Hii ndio nature ya ulimwengu kwamba lofa au mpumbavu asimiliki kitu chenye thamani.
Hata kama uvunguni mwako kuna lulu nyingi za aina tofauti, dunia ikijua tu kuwa wewe ni lofa itatumia gharama yoyote ili tu kukunyang'anya ile lulu.
Ni wakati sasa tuache kuomba utajiri kwa Mungu badala yake tuombe kikombe cha ulofa kituondoke.
Ndio maana hayati Mkapq alipenda sana kulitumia neno MALOFA. Alijua udhaifu na maana ya neno hili .
Post imekaa kimajungu majungu zaidi na kufokafoka....mwarabu ana utajiri wa kutisha kutokana na mafuta, lakini teknolojia ya kutafiti na kuyachimba ni ya mzungu, kwa hiyo kwa post yako mwarabu ni lofa.