Lockdown Kenya-Uhuru Kenya afunga Vyuo na Shule huku akifunga njia za wanafunzi kurejea makwao

mwenzenu alijifanya Starring eti Starring hawezi kuenda na maji, kumbe loh! nina uhakika iwapo angeshinda vita ile basi angejiita mungu kabisa.
subiri na wewe pia yakukute pengine unaweza au usiweze kuja kuleta ushuhuda.

tofauti yako na mbwa unatembea miguu miwili.

umeambiwa rais amefariki kwa shambulio la moyo,mnyeo unakuwasha na corona,corona ni nini bana mpaka mnafungiana kama mbwa hapo kwenu???
 
kukosa akili ni kitu mbaya sana
Hawa jamaa walirogwa sio siri. Hata baada ya COVID-19 kupita na dikteta wao bado hawaamini kwamba janga hili ni la kweli. Yaani ni kama dejavu, wamerudi pale pale walipokuwa bila kujifunza jambo lolote! Ndio wale sikio la kufa ambalo wahenga walikuwa wanalizungumzia.
 
tofauti yako na mbwa unatembea miguu miwili.

umeambiwa rais amefariki kwa shambulio la moyo,mnyeo unakuwasha na corona,corona ni nini bana mpaka mnafungiana kama mbwa hapo kwenu???
nani ameongelea kuhusu rais au corona mbona kama unajishuku kiaina flani hivi?
ni vyema tafsida iweze kutumika kiasi hapa.
starring wako yalimkuta yaliyomkuta! maskini mtu watu aliteseka sana na wapambe wake walijaribu kufichaficha aibu, mara Nairobi mara India huku mkiaminishwa kwamba yuko fit na anachapa kazi.
kondoo kama wewe uliamini kwamba ni kweli starring anatekeleza majukumu yake.
mpaka kufikia hatma ya starring wako kuenda na maji, bado utaendelea kumuamini yule aliyekudanganya mara kwanza kwamba sasa ni shambulio la sijui nini/ mzenna na wala sio changamoto za upumuaji?
wewe ni kondoo nambari moja duniani.
 
Hawa jamaa walirogwa sio siri. Hata baada ya COVID-19 kupita na dikteta wao bado hawaamini kwamba janga hili ni la kweli. Yaani ni kama dejavu, wamerudi pale pale walipokuwa bila kujifunza jambo lolote! Ndio wale sikio la kufa ambalo wahenga walikuwa wanalizungumzia.
hawa ni maiti wanaotembea. ukiona wameanza kupotea mmoja mmoja hapa jukwaani, jua mambo tayari....
 
nani ameongelea kuhusu rais au corona mbona kama unajishuku kiaina flani hivi?
ni vyema tafsida iweze kutumika kiasi hapa.
starring wako yalimkuta yaliyomkuta! maskini mtu watu aliteseka sana na wapambe wake walijaribu kufichaficha aibu, mara Nairobi mara India huku mkiaminishwa kwamba yuko fit na anachapa kazi.
kondoo kama wewe uliamini kwamba ni kweli starring anatekeleza majukumu yake.
mpaka kufikia hatma ya starring wako kuenda na maji, bado utaendelea kumuamini yule aliyekudanganya mara kwanza kwamba sasa ni shambulio la sijui nini/ mzenna na wala sio changamoto za upumuaji?
wewe ni kondoo nambari moja duniani.

ulivyo nyani mweusi unaamini ni corona,hapo nairobi mnatibu corona sasa!!!!

kuna walinzi na mpambe wake,vipi wao corona imewaogopa au???
kanye ukaoge.
 
mwenzenu alijifanya Starring eti Starring hawezi kuenda na maji, kumbe loh! nina uhakika iwapo angeshinda vita ile basi angejiita mungu kabisa.
subiri na wewe pia yakukute pengine unaweza au usiweze kuja kuleta ushuhuda.
Wewe achana na sisi!! Hangaika na kunyaland yako sisi tunaendelea na kazi kama kawaida kwa sasa napiga bia kwenda mbele. Rais wetu Magufuli hakufa kwa Covid kama unavyosema wewe fala!
 
Hawa jamaa walirogwa sio siri. Hata baada ya COVID-19 kupita na dikteta wao bado hawaamini kwamba janga hili ni la kweli. Yaani ni kama dejavu, wamerudi pale pale walipokuwa bila kujifunza jambo lolote! Ndio wale sikio la kufa ambalo wahenga walikuwa wanalizungumzia.
Wewe una uhakika gani haswa kafa na Corona? Au hisia zako wewe na utakavyo? .. magonjwa mengine yamepotea baada ya Corona ama?
 
ulivyo nyani mweusi unaamini ni corona,hapo nairobi mnatibu corona sasa!!!!

kuna walinzi na mpambe wake,vipi wao corona imewaogopa au???
kanye ukaoge.
kuna picha moja niliiona kule twittani ya huyo starring na jamaa wengine watatu, sikujua kama alikua anakula kiapo au namna gani lakini imethibitishwa kuwa hao wote saa hizi wako futi sita chini ya ardhi wanaliwa na mabuu...
polepole tu mambo yanazidi kuwa mambo
 
kuna picha moja niliiona kule twittani ya huyo starring na jamaa wengine watatu, sikujua kama alikua anakula kiapo au namna gani lakini imethibitishwa kuwa hao wote saa hizi wako futi sita chini ya ardhi wanaliwa na ma-boo.
polepole tu mambo yanazidi kuwa mambo
Kwani wewe utaishi milele? Ni mawazo ya mbwa ndiyo anaweza kufikiria hivyo kunyaland.
 
wale wote wametangulia mbele za haki,ila kutaka kudai ni corona kwa uongo wa wajinga wengine huku tz ni umasikini wa kufikiri.

corona ingefika pale juu hamna mtu angekuwa anazurula bila baracoa hap tz,sisi hatubahatishi mambo kama hapo failed state.
 
huku lazima tutaingia vile tunavyotaka ndugu. tunaingia na kutoka kama vile tunaingia chooni na hakuna kitu mtafanya

huku mnaingia ila kuingia kwenu mashart,mpaka mpimwe kirusi cha sample za nyuma[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani wewe utaishi milele? Ni mawazo ya mbwa ndiyo anaweza kufikiria hivyo kunyaland.
nimekwambia kila mtu atakufa dunia hii lakini inategemea utakufa design gani.
starring wako alikufa ufala sana sijawai pata kuona. ningekuweko mazishini ningemnyanyua na kumpiga mtama hadi kieleweke
 
Kumbe nawasiliana na idiot?
 
Back
Top Bottom