London: Makanisa zaidi ya 500 yamefungwa na baadhi kugeuzwa misikiti, zaidi ya misikiti 500 imejengwa, Uislam unakuwa kwa spidi ya radi Ulaya

Sasa kumiliki misikiti ulaya nzima ndio nini?ulaya na Amerika hazikufika hapo kwa kusujudu na kuinama,tekinolojia ilifsnya kazi,
Mi nirifikili nyie islam,au Arab mmeweza kuwa na ma injinia wengi kule NASA,Pentagon,Homeland security,General motors,kumbe mnaenda kuinama tu,kwani uarabuni hamuinami?
 
Duh..
 
Tufanye huna clip ulizosikiliza. Mpaka hapo utakapoleta clip uliyoiskiliza na kuonesha ni dakika ya ngapi kuna uongo mimi nitahesabu kuwa umeambiwa tu na hujawahi kusikiliza. Clip ZOTE ambazo nimeshasikiliza MWENYEWE anatoa reference na zipo kama zilivyo. Waliokuhadithia wamekudanganya. Na mpaka utakapoleta video na kusema dakika ya ngapi kuna uongo hii itakuwa comment yangu ya mwisho kwenye hili!
 
Wasalimie, mtu muongo ni muongo, ukidakwa mara moja ama mbili yaweza kuwa bahati mbaya, ila unadakwa mara 10 ama 20 ukidanganya huyo mtu hana hadhi ya kutiliwa maanani na kuwekwa kundi la scholars. Nimekupa ushahidi kwamba jamaa ni muongo huo ni ushahidi tosha kwangu. Siwezi kukesha kwenye chanell yake niangalie dakika kwa dakika sababu
1. Nitakua natimiza lengo lake la kumpa Click huyo muhuni sababu anaweka title na toxic enviroment kupata clicks.
2. Tayari ameshakuwa proved ni wa kupotezewa si tu Na waisilamu hadi Dini Nyengine ikiwemo wakristo wenzake.
 
Then angalia Fact zako vizuri sababu Waisilamu wengi ambao wapo ulaya (Toa wakimbizi) ni watu ambao wana Elimu zao.

Mfano kuna meme moja inatembea mtandaoni waisilamu wapo asilimia 1 Usa ila wana Madaktari asilimia 10, kuna data Mbalimbali zinakinzana ila zote zinakubaliana Waisilamu madaktari ni around asilimia 4 mpaka 10, hii ina maanisha wana Above Average ya wataalam.

Si Usa tu Hata Uingereza Ina madkatari wengi sana waisilamu


Ndio maana unaona Huko ulaya na marekani wanapigana na uisilamu na sio waisilamu, hawawezi kuwafukuza, Majority ya wataalamu wao sio wazawa, almost nusu ya madaktari wote wa uingereza sio waingereza Halisi ni wahamiaji.
 
Inabidi mswali kwa adabu sasa...mmesikia wenye nchi wamekinukisha?
 
usimuamini mzungu kubadilika na kuingia kwenye uislam.wazungu hawana nia nzuri na uislam na kamwe hawata upenda uislam. matokeo haya ya wazungu kuingia kwenye uislam kwa kasi ,matunda yake tutayaona baada ya miaka 50.
watahakikisha uislam nao utavurugika kama ulivyovurugika ukristo.
 
Miaka 50 mbali sana...si wameshaanza kichoma misikiti huko..
 
MATOKEO YAKE KUNA MASHEKHE WA KIKE.CHEZEA MZUNGU
 
Una taarifa kwamba waislamu wenzenu huko Iraq wameruhusu kikatiba umri wa mtoto wa kike ws kuolews Ni kuanzia miaka Tisa.
Je unafikiri miskiti inavyoongezeka ulaya, umri wa kuolewa mtoto wa kike unaweza kushushwa?
 
MATOKEO YAKE KUNA MASHEKHE WA KIKE.CHEZEA MZUNGU
Lakini kweli, sijawahi kuona sheikh wa kike. Wala sijawahi kuona chuo kinachotoa cheo Cha usheikh.
Hivi naupataje usheikh, halafu sijawahi kuona sheikh fukara. Sheikh lazima awazidi wenzake kipato (go anywhere). Sheikh sio omba omba la mwisho mbona hakuna sheikh mwenye mke mmoja?
 
Umeshachokolewa mtaro na papa baada ya kubarikiwa matokeo ndio haya
Unaharisha mwanzo mwisho, pigilia kipande cha gunzi kuziba uharo
 
Inabidi mswali kwa adabu sasa...mmesikia wenye nchi wamekinukisha?

Miaka 50 mbali sana...si wameshaanza kichoma misikiti huko..
Kama ni fujo tunaziweza
mzungu anakula kichapo ndani ya pub
Leta picha ya msikiti uliochomwa?



 

Attachments

  • 1723250298550.png
    469.9 KB · Views: 0
Umeshachokolewa mtaro na papa baada ya kubarikiwa matokeo ndio haya
Unaharisha mwanzo mwisho, pigilia kipande cha gunzi kuziba uharo
Kusema sijawahi kuona sheikh wa kike Ni kosa? Mbona wako wanawake mawaziri wakuu na Sasa hivi Kamala atakua rais wa merekani.
 
Forced convertion
 
Ndio mwanzo wa kuimaliza hiyo imani.. Wazungu sio mapoyoyo kiasi hivyo wako mbele sana ya muda. Wanajua kwa hakika wanachokifanya.. Kwa maono mafupi washika dini watashangilia sana lakini hilo ni janga na anguko kuu la baadae
 
Ndio mwanzo wa kuimaliza hiyo imani.. Wazungu sio mapoyoyo kiasi hivyo wako mbele sana ya muda. Wanajua kwa hakika wanachokifanya.. Kwa maono mafupi washika dini watashangilia sana lakini hilo ni janga na anguko kuu la baadae
 
Kusema sijawahi kuona sheikh wa kike Ni kosa? Mbona wako wanawake mawaziri wakuu na Sasa hivi Kamala atakua rais wa merekani.
Kuna shehe mwenye maamuzi zaidi kuliko raisi wako?
Raisi wako ni wa jinsia gani na dini gani?
Kaa kwa kutulia mbuzi wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…