi Mh Lusinde Kibajaji amesema Rais Samia ana roho nzuri sana ndio sababu Wamasai wanaohama kwa hiyari wanasafirishwa kwa mabasi ya kisasa.

Lusinde amesema Tanzania ni nchi yetu wote hivyo ndugu zetu Wamasai ni lazima waelewe nia njema ya Serikali yetu.

Chanzo: Star tv bungeni
Ana akili za kitoto, kusafiri kwa basi la Kosta kwake ni maajabu!
 
Ukiona yule unayedhani hana akili anaingia Bungeni kuwawakilisha wale unaodhani wana akili, ujue wale unaodhani wana akili wana sifa za kulazwa Mirembe!

Angekuwa ameingia bungeni kwa akili ungekuwa na hoja.
 
Back
Top Bottom