Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole ndg yangu, basi mwenzio nilijua segerea kweli, ila hata hivyo pole.Mkuu Mgibeon nilikuwa segerea ya Jf nilipigwa ban ya kufa mtu
Namshukuru mungu sijawahi kuingia huko.na sitarajiiPia wanasemaga kuwa kila mtu ni mfungwa mtarajiwa
pamoja mkuu mapambano ya kiume.. legelege lazima wachomoeHodi hodi wadau na washikaji wangu hasa wale wenye uzalendo wa hali ya juu kwa taifa letu,nipo huru baada ya kuwa segerea sasa nipo tayari kuliendeleza gurudumu
Cc:salary slip
Cc:mcubic
Cc:inspector Mwala
Cc:wadau wote wa CHADEMA
Cc:wadau wote wa cuf original
Cc:wadau wote wa ACT wazalendo
Cc:wachumia tumbo wote wa lumumba
Ok pole sana ila sheria tulijitungia wenyewe lazima tuziheshimu na tuwaheshimu wengine bila kuwakwazwa wala kuwakashfu na misongo yetu ya maisha na siasa!Ukiwa member wa jf ujue wewe ni mfungwa mtarajiwa
Dah ...ngoja arudi halafu atangaze ''kuunga mkono mkono jitihada''......mtapata taaabu sana......😀😀😀😀Wanasema wanahitaji Lissu arudi haraka sana bongo
tunaendelea kama kawaidaMkuu niliku miss makombora yako kwa wazembe wote na machumia tumbo