Loh! Nimetoka Segerea wadau

Loh! Nimetoka Segerea wadau

Nasikia sasa ivi jela wamerahisishiwa vitu vingi,Nasikia kwa siku mnakula milo minne badala ya miwili
 
Nasikia sasa ivi jela wamerahisishiwa vitu vingi,Nasikia kwa siku mnakula milo minne badala ya miwili
Milo 4 wakati unatakiwa utokwe jasho?
 
Hodi hodi wadau na washikaji wangu hasa wale wenye uzalendo wa hali ya juu kwa taifa letu,nipo huru baada ya kuwa segerea sasa nipo tayari kuliendeleza gurudumu
Cc:salary slip
Cc:mcubic
Cc:inspector Mwala
Cc:wadau wote wa CHADEMA
Cc:wadau wote wa cuf original
Cc:wadau wote wa ACT wazalendo
Cc:wachumia tumbo wote wa lumumba
pamoja mkuu mapambano ya kiume.. legelege lazima wachomoe
 
Ukiwa member wa jf ujue wewe ni mfungwa mtarajiwa
Ok pole sana ila sheria tulijitungia wenyewe lazima tuziheshimu na tuwaheshimu wengine bila kuwakwazwa wala kuwakashfu na misongo yetu ya maisha na siasa!
 
Ok pole sana ila sheria tulijitungia wenyewe lazima tuziheshimu na tuwaheshimu wengine bila kuwakwazwa wala kuwakashfu na misongo yetu ya maisha na siasa!
Huo ndiyo ukweli lkn ujue hata majaji wanao zijua sheria huwa wanafungwa
 
Dah ...ngoja arudi halafu atangaze ''kuunga mkono mkono jitihada''......mtapata taaabu sana......😀😀😀😀
Thubuutuuuuu yule thamani yake ni sawa na bomberdier 30 mtaziweza?
 
Back
Top Bottom