Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 7,729
- 3,569
wametangulia mbele za haki, ndio, naona akili zako zinaanza kurudi sasa.wale wote wametangulia mbele za haki,ila kutaka kudai ni corona kwa uongo wa wajinga wengine huku tz ni umasikini wa kufikiri.
corona ingefika pale juu hamna mtu angekuwa anazurula bila baracoa hap tz,sisi hatubahatishi mambo kama hapo failed state.
bado huwezi stuka tu na kujiuliza how comes, imekuaje na ni kivipi jamaa wanadondoka kwa style ambayo sio ya kawaida?
wewe huna akili kabisa, ubongo wako umejaa ubwabwa hadi unashindwa kufikiri