Lizer afunguka ya moyoni: Diamond alikuwa analipia nyimbo za Wasafi kupigwa Clouds

Lizer afunguka ya moyoni: Diamond alikuwa analipia nyimbo za Wasafi kupigwa Clouds

Harmonize kafubaa? Dah kuna watu huwa akitajwa Diamond,mnaanza kuwahukumu washindani wengine, Harmonize kwa maana ya numbers anafanya vizuri hajafubaa. Angalia releases, shows na mwitikio. Hauwezi weka top 5 ya wasanii wanaofanya vizuri mwaka jana na mwaka huu Tanzania jamaa asiwepo.
Saraphina ni msanii wao ana affiliation na Clouds. Ni kama Harmonize business partner wake ni Majizo ndio maana ngoma zake zinalia sana pande zile ni vile radio na msanii wote wamefubaa.
 
Wewe lizer haki zako za midundo unayotengeneza umezurumiwa Halaf unapanua domo
 
Inawezekana ikawa kweli manake Kiba ngoma yake ya Mvumo wa Radi ilipo pigiwa promo kuanzia saa kumi na mbili asubuhi mpaka saa sita usiku vipindi vyote, watu walipo anza kuuliza nakumbuka walijibiwa kwamba amelipia.

Yote kwa yote Clouds ni chombo binafsi so kina maamuzi na taratibu zake binafsi mwisho wa siku ni biashara yao na wana maamuzi yao
"Mvumo wa Radi" pamoja na promo lote lile ikaishia kuwa "mvumo wa mbu" pale anaposogelea sikioni.
 
Inawezekana ikawa kweli manake Kiba ngoma yake ya Mvumo wa Radi ilipo pigiwa promo kuanzia saa kumi na mbili asubuhi mpaka saa sita usiku vipindi vyote, watu walipo anza kuuliza nakumbuka walijibiwa kwamba amelipia.

Yote kwa yote Clouds ni chombo binafsi so kina maamuzi na taratibu zake binafsi mwisho wa siku ni biashara yao na wana maamuzi yao.
Kwa hiyo ikitokea wanapiga ngoma za Diamond na chama lake la Wasafi, nao wanalipia!?
 
Hii ni jf sio yako lazima upewe ukweli wewe nani kwani ushobokewe umekuwa demu?

Anzisha jf yako kama unataka usiambiwe ,
Kwanza hakuna mambo ya kulipia ngoma zipigwe ujinga mtupu wanatoa promo kutokana na faida ambayo kupitia kwa msanii husika wapatata hapo ndio clouds wanakuwa mabingwa wa promotion ya nyimbo huku wakichomeka matangazo yao na vitu kama concert zao kama ile chips zege sijui.

Kwahiyo kina kusah na saraphina wanalipia sio?

Kiazi wewe.
Boss mbona wewe ndo umeshoboka??

Kwani huo ukweli wako alikuomba??

Umekazania hakuna kulipia kwani
wewe ni msanii ??
Kama sio umejuaje kwamba hakuna kulipia

Afu usipende kutukana watu bila sababu za msingi nenda hoja kwa hoja maswala ya matusi sijui viazi hayana mantiki kwe mtu mwenye akili timamu
 
Chombo binafsi kinatafuta pesa hata wewe ukiwa na nyimbo lipia hata mwezi unaruhusiwa
 
Boss mbona wewe ndo umeshoboka??

Kwani huo ukweli wako alikuomba??

Umekazania hakuna kulipia kwani
wewe ni msanii ??
Kama sio umejuaje kwamba hakuna kulipia

Afu usipende kutukana watu bila sababu za msingi nenda hoja kwa hoja maswala ya matusi sijui viazi hayana mantiki kwe mtu mwenye akili timamu
Mwamba ana hasira sijui kitu gani kinamuumiza
 
Boss mbona wewe ndo umeshoboka??

Kwani huo ukweli wako alikuomba??

Umekazania hakuna kulipia kwani
wewe ni msanii ??
Kama sio umejuaje kwamba hakuna kulipia

Afu usipende kutukana watu bila sababu za msingi nenda hoja kwa hoja maswala ya matusi sijui viazi hayana mantiki kwe mtu mwenye akili timamu
Kwa haraka haraka hapa mbona na wewe umenishobokea?

Haya wewe unayejua wanalipa au hawalipi? Kama hawalipi wewe umejuaje? Wanalipa umejuaje?

Acha undezi yeyote yule ataambiwa ukweli hapa yeye ni nani asiambiwe? Hata wewe nakuchana tu kwani wewe nani?
Angalia nani aliyeanzisha kumkejeli mwenzie sio unapaparika kama maji ya maharage wewe vipi bwana..

Acha kunishonokea na kudandia treni kwa mbele
 
Harmonize kafubaa? Dah kuna watu huwa akitajwa Diamond,mnaanza kuwahukumu washindani wengine, Harmonize kwa maana ya numbers anafanya vizuri hajafubaa. Angalia releases, shows na mwitikio. Hauwezi weka top 5 ya wasanii wanaofanya vizuri mwaka jana na mwaka huu Tanzania jamaa asiwepo.
Amejaa chuki za kishamba.
 
Bila Shaka atakuwa bwana wako mpendwa wangu.......maana Kwa utumikavo utaki hata atajwe
Kwahiyo Diamondi kukulawiti ndio unadhani wanaume wote wanalawitiwa kama wewe?

Bao la baba yako limeenda bure hana mtoto hapa..
 
Umejionyesha wazi kabisa kuwa wewe mchele kabisa sasa unataka na wenzio tukufate huko?

Nooo hapana wewe kanyagwa tu.
Unasema sema diamond.......katajwa wapi?? Au Linda huna uko nyumako?? Haafu mitoto ya guest utaijua Tu ......yaani Bora MTU angepiga puli kuliko kukojolea ndani ukatoka wewe mtoto WA barmaid ........wewe na huyo bwana wako Ali kiba mnawashwa matakoni
 
Mimi nimemaliza wewe endelea na michezo yako..!
 
Back
Top Bottom