Loh! Nimetoka Segerea wadau

Loh! Nimetoka Segerea wadau

Akitaja kosa lake anarudi tena jela now ni miezi 10 sio sita tena jf kutamu ha ha ha
 
Pole mkuu karibu uraiani tuendelee kuwaamsha hawa paka wa Lumumba.
 
Hongera mkuu kwa kutoka salama Segerea..hata mimi nimetoka juzi tu ingawa hatukuonana!..niliteseka mwezi mzima..maana ilikuwa ni mara yangu ya kwanza nilidhani nimeingiliwa na wasiojulikana!..kazi ipo
 
Hodi hodi wadau na washikaji wangu hasa wale wenye uzalendo wa hali ya juu kwa taifa letu,nipo huru baada ya kuwa segerea sasa nipo tayari kuliendeleza gurudumu
Cc: Salary Slip
Cc: mcubic
Cc: Inspector Mwala
Cc: wadau wote wa CHADEMA
Cc: wadau wote wa cuf original
Cc: wadau wote wa ACT wazalendo
Cc: wachumia tumbo wote wa lumumba
Mkuu pole sana

Ova
 
Hongera mkuu kwa kutoka salama Segerea..hata mimi nimetoka juzi tu ingawa hatukuonana!..niliteseka mwezi mzima..maana ilikuwa ni mara yangu ya kwanza nilidhani nimeingiliwa na wasiojulikana!..kazi ipo
Teeeeeeeh Teeeeeeeeeeh Teeeeeeeeeeh ndio kukomaa huko kiongozi
 
Back
Top Bottom