London: Makanisa zaidi ya 500 yamefungwa na baadhi kugeuzwa misikiti, zaidi ya misikiti 500 imejengwa, Uislam unakuwa kwa spidi ya radi Ulaya

London: Makanisa zaidi ya 500 yamefungwa na baadhi kugeuzwa misikiti, zaidi ya misikiti 500 imejengwa, Uislam unakuwa kwa spidi ya radi Ulaya

Alhamdullilah......Safari hii wanakubali bila mapanga.

Jabir reported: The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said:

أُمِرْتُ أَنْ أُقَاتِلَ النَّاسَ حَتَّى يَقُولُوا لَا إِلَهَ إِلَّا اللَّهُ فَإِذَا قَالُوا لَا إِلَهَ إِلَّا اللَّهُ عَصَمُوا مِنِّي دِمَاءَهُمْ وَأَمْوَالَهُمْ إِلَّا بِحَقِّهَا وَحِسَابُهُمْ عَلَى اللَّهِ

I have been commanded to fight the people until they say there is no God but Allah, so when they say there is no God but Allah then their lives and wealth are protected from my sword, except by right of justice, and their reckoning is with Allah
 
Moja ya sababu kubwa watu kusilimu Ulaya kutokana ni Ukristo haujafanikiwa kuondoa maovu sugu Ktk jamii nyingi ulaya na Ulaya kushikiria rekodi chafu za mauaji, uvaaji usiofaa, unywaji, pombe, uzinzi na mmomonyoko wa maadili. Na uislamu umefanikiwa vyema kukomesha hayo na kubadisha watu kwa kiasi kikubwa kwa kuingia imani na hofu ya Mungu moyoni kuliko wengine na wngi wamejipa tumaini kuwa kuna mtu kafa kwa ajili ya dhambi zao kwa hiyo ni full bata tu.

Mfano miaka ya 60s Marekani kulikuwa na wimbi kubwa la ubaguzi wa rangi lkn cha kushangaza nguvu ya kanisa haikuwa kubwa Ktk kutokomeza hili swala ndio maana Elijah Muhammad alipokuja na Uislamu wakiharati alipata wafuasi wengi na kina Malcom X ilikuwa kwake rahisi kusilimu kutokana na kuona nchini mwake kuna uozo mwingi japo makanisa yametawala.

Alhamdullilah......Safari hii wanakubali bila mapanga.

Jabir reported: The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said:

أُمِرْتُ أَنْ أُقَاتِلَ النَّاسَ حَتَّى يَقُولُوا لَا إِلَهَ إِلَّا اللَّهُ فَإِذَا قَالُوا لَا إِلَهَ إِلَّا اللَّهُ عَصَمُوا مِنِّي دِمَاءَهُمْ وَأَمْوَالَهُمْ إِلَّا بِحَقِّهَا وَحِسَابُهُمْ عَلَى اللَّهِ

I have been commanded to fight the people until they say there is no God but Allah, so when they say there is no God but Allah then their lives and wealth are protected from my sword, except by right of justice, and their reckoning is with Allah
Endelea kuota, YESU ni MUNGU
 
Kama kuna siku ntakuja kukiri kuwa "Yesu sio mwana wa Mungu ila mtume wa Mungu" naifuta maishani mwangu na kabla ya kifo changu Mungu anisaidie nimwombe Mwana wa Mungu anirehemu na ananipe nafasi ya katika ufalme wake.
 
"Is he who sent the prophet with the true religion(Islam) and will make his religious triumph over other religion though the disbeliever and those who associate Allah with other things may not like it" holy Quran ch 62.

Huo unabii paka utimie, na umeanza kutomia kwa kasi hata China na Urusi uislamu unasambaa kwa kasi ya radi
 
Endelea kuota, YESU ni MUNGU
Hapa ndio tunapokwama wakristo Yesu anakuwaje Mungu?,mm dhehebu langu ni Roman Catholic ila kuna mambo huwa sikubaliani nayo,kwa mfano kwenye kitabu cha Mwanzo tunaambiwa kabisa Mungu hajazaa wala kuzaliwa alikuwepo tokea enzi,hapo hapo tena tunaambiwa Yesu ni Mungu,inakuingia akilini kweli
 
shida ya makanisa ya Ulaya wamehalalisha ndoa za jinsia moja kufungwa kanisani.
 
Kabla ya kujiuliza lengo la dini, jiulize kwanini upo duniani?

Lengo hasa la wewe kuwa duniani ni nini?

Ni coincidence tu ama Umeumbwa?
 
Hapa ndio tunapokwama wakristo Yesu anakuwaje Mungu?,mm dhehebu langu ni Roman Catholic ila kuna mambo huwa sikubaliani nayo,kwa mfano kwenye kitabu cha Mwanzo tunaambiwa kabisa Mungu hajazaa wala kuzaliwa alikuwepo tokea enzi,hapo hapo tena tunaambiwa Yesu ni Mungu,inakuingia akilini kweli
Tupa ubongo wako huo haraka umejaa uchafu mtupu.

Mnapojisifu kuwa Mungu ana uwezo wa kufanya lolote, kwanini ashindwe kuwa na mwana ilihali wewe Binadamu kakuumbia uwezo wa kuwa na mwana?

Basi huyo mungu wenu hana uwezo wowote zaidi ya blaa blaa tu.
 
Back
Top Bottom