Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,682
- 5,277
Mwanaume una vimaneno vya kibarazani sasa kunishonokea ndo maana ake nini??😁😁😁Kwa haraka haraka hapa mbona na wewe umenishobokea?
Haya wewe unayejua wanalipa au hawalipi? Kama hawalipi wewe umejuaje? Wanalipa umejuaje?
Acha undezi yeyote yule ataambiwa ukweli hapa yeye ni nani asiambiwe? Hata wewe nakuchana tu kwani wewe nani?
Angalia nani aliyeanzisha kumkejeli mwenzie sio unapaparika kama maji ya maharage wewe vipi bwana..
Acha kunishonokea na kudandia treni kwa mbele