Doooo amakweli niliyakosa pia nasikia watu wanao fuata nyayo za yuda wanaongezekaKaribu sana mkuu,huku mtaani kuna mtu anajiita jiwe,kuna mtu anatamani kuwa kiongozi wa malaika,dodoma imekuwa jiji na limeongoza mapato kuliko jiji la dar,siku hizi watu wanauza utu wao kwa vipande vya kodi.
Kuna wakiba petro na akina yudaDoooo amakweli niliyakosa pia nasikia watu wanao fuata nyayo za yuda wanaongezeka
😳😳😳Toa sababu zilizokuweka segerea inawezekana ni mpanga magogo barabarani
Hodi hodi wadau na washikaji wangu hasa wale wenye uzalendo wa hali ya juu kwa taifa letu,nipo huru baada ya kuwa segerea sasa nipo tayari kuliendeleza gurudumu
Cc: Salary Slip
Cc: mcubic
Cc: Inspector Mwala
Cc: wadau wote wa CHADEMA
Cc: wadau wote wa cuf original
Cc: wadau wote wa ACT wazalendo
Cc: wachumia tumbo wote wa lumumba
Tuwaulize mods
Karibu sana mmawia tumepambana sana kuwadhiti lumumbas na propaganda zao za kijinga.Mkuu Mgibeon nilikuwa segerea ya Jf nilipigwa ban ya kufa mtu