Loh! Nimetoka Segerea wadau

Loh! Nimetoka Segerea wadau

Karibu sana mkuu,huku mtaani kuna mtu anajiita jiwe,kuna mtu anatamani kuwa kiongozi wa malaika,dodoma imekuwa jiji na limeongoza mapato kuliko jiji la dar,siku hizi watu wanauza utu wao kwa vipande vya kodi.
Doooo amakweli niliyakosa pia nasikia watu wanao fuata nyayo za yuda wanaongezeka
 
Hodi hodi wadau na washikaji wangu hasa wale wenye uzalendo wa hali ya juu kwa taifa letu,nipo huru baada ya kuwa segerea sasa nipo tayari kuliendeleza gurudumu
Cc: Salary Slip
Cc: mcubic
Cc: Inspector Mwala
Cc: wadau wote wa CHADEMA
Cc: wadau wote wa cuf original
Cc: wadau wote wa ACT wazalendo
Cc: wachumia tumbo wote wa lumumba


Tuanzie hapa kwanza, ulifungwa kwa makosa gani?
 
Vipi hawajakutafuna nyuma?

Maana Segerea hawaachi
 
Vipi hawajakutafuna nyuma?

Maana Segerea hawaachi
Mkuu huko ni full options ukitaka mwenyewe lkn kama hutaki hulazimishwi by the way namaanisha rupango ya hapa JF
 
Unajua kuna wakati Mod anaamuka kakasirika kwanini iwe Jerry Muro tu na sio yeye? basi siku hiyo watu watapata vifungo hovyo hovyo kiwango cha Sugu
Inawezekana hiyo maana hata yeye ni mwanadamu pia
 
Karibu sana mmawia tumepambana sana kuwadhiti lumumbas na propaganda zao za kijinga.
Nashukuru sana ndugu yangu mliberali sasa nimerudi tuendelee kuwasha moto wa tipa hadi ukombozi utakapo patikana
 
Sumu ya teja, sumu ya teja, ukonga, keko,segerea!, ugali bure, ukuta bure!
 
Back
Top Bottom