London: Makanisa zaidi ya 500 yamefungwa na baadhi kugeuzwa misikiti, zaidi ya misikiti 500 imejengwa, Uislam unakuwa kwa spidi ya radi Ulaya

Moja ya sababu kubwa watu kusilimu Ulaya kutokana ni Ukristo haujafanikiwa kuondoa maovu sugu Ktk jamii nyingi ulaya na Ulaya kushikiria rekodi chafu za mauaji, uvaaji usiofaa, unywaji, pombe, uzinzi na mmomonyoko wa maadili. Na uislamu umefanikiwa vyema kukomesha hayo na kubadisha watu kwa kiasi kikubwa kwa kuingia imani na hofu ya Mungu moyoni kuliko wengine na wngi wamejipa tumaini kuwa kuna mtu kafa kwa ajili ya dhambi zao kwa hiyo ni full bata tu.

Mfano miaka ya 60s Marekani kulikuwa na wimbi kubwa la ubaguzi wa rangi lkn cha kushangaza nguvu ya kanisa haikuwa kubwa Ktk kutokomeza hili swala ndio maana Elijah Muhammad alipokuja na Uislamu wakiharati alipata wafuasi wengi na kina Malcom X ilikuwa kwake rahisi kusilimu kutokana na kuona nchini mwake kuna uozo mwingi japo makanisa yametawala.

View attachment 2229556
Sasa kumiliki misikiti ulaya nzima ndio nini?ulaya na Amerika hazikufika hapo kwa kusujudu na kuinama,tekinolojia ilifsnya kazi,
Mi nirifikili nyie islam,au Arab mmeweza kuwa na ma injinia wengi kule NASA,Pentagon,Homeland security,General motors,kumbe mnaenda kuinama tu,kwani uarabuni hamuinami?
 
[emoji116][emoji116][emoji116]
Upo sahihi niiliisoma mahali flani [emoji116][emoji116]

VATICAN NA CHIMBUKO LA UISLAMU.

NOTE:Kwanza kabisa kwenye Qur'an kuna kisanga kimoja hivi kwamba, et mtume Muhammad alikua akipokea Qur'an kutoka kwa malaika Jibril au Gabriel ambaye nae alipokea kwa Mungu, alipokea na kutokewa maelekezo hayo akiwa kwenye Pango.

[emoji1690]Sasa ukweli mchungu ni huu kwamba, muhammad alikua akikaririshwa aya wakiwa wamejificha ndo huko pangoni, mtu huyo anae mwita Jibril au malaika Gabriel ni mtawa mwaminifu wa kanisa katoliki ambaye anaitwa Waraquah, ambaye yeye na Khadijah walikua Mabinamu. Huyu ndiye Jibril ambae alikua ana mkaririsha muhammad aya za kutungwa na Roman empire yaani Papa na cabinet yake walipotaka kuichukua Yerusalem. Alafu anaejifanya Allaj ni Papa maana yeye ndio alitoa maagiza mambo yatengenezwe na huyo Binamu yake Hadijah ndo alikua anamfundisha muhammad wakiwa sirini na kumkaririsha Qur'an, ambapo muhammad anamwita Jibril yaani malaika gabriel kupoteza Boya yaani kucheza na akili za watu kwa malengo ya kiutawala na Mind control yaani utumwa wa Fikra. Sikia na kaa katika utulivu nikuonyeshe Thamani ukiroho Wa Afrika na nguvu ya maandiko ya Wa Afrika. Miungu yao yote hayo majina ni ugigisaji wa Miungu na maandiko ya Misri ya kale Kemet. Walichukua ujuzi wetu wenyewe na kuubadili kidogo kucheza na Akili za watu. Kaa katika utulivu dawa ipenye vizuri.

Sikia, mnae muita Muhammad hata sio Muhammad, yaani wakatoliki walimuandaa tu mtu toka mda mrefu wakimfundisha cha kufanya mtu huyo alikua anaitwa "Abu al-Qaism Ahmad Ibn Abd Allah Mustafa Ala-min Ibn Abd al-Mutalib ibn Hashim" Huyu jamaa nimetaja majina yake kibao ili kuwaonyesha chimbuko lake na babu zake hakuitwa Muhammad kwa kifupu tumuite Abuu, sasa wakatoliki wakachukua Jina la mungu wa misri wa mto nile "MU- HAP- MEHT" Wakabadili kuwa "MU- HA -MED" Kisha wakampachika ABUU. Tunaenda sawa?. Unaona kilicho fanyika? Yaani Qur"an na Uislamu ni kituko cha hali ya Juu. Zile sala wanazo sali ni YOGA za kufungua Kundalini zilizofanywa na Wamisri wa kale wao wakazibadili kua Sala na ile mitindo ya kukaa na ishara za vidole na yote yanayo fanyika kwenye Sala ni Mafunzo ya kisufi ya kufungua kundali, isipo kua walialibu walipo muingiza Mungu Bandia/Fake.

Kwahiyo Muhammad ni mtu wa kutengenezwa kama Yesu ..yaani jina lake hasa ni Abuu kama nilivyo taja vizuri hapo juu, Tunaelewana?

Sasa sikia neno lenyewe "Salaat" lina maanisha "Burning Fire" yaani moto unao ungua. Hii inaendana na maana ya Kundalini ya "Serpentine Fire". Yaani moto wa nyoka. Neno la kiarabu " Salaat" linaundwa na maneno mawili "sa" na "Laat". Sa ni Maombi na Laat linatokana na neno Al-laat, mke wa Allah kwenye thiolojia ya kale ya kiarabu.

Nguvu ya Kundalini inachukuliwa kama udhihirisho wa nguvu ya Kike ya kiungu kama mke wa Ra ama mungu jua kwenye thiolojia ya misri. Yote ni nguvu ya kike inayotengeneza nguvu hai ya Kundalini na inalinganishwa na ufahamu na sasa unatujia kama mtindo wa maombi ya jua yanayoitwa " Sa-laat" "Al-laat" inahusiana na Venus na mungu mke wa misri wa sayari venus.

Hii ni sawa na kundalini kwenye chakra ya mzizi yaani Root chakra, ambayo ni chakra ya kwenye kitako cha uti wa mgongo. Chakra hiyo ya kwenye kitako au mlango wa fahamu ina kazi ya kuhifadhi nguvu ya Kundalini au nguvu ya kujamiana, (Sexual Ra) ambayo ni Libido kwa mujibu wa kanuni za saikolojia ya Sigmund Freud, maarufu kama Freudian psychoanalysis.

Elementi tano zinajipachika kwa siri kwenye salaat tano za jua yaani 'Five solar salaat' maombi ambayo waislamu wanayopaswa kufanya kila siku. Maombi hayo ama sala tano kwa hakika ni maombi ya kunyanyua nguvu ya Kundalini.

Maombi hayo matano ya waislamu ni Fajr, Dhur, 'Asr, Maghrib na 'Isha.

1. Fajr (Alfajiri) moto (Kunyanyua kwa nguvu/Nishati)

2.Dhur (Mchana) mbao (Kutanuka kwa nishati/nguvu ya kundalini)

3.'Asr (Mchana) metali (Kuimalika kwa nishati/Nguvu ya kundalini)

4.Maghrib (Machweo) maji (kuzama kwa nishati/Nguvu ya kundalini)

5/'Isha (Usiku) dunia/ardhi (nishati imara ya kundalini)

6.Nafl

7.Istikhaarah

Ingawaje kuna salaat 5 ni maombi matatu tu ama sala tatu tu zilizo idhinishwa kwenye Qur'an.

Soma mwenyewe huko Qur'an 24:58

Qur'an 2:238

Na mengineyo tutayaona huko

Ni mambo ya Kundalini Tupu waliyo kopi misri na kuyaharibu kwa kuingiza ya kwao wakachanganya kutengeneza Dini za kijini na kwa lengo kuu la Utawala na Mind Control.
Duh..
 
Utapataje uwongo wakati debate ina masaa 2 yeye ana upload clip za dakika kadhaa?

Mimi nimesha prove kutoka na Video zangu kwamba jamaa ni muongo si tu muongo kuquote vitu ambavyo havipo kwenye Uisilamu bali hata vya kwenye bible anatunga. Kama ulivyoona Video ya juu niliyoweka.

Sasa kama Mtu mpaka Vifungu Vya Bible anatunga anakuwaje Trustworthy kuaminiwa?
Tufanye huna clip ulizosikiliza. Mpaka hapo utakapoleta clip uliyoiskiliza na kuonesha ni dakika ya ngapi kuna uongo mimi nitahesabu kuwa umeambiwa tu na hujawahi kusikiliza. Clip ZOTE ambazo nimeshasikiliza MWENYEWE anatoa reference na zipo kama zilivyo. Waliokuhadithia wamekudanganya. Na mpaka utakapoleta video na kusema dakika ya ngapi kuna uongo hii itakuwa comment yangu ya mwisho kwenye hili!
 
Wasalimie, mtu muongo ni muongo, ukidakwa mara moja ama mbili yaweza kuwa bahati mbaya, ila unadakwa mara 10 ama 20 ukidanganya huyo mtu hana hadhi ya kutiliwa maanani na kuwekwa kundi la scholars. Nimekupa ushahidi kwamba jamaa ni muongo huo ni ushahidi tosha kwangu. Siwezi kukesha kwenye chanell yake niangalie dakika kwa dakika sababu
1. Nitakua natimiza lengo lake la kumpa Click huyo muhuni sababu anaweka title na toxic enviroment kupata clicks.
2. Tayari ameshakuwa proved ni wa kupotezewa si tu Na waisilamu hadi Dini Nyengine ikiwemo wakristo wenzake.
 
Sasa kumiliki misikiti ulaya nzima ndio nini?ulaya na Amerika hazikufika hapo kwa kusujudu na kuinama,tekinolojia ilifsnya kazi,
Mi nirifikili nyie islam,au Arab mmeweza kuwa na ma injinia wengi kule NASA,Pentagon,Homeland security,General motors,kumbe mnaenda kuinama tu,kwani uarabuni hamuinami?
Then angalia Fact zako vizuri sababu Waisilamu wengi ambao wapo ulaya (Toa wakimbizi) ni watu ambao wana Elimu zao.

Mfano kuna meme moja inatembea mtandaoni waisilamu wapo asilimia 1 Usa ila wana Madaktari asilimia 10, kuna data Mbalimbali zinakinzana ila zote zinakubaliana Waisilamu madaktari ni around asilimia 4 mpaka 10, hii ina maanisha wana Above Average ya wataalam.

Si Usa tu Hata Uingereza Ina madkatari wengi sana waisilamu

Ndio maana unaona Huko ulaya na marekani wanapigana na uisilamu na sio waisilamu, hawawezi kuwafukuza, Majority ya wataalamu wao sio wazawa, almost nusu ya madaktari wote wa uingereza sio waingereza Halisi ni wahamiaji.
 
Wewe unaonesha ujuha wako/ Badala ya kujadili mada iliyopo unaleta utumbo wako.

Vipi, unauma?

download.jpeg
 
Uislam ni dini ambayo inakwa kwa spidi sana ulaya, muungano ndio silaha yao kuu ukiachana na ukristo ambao kuna madhehebu mengi kama kama anglikana, Lutheran, roma, sabato, pentecost, mashahidi wa yehova, baptist, n.k shida za wapentekoste haziwahusu waroma, shida za wa moravian haiwahusu walutherani, utengano huu ndio udhaifu wa ukrisyto. kwa hapa kwetu mpakakina masanja nao wana makanisa, wanahubiri wakiwa wamevaa kata k (mlegezo)

Uislam umeanza kukuwa kwa spidi kali mno Ulaya katika hii karne ya sasa.

Katika jiji maarufu la London tokea mwaka 2001 hadi sasa makanisa zaidi ya 500 yamefungwa, sababu kuu ikiwa waumini kuacha kwenda makanisani, waumini wengi hawapendezwi na mambo ya kisasa makanisni mfano kuwatetea sana mashoga na kuwafungisha ndoa.

Kwa upande mwingine, makanisa hayo yaliyofungwa yamegeuzwa kuwa misikiti na pia misikiti zaidi ya 500 nayo imejengwa, Sababu kuu ni waislamu wengi wana bidii ya kwenda misikitini na sheria zinafatwa kwa msimamo, hali hii imechangia hata baadhi wa wale wazungu waliochoshwa na Ukristo wa kisasa wa baadhi ya makanisa kuchochea ushoga, kuhama dini na kuwa Waislamu. (kuna watu wakristo wengi ulaya wanaobadili dini kuwa Waislamu)

Inabidi mswali kwa adabu sasa...mmesikia wenye nchi wamekinukisha?
 
usimuamini mzungu kubadilika na kuingia kwenye uislam.wazungu hawana nia nzuri na uislam na kamwe hawata upenda uislam. matokeo haya ya wazungu kuingia kwenye uislam kwa kasi ,matunda yake tutayaona baada ya miaka 50.
watahakikisha uislam nao utavurugika kama ulivyovurugika ukristo.
 
Miaka 50 mbali sana...si wameshaanza kichoma misikiti huko..
 
Una taarifa kwamba waislamu wenzenu huko Iraq wameruhusu kikatiba umri wa mtoto wa kike ws kuolews Ni kuanzia miaka Tisa.
Je unafikiri miskiti inavyoongezeka ulaya, umri wa kuolewa mtoto wa kike unaweza kushushwa?
 
MATOKEO YAKE KUNA MASHEKHE WA KIKE.CHEZEA MZUNGU
Lakini kweli, sijawahi kuona sheikh wa kike. Wala sijawahi kuona chuo kinachotoa cheo Cha usheikh.
Hivi naupataje usheikh, halafu sijawahi kuona sheikh fukara. Sheikh lazima awazidi wenzake kipato (go anywhere). Sheikh sio omba omba la mwisho mbona hakuna sheikh mwenye mke mmoja?
 
Umeshachokolewa mtaro na papa baada ya kubarikiwa matokeo ndio haya
Unaharisha mwanzo mwisho, pigilia kipande cha gunzi kuziba uharo
 
Inabidi mswali kwa adabu sasa...mmesikia wenye nchi wamekinukisha?

Miaka 50 mbali sana...si wameshaanza kichoma misikiti huko..
Kama ni fujo tunaziweza
mzungu anakula kichapo ndani ya pub
Leta picha ya msikiti uliochomwa?

1723250352239.png

1723250055001.png

Attachments

  • 1723250298550.png
    1723250298550.png
    469.9 KB · Views: 0
Umeshachokolewa mtaro na papa baada ya kubarikiwa matokeo ndio haya
Unaharisha mwanzo mwisho, pigilia kipande cha gunzi kuziba uharo
Kusema sijawahi kuona sheikh wa kike Ni kosa? Mbona wako wanawake mawaziri wakuu na Sasa hivi Kamala atakua rais wa merekani.
 
Uislam ni dini ambayo inakwa kwa spidi sana ulaya, muungano ndio silaha yao kuu ukiachana na ukristo ambao kuna madhehebu mengi kama kama anglikana, Lutheran, roma, sabato, pentecost, mashahidi wa yehova, baptist, n.k shida za wapentekoste haziwahusu waroma, shida za wa moravian haiwahusu walutherani, utengano huu ndio udhaifu wa ukrisyto. kwa hapa kwetu mpakakina masanja nao wana makanisa, wanahubiri wakiwa wamevaa kata k (mlegezo)

Uislam umeanza kukuwa kwa spidi kali mno Ulaya katika hii karne ya sasa.

Katika jiji maarufu la London tokea mwaka 2001 hadi sasa makanisa zaidi ya 500 yamefungwa, sababu kuu ikiwa waumini kuacha kwenda makanisani, waumini wengi hawapendezwi na mambo ya kisasa makanisni mfano kuwatetea sana mashoga na kuwafungisha ndoa.

Kwa upande mwingine, makanisa hayo yaliyofungwa yamegeuzwa kuwa misikiti na pia misikiti zaidi ya 500 nayo imejengwa, Sababu kuu ni waislamu wengi wana bidii ya kwenda misikitini na sheria zinafatwa kwa msimamo, hali hii imechangia hata baadhi wa wale wazungu waliochoshwa na Ukristo wa kisasa wa baadhi ya makanisa kuchochea ushoga, kuhama dini na kuwa Waislamu. (kuna watu wakristo wengi ulaya wanaobadili dini kuwa Waislamu)

Forced convertion
 
Ndio mwanzo wa kuimaliza hiyo imani.. Wazungu sio mapoyoyo kiasi hivyo wako mbele sana ya muda. Wanajua kwa hakika wanachokifanya.. Kwa maono mafupi washika dini watashangilia sana lakini hilo ni janga na anguko kuu la baadae
 
Kuna shehe mwenye maamuzi zaidi kuliko raisi wako?
Raisi wako ni wa jinsia gani na dini gani?
Kaa kwa kutulia mbuzi wewe
 
Back
Top Bottom