Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
acha ujuaji, hujui Total waliposhindwana na Tanzania walienda kufanya huo uwekezaji Msumbiji. Samia amesema kama mradi umeshindikana ufutwe atafutwe mwekezaji mpya, miaka 6 una negotidte nini?SSH is naive, anaenda kuingiza nchi kwenye hasara kwa sababu ya ujinga wake, huwezi lazimisha negotiations iishe bila kujali nini tutapata, HGA ilikuwa inasuasua sababu ya PSA policy mpya ambayo IOCs waliona inawaminya, kwa lugha rahisi SSH anawaambia TPDC waachie chochote walichokuwa wanapigania wasaini mikataba, huu ni mkataba wa 30bn USD ( 70 trl Tzs ), haraka ni ya nini?
hakuna mkataba uliowahi kuwekwa wazi mkuu, hata hayati Magufuli mikataba mingi alificha, hayo ni mamabo ya security, kulinda maslahi ya jamuhuri na mwekezajiMkataba wa 30bn USD hauwezi wekwa wazi, kama mikataba midogo tu kama ya EACOP, Bagamoyo port wanaogopa, je huu mkataba mkubwa zaidi ya yote katika historia ya nchi yetu nani atakuwa na guts za kuuweka wazi?
Hivi hawa equinor wana nasaba gani na Pan African EnergyWe’re not going to see the LNG plant being constructed any time soon or at all! Investment in fossil fuels has had a downward trend lately as opposed to renewables which are gaining momentum. Apart from that, the costs are too high, 69 trillion TZS!!! No companies from the richest countries can afford to lose this capital.
Well said genius. Wajinga wanashangilia tu wasiyoyajua.Unaingia kwenye tactful negotiations kwa shinikizo la kiongozi katika hayo majadiliano bargaining power si tayari umeshampa mwekezaji.
nimekuambia walishindwana wakaondoka! hiyo gas itachimbwa, tatizo ni wivu tu unakusumbua sababu uko nje ya system! hakuna mkataba ambao muwekezaji hanufaiki. mtu aweke pesa zake alaffu asinufaike! ni nani hapa tanzania mwenye uwezo wa ku invest 30 usd billions? wacha watu wa lindi wainue uchumi wao!Acha ushamba Total hawajawahi fanya exploration Tz, kwa hiyo kama mkataba ni mbovu tukubali tu ili muwekezaji asiende nchi nyingine, hizi ndio akili za Rais SSH, akili za kipumbavu kabisa.
Kauli zina message nyingine ambazo azijatamkwa. Mtu aliekuwa briefed in detail hawezi kusema malizeni haraka hayo majadiliano.Mkuu huenda unachosema now nikweli lkn unahakika kwamba mama hajapewa marejesho wa hayo mazungumzo? au kama hajapewa kwanini waliokuwa kwenye timu ya majadailiano hawajasema walipofikia
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
natamani SSH aachane kwanza na project kubwa kama hizi kwanza mpaka amalize mda wake. akija mtu ambae ana balls za kusema no kama JPM ndio afanye hivi vitu.Thanks for this info. Najisikia vibaya kwa mimi kuwa ni mmoja wa pressure groups tulioshinikiza mradi huu uchelewe ni kwasababu. Sasa maadam Mama kasema majadiliano yaendelee, sisi pressure group, nasi sasa inabidi tulainike tuu, hata kama ni kuibiwa gesi yetu mchana kweupe, na tuibiwe tuu as long as at least we get something, than hali ilivyo sasa, we are getting nothing!.
Gesi asili: Is it "day light robbery?" Watanzania tunaibiwa mchana kweupe!
Wanabodi, Nimekutana na hii kitu, nimeisoma, sio tuu nimeshangaa, bali nimechoka, imeniacha hoi, ukisoma ukaona jinsi tunavyoibiwa rasilimali zetu, na wanaofanya tuibiwe, ni wenzetu tuliowapa dhamana ya kutuongoza, mtu unaweza kupata wazimu, ukarukwa na akili, ukikamata SMG, unaweza...www.jamiiforums.com
P

Hofu yako tuu kwani ni nani alikwamisha ? Unakuta ni serikaliUnaingia kwenye tactful negotiations kwa shinikizo la kiongozi katika hayo majadiliano bargaining power si tayari umeshampa mwekezaji.
Kwani hawana uwezo wa kumweleza Kiongozi kama mchakato unalipa au la!?Unaingia kwenye tactful negotiations kwa shinikizo la kiongozi katika hayo majadiliano bargaining power si tayari umeshampa mwekezaji.
Nani kakwambia hajui? Alijuaje kwamba mazungumzo yamekwama?Issue sio kuweka wazalendo kwenye majadiliano, isipokuwa nature ya majadiliano ya Oil and Gas yenyewe ni back and forth. Waganda wasingekuwa na msimamo wangepata mkataba mmbaya.
Museveni aliweka environmental conditions na project kadhaa ambazo lazima zifanyike kwanza kabla ya bomba la mafuta kujengwa, that is on top of other concession agreements.
Tullow walipoona awawezi hizo conditions mpya wakauza share zao mziki ukabaki wa CNOOC na Total wakidai awawezi fidia costs za Tullow. Ndio kilichochelewesha bomba kujengwa kwa zaidi ya miaka 5 mpaka wawekezaji wenyewe waka backup sio Museveni.
Mtu hajui majadiliano yamekwama wapi anatoka anatoa pressure tu malizeni, matokeo yake week chache baadae watu kwa kuogopa kupoteza mkate wao wanajikuta wanalazimika sasa kukutana na wawekezaji, it’s simple to see who will have the upper hand in that negotiation na mama mwenyewe sidhani ata anajua ni wapi haswa waliposhindana. Walau huko Uganda walisema tatizo lilipo kwenye media sisi kwetu siri.
Hiyo mikataba finance zake ni very complicated na hao watu wanauzoefu ukiendekeza njaa imekula kwako.
Ccm hawawezi kuweka mikataba huru mule kuna upigaji waohakuna mkataba uliowahi kuwekwa wazi mkuu, hata hayati Magufuli mikataba mingi alificha, hayo ni mamabo ya security, kulinda maslahi ya jamuhuri na mwekezaji
We Mwana Wa Mayalla,umetafasiri vipi hapa.."Majadiliano Yaendelee....?Thanks for this info. Najisikia vibaya kwa mimi kuwa ni mmoja wa pressure groups tulioshinikiza mradi huu uchelewe ni kwasababu. Sasa maadam Mama kasema majadiliano yaendelee, sisi pressure group, nasi sasa inabidi tulainike tuu, hata kama ni kuibiwa gesi yetu mchana kweupe, na tuibiwe tuu as long as at least we get something, than hali ilivyo sasa, we are getting nothing!.
Gesi asili: Is it "day light robbery?" Watanzania tunaibiwa mchana kweupe!
Wanabodi, Nimekutana na hii kitu, nimeisoma, sio tuu nimeshangaa, bali nimechoka, imeniacha hoi, ukisoma ukaona jinsi tunavyoibiwa rasilimali zetu, na wanaofanya tuibiwe, ni wenzetu tuliowapa dhamana ya kutuongoza, mtu unaweza kupata wazimu, ukarukwa na akili, ukikamata SMG, unaweza...www.jamiiforums.com
P
Kwa hiyo way forward ni ipi?Kauli zina message nyingine ambazo azijatamkwa. Mtu aliekuwa briefed in detail hawezi kusema malizeni haraka hayo majadiliano.
Kumbuka sio kwamba hao watu hawajakutana kabisa, the mere fact gharama za LNG zinaeleweka ina maana majadiliano yalishaanza.
Pili ukishatoa licence ya watu kutafuta visima (exploration) wakivipata vyenye commercial reserve wanakuwa na exclusive right za ku extract pia ndio maana hayati alituambia sasa hivi vinawenyewe, majadaliano yanabaki kwenye sehemu sita kuu; technical, commercial, environmental, social, economic and political.
Technical na commercial ndio asilimia kubwa ya mjadala na ndio source ya migogoro ya baadae it is a very complicated area inayoweza kuchukua muda kila mtu akilinda maslahi yake.
Sasa sidhani kama issue ya kusimama kwa negotiations kwa sasa ni kwa sababu watu wanadengua la hasha lazima ni kwenye kulinda maslahi maana exclusive right za kuchima zimeshauzwa tayari, kilichobaki sisi tunapata nini yakishatoka.
Sijaelewa hapa upi ni ufumbuzi sasa,kutojadili kabisa au nini kifanyike zaidi?Issue sio kuweka wazalendo kwenye majadiliano, isipokuwa nature ya majadiliano ya Oil and Gas yenyewe ni back and forth. Waganda wasingekuwa na msimamo wangepata mkataba mmbaya.
Museveni aliweka environmental conditions na project kadhaa ambazo lazima zifanyike kwanza kabla ya bomba la mafuta kujengwa, that is on top of other concession agreements.
Tullow walipoona awawezi hizo conditions mpya wakauza share zao mziki ukabaki wa CNOOC na Total wakidai awawezi fidia costs za Tullow. Ndio kilichochelewesha bomba kujengwa kwa zaidi ya miaka 5 mpaka wawekezaji wenyewe waka backup sio Museveni.
Mtu hajui majadiliano yamekwama wapi anatoka anatoa pressure tu malizeni, matokeo yake week chache baadae watu kwa kuogopa kupoteza mkate wao wanajikuta wanalazimika sasa kukutana na wawekezaji, it’s simple to see who will have the upper hand in that negotiation na mama mwenyewe sidhani ata anajua ni wapi haswa waliposhindana. Walau huko Uganda walisema tatizo lilipo kwenye media sisi kwetu siri.
Hiyo mikataba finance zake ni very complicated na hao watu wanauzoefu ukiendekeza njaa imekula kwako.
Majadiliano yoyote ni back and forth. Kama una watu wasio vilaza huwezi kuwa unafanya majadiliano kwa miaka 6. Vinginevyo hiyo timu ya majadiliano hawajui wanataka nini.
Museveni aliweka environmental conditions gani kwenye Hilo bomba la mafuta la Uganda ikiwa mabenki makubwa mengi yamekataa tena kuikopesha hiyo project kwa sababu za kimazingira na uharibifu wa maisha ya watu unaotegemewa??
Hakuna anayefahamu kitu gani kipo kwenye huo mkataba wa bomba la mafuta la Total tofauti ya Museveni, Samia na watu wao wachache, acha kutudaganya kwamba unafahamu huo mkataba utakuwa ni mzuri eti tu kwa sababu wawekezaji wameuziana mradi.
Kuwaacha watalaamu tuliowachagua na kuwaamini kusimamia majadiliano kwa kutumia negotiation tactic zao.Kwa hiyo way forward ni ipi?
Tusiwapangie watu kazi zinazohitaji mkakati kwa kulazimisha wakurupuke.Sijaelewa hapa upi ni ufumbuzi sasa,kutojadili kabisa au nini kifanyike zaidi?