NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Uhuru apige total lock down kwa miezi 12 ivi itaondoa kabisa Corona Kenya,waumini wa lock down mnaonaje hii itakua imekaa sawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yamemkuta yapi?yule wenu kichwa ngumu alikataa ushauri, uliona yaliyomkuta?
Upumbavu huu, kwahivyo mmesikia kwamba maagizo aliyoyatoa yameanza kutekelezwa punde tu alipomaliza hotuba yake? Bure kabisa, watu wa sampuli yenu hii ndio mlienda shuleni kuiba miwa.
Yes, idiots like you deserve a serious and stringent Lockdown and some nonsense Curfews, as uhuru is imposing to his floaks.kwani kuingia jF skuizi hadi mashart?
Wtf,Huyo mla miraa asikupotezee muda wako.
Angalia hii picha kisha utagundua ni wapumbavu aina gani unabishana nao humu. View attachment 1735912
Naona kama hawako serious kabisa na Kirusi hiki hatarishiUhuru apige total lock down kwa miezi 12 ivi itaondoa kabisa Corona Kenya,waumini wa lock down mnaonaje hii itakua imekaa sawa?
Acha kuwaza na kinyeo, kufa kizembe? Mtu ako na heart pacer since 1990's, umbwa unasema amekufa kizembe.kila mtu atakufa dunia hii lakini inategemea utakufa kwa style gani.
sio kuja kufa kizembe namna starring wako alivyochotwa
Janga ni la kweli kwenu huko, ndio maana mmefungiwa, you saw the demo kwa msiba wa magu, kama Corona was real people would be dropping now, but it's not happening licha ya uyo mutate mpya waume zenu wanawadanganya imetokea Tz, tutaona kama ataangusha watu as u wish.Hawa jamaa walirogwa sio siri. Hata baada ya COVID-19 kupita na dikteta wao bado hawaamini kwamba janga hili ni la kweli. Yaani ni kama dejavu, wamerudi pale pale walipokuwa bila kujifunza jambo lolote! Ndio wale sikio la kufa ambalo wahenga walikuwa wanalizungumzia.
Mtasubiri sana, si tupo wote, nyinyi ndio mtapotea humu kwa kukosa hela.hawa ni maiti wanaotembea. ukiona wameanza kupotea mmoja mmoja hapa jukwaani, jua mambo tayari....
Cheki ulivyo jinga, wale wale, wapambe walinzi wake wote wapo hai na wameshiriki mazishi yake wakilinda jeneza hadi kafukiwa, they are back to other duties, meanwhile some kunyan guy swallowed the lies that they're dead.kuna picha moja niliiona kule twittani ya huyo starring na jamaa wengine watatu, sikujua kama alikua anakula kiapo au namna gani lakini imethibitishwa kuwa hao wote saa hizi wako futi sita chini ya ardhi wanaliwa na mabuu...
polepole tu mambo yanazidi kuwa mambo
Kina nani wametangulia mbele za haki.wale wote wametangulia mbele za haki,ila kutaka kudai ni corona kwa uongo wa wajinga wengine huku tz ni umasikini wa kufikiri.
corona ingefika pale juu hamna mtu angekuwa anazurula bila baracoa hap tz,sisi hatubahatishi mambo kama hapo failed state.
Walinzi wa magufuli, wapambe, mke wake, watoto wake, dereva wake, daktari wake, makamu etc, hakuna aliekufa, acha kuusambaza uzushi. Uyo nae sijui ameandika nn. Hakuna waliokufa na magu hajafa kwa Coronawametangulia mbele za haki, ndio, naona akili zako zinaanza kurudi sasa.
bado huwezi stuka tu na kujiuliza how comes, imekuaje na ni kivipi jamaa wanadondoka kwa style ambayo sio ya kawaida?
wewe huna akili kabisa, ubongo wako umejaa ubwabwa hadi unashindwa kufikiri
Huyo mla miraa ni utopolo kinoma.Huyo mla miraa asikupotezee muda wako.
Angalia hii picha kisha utagundua ni wapumbavu aina gani unabishana nao humu. View attachment 1735912
Kipindu pindu hicho, wacha wafungiwe tu sababu ni mambururaKuhara! [emoji1][emoji1]
Si vibaraka hawaMbona Laila Odinga pamoja na haya ma cufew yenu bado aliugua Covid-19? Kwahiyo angekufa mngesema ni uzembe? Afterall Wakenya ndio mnaolazimisha kutangaza eti Magufuli kafa kwa Corona. Ila sisi ukweli tunaujua
Jombaa, acha kujiaibisha kuna exemptions k.m. kwa wahudumu wa afya, polisi, trucks za long distance n.k, sasa itakuwaje wanafunzi wakatazwe kuenda makwao wakati tayari shule zimefungwa? Upo excited kuhusu nini haswa? Naona hamjajifunza hata baada ya msiba wenu wa hivi majuzi ambao ulisababishwa na hivi hivi virusi vya COVID-19. Ukimaliza kuwabeza wakenya nenda ukapige nyungu, wadosi wako wapo safarini wakifata ventilator nchini Kenya.
Kwani Kenya si wamesha pokea chanjo kutoka WHO sasa kwanini wasijichanje badala yake wanarudi katika lockdown