Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Kazi Kweli Kweli;
havi hakuna wasomi makini nchi hii wanaoweza wakafungua chrages bila kukosewa? Imekuwa kama mchezo wa kuigiza sasa.
I wish ningekuwa na uwezo sheria zote za kipuuzi zibadilishwe na badala yake kuweka sheria makini zinazotekelezeka hasa kwa wahujumu nchi.
FDR. jr, toka lini Liyumba ni Mseminari? Angalia Masheikh na Makasisi/wachungaji wasije wakakukomalia. Kumbuka dada zetu nao bado hawajaamua kufungua mashitaka yao!
nyambaf! Hao wadada (maCD) wafungue mashtaka kwani walibakwa?