warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Hawa jamaa walirogwa sio siri. Hata baada ya COVID-19 kupita na dikteta wao bado hawaamini kwamba janga hili ni la kweli. Yaani ni kama dejavu, wamerudi pale pale walipokuwa bila kujifunza jambo lolote! Ndio wale sikio la kufa ambalo wahenga walikuwa wanalizungumzia.
Sasa nyie kama mme win hiz curfew za Kila Siku za nini mnafungiwa ndan Kama mbwa ? Hizo vaccine zilizoletwa za nini if njia yenu mnaona ni bora kuliko zetu , mi Naona tu mko na mahangaiko there is nothing mmefanya kuzuia corona Naona ujinga tu mnabebwa na raisi wenyu, endeleen kuhangaika kama njiwa wasiokua na kwao, huku kwetu ni raha tu full kujiachia