Loh! Nimetoka Segerea wadau

Nasikia sasa ivi jela wamerahisishiwa vitu vingi,Nasikia kwa siku mnakula milo minne badala ya miwili
 
Milo 4 wakati unatakiwa utokwe jasho?
 
pamoja mkuu mapambano ya kiume.. legelege lazima wachomoe
 
Ukiwa member wa jf ujue wewe ni mfungwa mtarajiwa
Ok pole sana ila sheria tulijitungia wenyewe lazima tuziheshimu na tuwaheshimu wengine bila kuwakwazwa wala kuwakashfu na misongo yetu ya maisha na siasa!
 
Wanasema wanahitaji Lissu arudi haraka sana bongo
Dah ...ngoja arudi halafu atangaze ''kuunga mkono mkono jitihada''......mtapata taaabu sana......πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ok pole sana ila sheria tulijitungia wenyewe lazima tuziheshimu na tuwaheshimu wengine bila kuwakwazwa wala kuwakashfu na misongo yetu ya maisha na siasa!
Huo ndiyo ukweli lkn ujue hata majaji wanao zijua sheria huwa wanafungwa
 
Dah ...ngoja arudi halafu atangaze ''kuunga mkono mkono jitihada''......mtapata taaabu sana......πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Thubuutuuuuu yule thamani yake ni sawa na bomberdier 30 mtaziweza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…