London: Makanisa zaidi ya 500 yamefungwa na baadhi kugeuzwa misikiti, zaidi ya misikiti 500 imejengwa, Uislam unakuwa kwa spidi ya radi Ulaya

London: Makanisa zaidi ya 500 yamefungwa na baadhi kugeuzwa misikiti, zaidi ya misikiti 500 imejengwa, Uislam unakuwa kwa spidi ya radi Ulaya

...sababu kuu ikiwa waumini kuacha kwenda makanisani, waumini wengi hawapendezwi na mambo ya kisasa makanisni mfano kuwatetea sana mashoga na kuwafungisha ndoa.
hii ni propaganda tu. Huko Arusha mwalimu wa madrasa amewalawiti zaidi ya watoto 20 kwa miaka mitatu, achilia mbali ambao hawajulikani
 
Screenshot_20220519-085546.png
 
Uislam ni dini ambayo inakwa kwa spidi sana ulaya, muungano ndio silaha yao kuu ukiachana na ukristo ambao kuna madhehebu mengi kama kama anglikana, Lutheran, roma, sabato, pentecost, mashahidi wa yehova, baptist, n.k shida za wapentekoste haziwahusu waroma, shida za wa moravian haiwahusu walutherani.... utengano huu ndio udhaifu wa ukrisyto. kwa hapa kwetu mpakakina masanja nao wana makanisa, wanahubiri wakiwa wamevaa kata k (mlegezo)

Uislam umeanza kukuwa kwa spidi kali mno Ulaya katika hii karne ya sasa

Katika jiji maarufu la London tokea mwaka 2001 hadi sasa makanisa zaidi ya 500 yamefungwa, sababu kuu ikiwa waumini kuacha kwenda makanisani, waumini wengi hawapendezwi na mambo ya kisasa makanisni mfano kuwatetea sana mashoga na kuwafungisha ndoa.

Kwa upande mwingine, makanisa hayo yaliyofungwa yamegeuzwa kuwa misikiti na pia misikiti zaidi ya 500 nayo imejengwa, Sababu kuu ni waislamu wengi wana bidii ya kwenda misikitini na sheria zinafatwa kwa msimamo, hali hii imechangia hata baadhi wa wale wazungu waliochoshwa na ukristo wa kisasa wa baadhi ya makanisa kuchochea ushoga, kuhama dini na kuwa waislamu. (kuna watu wakristo wengi ulaya wanaobadili dini kuwa waislamu)


Idadi ya waislamu inaongeza Ulaya kwa sababu wahamiaji wengi toka Syria, Afghanistan, Libya na Afrika Magharibi wamehamia huko. Wazungu wenyeji awahami dini ya Kiislamu kwa spidi hiyo. Wazungu wengi hasa wa Ulaya hawaendi makanisani/ misikitini kwasababu sayansi imeshika hatamu. Sayansi ukiuliza swali lazima upate jibu. Dini zote ni imani- wakati mwingine inabidi ukubali tu bila kuuliza maswali ya kibinadamu.
 
Hawatafanikia, damu ya Yesu inatenda mema !!
 
Habari hii ni uwongo mwingine tena, umetumia video za YouTube kujenga hoja yako na wazembe wamekuunga mkono bila kujiridhisha na chanzo cha tarifa yenyewe, hebu soma articles hizi ujue ukweli
 
Habari hii ni uwongo mwingine tena, umetumia video za YouTube kujenga hoja yako na wazembe wamekuunga mkono bila kujiridhisha na chanzo cha tarifa yenyewe, hebu soma articles hizi ujue ukweli
 
kutwaa kupambana kufanya comparison mara sijui makanisa yamebomolew imejengwa misikiti, mara sijui nani amesilimu..wakati msikiti ukigeuzwa kanisa hio kwa wakristo sio habari....
Una mfano wa msikiti wowote uliogeuzwa kanisa kwa sababu ya waumini kuacha Uislam..?
 
Mimi naona uislamu ni dini ya mapambano yani wao kutwaa kupambana kufanya comparison mara sijui makanisa yamebomolew imejengwa misikiti, mara sijui nani amesilimu..wakati msikiti ukigeuzwa kanisa hio kwa wakristo sio habari....
Kwani hapo kuna ubaya gani? Wanapenda dini yao sio wanafiki kabisa
 
Wanaokoka ni wakristo wenzenu kwa asilimia kubwa na waisilamu kidogo sana wenye tamaa ya maisha ya Dunia. Uisilamu haumuhubiri mtu sijui kuwa na maisha mazuri,nyumba au gari.Uisilamu unahubiri pepo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba utapewa mabikira 70
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni kwanini wazungu na waarabu walihubiri dini zao (uislam na ukristo) kwa watumwa waliowateka na kuwasafirisha kwa majahazi kwenda kutumikishwa kwenye mashamba, ila bado kila ijumaa na Jumapili mwenye watumwa huita mchungaji au sheikh waje shambani kuwahubiria neno la Mungu?

Na wakawa wanabase sana kwenye mahubiri ya ngamia kupenya tundu la sindano, kwamba kuna furaha mbinguni baada ya mateso yao, kwamba heshimu mamlaka (mmliki wako) nk.?
Nitaongelea dini yangu ya uisilamu.

1. Mtume alikuwa jangwani haku kuwa na mashamba huko. Na una Ushahidi wa Sheikh kuhubiria watumwa Mashambani?

2.uisilamu ulikuja Afrika immediately, baada ya wafuasi wa mtume Kuteswa, wakaja Ethiopia/Aksum kwa mfalme Najash,wakaomba msaada Na kupewa Hifadhi, mpaka Leo Kuna Ushahidi wa msikiti Unaoelekea Jerusalem ina maana Uisilamu Afrika ulienea Hata kabla ya Nchi Nyengine za Arabuni.

3.Na Uisilamu hauhubiri umasikini. Kipindi uisilamu Unaongoza Dunia Africa ilikua hivi
-mtu Tajiri zaidi Duniani Mansa Musa alipatikana, Alikuwa ni Kiongozi Muisilamu na Empire yake pengine ni kubwa kupata Kutoke Africa.
-Nchi nyingi za Ki Africa zilikuwa Vizuri kielimu refer Timbuktu, walikuwa Advanced kwenye Architect, mathematics na Field myengine

Kiufupi Afrika ilikua Juu at that time, Empire kama Aksum ilitawala mpaka Nchi za Nje ya Africa, Trade routes zikaenda mpaka Yemen hadi Iran
 
Back
Top Bottom