Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
No Maxence lengo sio kutonyesha kidonda, bali kujulisha nyingi ya kelele dhidi ya ufisadi, ni kelele za mlango, hazimkoseshi mwenye nyumba usingizi, the bottom line ni kuwa, naamini, mwenye nchi alikuwa na maslahi binafsi kwenye hayo yote ndio maana akatia pamba masikioni.pasco 'anatushika' pabaya
You are right Mkulu.Makosa katika hati hutokea, sio Tanzania tu. Hapa tunazungumzia sheria na si yale tunayofikiri ndio yanakuwa sheria.
Another sad day for tanzania! but hey we kinda expected this outcome..tukubali matokeo...je ni kweli kuna watu humu waliamini liyumba na kweka wamekula 200 million $$ peke yao na kwa position walizokuwa nazo BOT?? Tukubali matokeo..busanda magogoni tumeshawapa and 2010 tutawapa kwa kishindo....
tunasubiri kesi za epa, mramba, yona kufutwa by sept 2009.
Pasco,No Maxence lengo sio kutonyesha kidonda, bali kujulisha nyingi ya kelele dhidi ya ufisadi, ni kelele za mlango, hazimkoseshi mwenye nyumba usingizi, the bottom line ni kuwa, naamini, mwenye nchi alikuwa na maslahi binafsi kwenye hayo yote ndio maana akatia pamba masikioni.
Hata Chenge alipokutwa na kale ka mgao kake, alikaita "vijisenti" in a way kuwa hizi za kwangu ndio mnaona hela, hivi ni vijisenti tuu, watu "wenye nchi" wana hela. Hiyo hakuimalizia angeunguza picha.
Hata Kagoda ingestukiwa kabla fungu halijatoka pamba pia zingetiwa masikioni.
Hali ilivyo kwa Kagoda ni uthibitisho King Maker alikuwa akifanya kazi ya wakuu.
Kama nia ni kuona yupo jela labda muwaombe hao dada zenu lakini kwa makosa hayo mengine huyo mzee alikuwa ni daraja tu la akina Balali et al. wataendelea kumlinda kwa usanii hadi hapo roho itakapo uacha mwili.
Learned brazas wa kibongo bwana!!! Kila siku nimekuwa nikisisitiza kwamba sirikali inayoongozwa na msanii lazima iwe na watendaji uchwara na makanjanja!!
Haya tuliyaona wengine toka kitambo, ni muda tu bado, hata kina Daniel Yona, Mramba et al wote watakuwa acquitted soon!!
Watabaki kina Babu seya na walalahoi wengine wasiokuwa na network za maana hapa mjini!!
Wamesharudishwa mahakamani kusomewa hati mpya sijui mashtaka yatakuwa yale yale?
Kosa gani alilokuwa naloHata kama ana makosa, bado ni Mtanzania. Hivyo ni lazima atendewe haki.