Lockdown Kenya-Uhuru Kenya afunga Vyuo na Shule huku akifunga njia za wanafunzi kurejea makwao

Kwa hiyo wapite angani?? Kama anawafungia njia

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hahaha, angani pia asitumie ndege, labda watumie magical infinity stones kama Thanos[emoji3][emoji3]
ila ajabu safari za Kimataifa hazijaguswa yaani wazungu na wachina na wahindi waendelee kuja na kutoka Kenya kama wanavyojiskia..
Covid-19 Madness
 
Haki wewe ni miongoni mwa wakenya wengi walio wapumbavu kupindukia, but I am not surprised if you can believe cerfews stops the spread of Corona Virus. soma comments za ndugu zako kwenye hiyo video
 
Labda awamu hii polisi wenu wataacha kukamata watu na kuwakusanya pamoja kwa makundi ili kuwauzia wasikusanyike yaani na kupunguza maambukizi ya Covid-19 [emoji3][emoji3][emoji3]
 
ndiye kiongozi kweli,huyo wenu anatoa kafara nyani yeye hapana[emoji38][emoji38].
mwenzenu alijifanya Starring eti Starring hawezi kuenda na maji, kumbe loh! nina uhakika iwapo angeshinda vita ile basi angejiita mungu kabisa.
subiri na wewe pia yakukute pengine unaweza au usiweze kuja kuleta ushuhuda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…