Inawezekana ikawa kweli manake Kiba ngoma yake ya Mvumo wa Radi ilipo pigiwa promo kuanzia saa kumi na mbili asubuhi mpaka saa sita usiku vipindi vyote, watu walipo anza kuuliza nakumbuka walijibiwa kwamba amelipia.
Yote kwa yote Clouds ni chombo binafsi so kina maamuzi na taratibu zake binafsi mwisho wa siku ni biashara yao na wana maamuzi yao.