Lockdown Kenya-Uhuru Kenya afunga Vyuo na Shule huku akifunga njia za wanafunzi kurejea makwao

Tuibuke na mbinu zetu zipi hizo za kupambana na maambukizi ya COVID-19 zaidi ya zile zilizoafikiwa kupitia tafiti za kisayansi? Kupiga nyungu, kubugia 'chanjo' ya mix ya tangawizi na malimao au ni ile ya kufata kikombe cha DJ wa Madagascar hadi Antananarivo?

Hivi ni nani duniani ambaye ana hati miliki ya sayansi? Mbona mnalazimisha sana kutuponda kwa vitu ambavyo nyinyi wenyewe mnaojiita 'akili kubwa' hamna idea kuyahusu? Mmeibuka na nini la maana tangia janga hili lianze kutuvuruga, ili muigwe na dunia nzima ifaidi?
 
mwenzenu alijifanya Starring eti Starring hawezi kuenda na maji, kumbe loh! nina uhakika iwapo angeshinda vita ile basi angejiita mungu kabisa.
subiri na wewe pia yakukute pengine unaweza au usiweze kuja kuleta ushuhuda.
Unaongea hivyo kana kwamba utaishi milele..

Ni heri kunyimwa Mali,kuliko kunyimwa akili
 
kila mtu atakufa dunia hii lakini inategemea utakufa kwa style gani.
sio kuja kufa kizembe namna starring wako alivyochotwa
Kifo hakina mjanja wala mzembe,mnene wala mwembamba,bright or fool,mrefu au mfupi yeyote hufa wakati wowote..unaweza ukajiona mjanja kujikinga dhidi ya covid,ukafa kwa kugongwa na bodaboda,yaani ni kifo..unaweza ukafa kwa kipindupindu au kuchomwa moto,vyote ni kifo,hakuna kifo kizuri

Utumiege akili unapojadili vitu sensitive kama hivi
 
Huko kenya watu hawafi kwa covid!??..na mlianza lini kuvaa masks??!!?..
 

Jirani kitu chenye naweza kuwashauri ni kuondoa hiyo mental slavely yenyu na kuja na mbinu zenu binafsi kujikomboa na hili janga la corona, hao mabwana zenu wazungu wenyewe bado wanasota na corona with all high technology facilities bado corona inawaua, na nyie akili zenyu fupi mkaona muwafuate na mbinu yao hiyo hiyo na nyie mnaendelea kufa kama mbwa na kufungiwa mmefungiwa

Hivi kwan hamuon kwetu tunavyoishi? Hatuna stress wala uoga n we know the fact corona ipo , hatuvai masks, hatuna curfews wala lockdown na life goes on as usual , kama tungekua tunakufa nacorona basi msiba wa maguful ungeua millions of people venye crowd ilikua ya kutosha

The entire world knows that Tz we are the baddest , corona saga imetupa heshima sana duniani ni vile tu hawataki ku acknowledge , ila we are the good example you all should learn from
 

Lalela babes , what I don’t get is , mmefuata all scientific protocols za hao wazungu na still corona bado iko strong nchjni kwenyu, hivi hamshtuki tu ? Mnatudharau kwa kuwa sie maskini ila ipo siku mtatusalimia kwa heshima mkuu, vaccines zitawaua, corona itawaua, curfew itawaua na depression na uchumi wenu utazidi kuporomoka.

Sasa kama mko na kila kitu chenye wazungu wamewapa na bado mnafungiwa na bado mnakufa what should we learn from you guys ????? Na sisi tuchukue tuendelee kufa? ,babes you seems to be smart use your common sense just a little bit
 
Huko kenya watu hawafi kwa covid!??..na mlianza lini kuvaa masks??!!?..

My boyfriend ako kenya na ni daktari Nairobi hospital , he was vaccinated na yet he was diagnosed with corona just a week ago after vaccine , Nairobi hospital yenyewe wagonjwa wamejaa hadi ICU hakuna nafasi, watu wako very ill, mnataka kutuambia nini? I know Kenya very well, nilikuja wakat wa curfew last year , ni huzun tu na mahangaiko huko , watu wanaishi kama wakimbizi, mkienda Bar ikifika 9pm mnaanza kufukuzwa kama umbwa what a shame
 
Wakenya bana,curfews na lock down zote ndio kwanza wanateketea kama mende
Acheni watu wafuate masharti huku wakifanya shughuli zao,hilo gonjwa haliondoki ni kama TB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…