Lokole yamekukuta

Lokole yamekukuta

Ndugu zangu atakayeweka picha anitag pia aniambie huyo juma lokole ni nani
 
Mwali wangu yamemmkuta mazito Jana [emoji28]. Hivi sijui sura yake ataiweka wapi maskini , hadi shoga zake akina mama dangote wamemkana amewatia aibu , Tatizo mwali na wewe umezidi mdomo mno , Kwan unadhani watu hawajui uchafu wa mastaa wengi hapa mjini ? Wenzio wanajiheshimu ndio maana na wao mambo yao yanastiliwa, Sasa ndugu yangu na Mimi kujifanya mdomo juu juu kama side mirror ya Suzuki umeenda kumchokonoa FBI wa umbea na yamekukuta, najua unajifanya you don't care Ila deep down umefedheheka sana , maana hata wale mastaa uliokua unakaa nao karibu watakukwepa kuogopa scandal .

Dah eti kabisa unasifia dyudyu, ndio wanazengo tunajua vizur habar zako, Ila siku zote unaambiwa bora tetesi kuliko mtu aje na ushahdi, yan duh umeaibika kwa kweli hata ujifanye you don't care.

Kwenye voice ya hamisa ulivyokua unashupalia Leo yamekukuta ama kweli Mungu sio athman, kama namuona hamisa anavyo sip champagne akikucheka, maana domo alikuonjeshq tu mwanamwali na wewe ukajikuta zari , teh the loh


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mwajuma
 
Back
Top Bottom