pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Tuibuke na mbinu zetu zipi hizo za kupambana na maambukizi ya COVID-19 zaidi ya zile zilizoafikiwa kupitia tafiti za kisayansi? Kupiga nyungu, kubugia 'chanjo' ya mix ya tangawizi na malimao au ni ile ya kufata kikombe cha DJ wa Madagascar hadi Antananarivo?So nyie mnafanya kwa kuwa nchi flan imefanya? , ningewaona smart kama mngekuja na mbinu zenu binafsi ndo tujue nani ni nani , nyie na wote mliofuata kanuni za mabeberu hali ikoje ya corona ? Did corona disappear ? Na je hizo njia zenu zimefanikiwa? YES or NO? Mnakufa kama mbuzi hamkufi?
Sasa na chanjo zote majiran zetu mmeletewa still corona seems to be a threat what’s a use? Hizo curfews mnafungiwa kama mbuzi za nini ? Sasa apo sisi na nyie nani punguani?
Jiran nakukumbusha tu , corona itawaua, curfew itawapa depression n trauma mkufe, vaccines zitawaua na mtakufa njaa mtuache sie tukidunda, tunajua tu mko na machukizo na wivu na watz, saa hii tuko out having fun nyie mko ndan mmefungiwa kama kuku , I can feel the pain bro [emoji16]
I wanted to hear all countries waliofuata WHO guidelines nchi zao ziko Free na corona au hali zao kidogo haueni ila majiran kwenu ni vilio tu na makasiriko,ni kusota tu mnasota
Na niulize ni shule gan hyo mlienda ikasema corona Ina strike after 8pm? Ni kurogwa mmerogwa au ? Mchana kote mnatembeza makalio zenu mkijua corona haipo But usiku ndo ipo , majiran ni bangi gan hyo mmeanza kuvuta Siku hizi ?
Hivi ni nani duniani ambaye ana hati miliki ya sayansi? Mbona mnalazimisha sana kutuponda kwa vitu ambavyo nyinyi wenyewe mnaojiita 'akili kubwa' hamna idea kuyahusu? Mmeibuka na nini la maana tangia janga hili lianze kutuvuruga, ili muigwe na dunia nzima ifaidi?