Lockdown imezua mambo: Jamaa aita polisi wamuokoe toka kwa mpenziye anayetaka tendo kila muda

Lockdown imezua mambo: Jamaa aita polisi wamuokoe toka kwa mpenziye anayetaka tendo kila muda

Pole yake huyo jamaa,hii iliwahi kunikuta mimi 1995 Chuo kikuu nilikuwa na mwanamke wa Lesotho na wote tulikuwa na miaka 21 huyu dada nilimpata 1st year ,alikuwa na body kali sana ila alikuwa anapenda sex sana yaani mkilala chumba kimoja ni lazima umle mpaka tumbo linauma na yeye anachubuka ila bado ana hamu,mkienda kuoga lazima ule mzigo bafuni,mkiwa bar mnakunywa lazima akukalie mlane kwenye giza .Yaani akitosheka akilala ,akistuka usiku anakuamsha ule Mzigo.Nilikuwa napewa hela na huyu mtoto ila 2nd year baada ya semister 1 nilimuacha ili nibane muda kwakuwa shule ilianza kuwa ngumu.Wanawake wa hivi wapo na wanaitwa sexual maniac yaani hawaridhiki asilani.
 
Too much is harmful...Kuna wana tu hata ukiwaambia waguse kimoko kila siku hawawezi 🤣🤣🤣!

Sembuse hio kama dose ya chakula rakaa 5 deile. Lazma uombe poo!
😂😂 Sasa unakuta mwana dose yake ni 2 tu yani asubuhi 2, mchana 2, usiku 2 kwa mzunguko kama huu tu kwa siku 30 sio mchezo mzee wangu lazima uitepolisi au hata fire kikosi cha uwokoaji kije tu kwa msaada 😂😂😂😂 usicheze na ule mpila wa ke.
 
😂😂 Sasa unakuta mwana dose yake ni 2 tu yani asubuhi 2, mchana 2, usiku 2 kwa mzunguko kama huu tu kwa siku 30 sio mchezo mzee wangu lazima uitepolisi au hata fire kikosi cha uwokoaji kije tu kwa msaada 😂😂😂😂 usicheze na ule mpila wa ke.
Baba acha huo ni msala, hata kwa malipo lazma ukimbie hela.
 
Hili tukio angekuwa kalifanya mwanaume dunia yote ingesimama na kumrushia kila lililobaya ila kwa sababu limefanywa na mwanamke linaonekana kama utani vile.

Ila baharia katuangusha sana[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ulitaka jamaa afie kifuan[emoji3][emoji3]

stidy
 
Hiki kipindi cha Karantini tunashudia mengi jamani. Huko Italia kuna mwanaume mwenye asili ya Afrika amepiga simu polisi kuomba msaada wa kuondolewa nyumbani ili amuepuke mpenzi wake mwenye uraibu wa ngono (sex addict)

View attachment 1443635

Unaambiwa mwanamke huyo amekuwa akitaka kufanya tendo kila mara kitu ambacho kimemchosha mwanaume akaona cha kufia nini bora polisi wahusike tu hamna namna.

Hata baada ya polisi kufika eneo la tukio baado bidada alikuwa anaendelea kumsisitiza kaka waende wakafanye tendo.

Sasa mimi nipo na swali kwa wanaume wa hapa JF ambao kutwa kujinadi wao wapo vizuri, je mtiti huu mtauweza?
 
Back
Top Bottom