Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
No Maxence lengo sio kutonyesha kidonda, bali kujulisha nyingi ya kelele dhidi ya ufisadi, ni kelele za mlango, hazimkoseshi mwenye nyumba usingizi, the bottom line ni kuwa, naamini, mwenye nchi alikuwa na maslahi binafsi kwenye hayo yote ndio maana akatia pamba masikioni.pasco 'anatushika' pabaya
Hata Chenge alipokutwa na kale ka mgao kake, alikaita "vijisenti" in a way kuwa hizi za kwangu ndio mnaona hela, hivi ni vijisenti tuu, watu "wenye nchi" wana hela. Hiyo hakuimalizia angeunguza picha.
Hata Kagoda ingestukiwa kabla fungu halijatoka pamba pia zingetiwa masikioni.
Hali ilivyo kwa Kagoda ni uthibitisho King Maker alikuwa akifanya kazi ya wakuu.