hii ni propaganda tu. Huko Arusha mwalimu wa madrasa amewalawiti zaidi ya watoto 20 kwa miaka mitatu, achilia mbali ambao hawajulikani...sababu kuu ikiwa waumini kuacha kwenda makanisani, waumini wengi hawapendezwi na mambo ya kisasa makanisni mfano kuwatetea sana mashoga na kuwafungisha ndoa.
Sasa mbona mlitokwa povu kwa Diamond kushuti wimbo wake ndani ya jengo?Tatizo mnahangaika na majengo...YESU/ MUNGU anakaa rohoni mwa watu..
Ikimaanisha kuwa mwanadamu ni hekalu la YESU/MUNGU
Nifundishe andiko yeye mwenyew akijiita ni munguEndelea kuota, YESU ni MUNGU
Watapita Kama wanaaga maiti hapa
Idadi ya waislamu inaongeza Ulaya kwa sababu wahamiaji wengi toka Syria, Afghanistan, Libya na Afrika Magharibi wamehamia huko. Wazungu wenyeji awahami dini ya Kiislamu kwa spidi hiyo. Wazungu wengi hasa wa Ulaya hawaendi makanisani/ misikitini kwasababu sayansi imeshika hatamu. Sayansi ukiuliza swali lazima upate jibu. Dini zote ni imani- wakati mwingine inabidi ukubali tu bila kuuliza maswali ya kibinadamu.Uislam ni dini ambayo inakwa kwa spidi sana ulaya, muungano ndio silaha yao kuu ukiachana na ukristo ambao kuna madhehebu mengi kama kama anglikana, Lutheran, roma, sabato, pentecost, mashahidi wa yehova, baptist, n.k shida za wapentekoste haziwahusu waroma, shida za wa moravian haiwahusu walutherani.... utengano huu ndio udhaifu wa ukrisyto. kwa hapa kwetu mpakakina masanja nao wana makanisa, wanahubiri wakiwa wamevaa kata k (mlegezo)
Uislam umeanza kukuwa kwa spidi kali mno Ulaya katika hii karne ya sasa
Katika jiji maarufu la London tokea mwaka 2001 hadi sasa makanisa zaidi ya 500 yamefungwa, sababu kuu ikiwa waumini kuacha kwenda makanisani, waumini wengi hawapendezwi na mambo ya kisasa makanisni mfano kuwatetea sana mashoga na kuwafungisha ndoa.
Kwa upande mwingine, makanisa hayo yaliyofungwa yamegeuzwa kuwa misikiti na pia misikiti zaidi ya 500 nayo imejengwa, Sababu kuu ni waislamu wengi wana bidii ya kwenda misikitini na sheria zinafatwa kwa msimamo, hali hii imechangia hata baadhi wa wale wazungu waliochoshwa na ukristo wa kisasa wa baadhi ya makanisa kuchochea ushoga, kuhama dini na kuwa waislamu. (kuna watu wakristo wengi ulaya wanaobadili dini kuwa waislamu)
Una mfano wa msikiti wowote uliogeuzwa kanisa kwa sababu ya waumini kuacha Uislam..?kutwaa kupambana kufanya comparison mara sijui makanisa yamebomolew imejengwa misikiti, mara sijui nani amesilimu..wakati msikiti ukigeuzwa kanisa hio kwa wakristo sio habari....
Kwani hapo kuna ubaya gani? Wanapenda dini yao sio wanafiki kabisaMimi naona uislamu ni dini ya mapambano yani wao kutwaa kupambana kufanya comparison mara sijui makanisa yamebomolew imejengwa misikiti, mara sijui nani amesilimu..wakati msikiti ukigeuzwa kanisa hio kwa wakristo sio habari....
Ukishajua inakusaidia nin, kwanin waislamu mnakua sana obsessed ya kuwa majority Kuna lengo baya nyuma yake sio bureUna mfano wa msikiti wowote uliogeuzwa kanisa kwa sababu ya waumini kuacha Uislam..?
Aisee, watu wana roho ngumu kweli kweli, yaani unahamia Uislam [emoji848]Huyu apa Youtuber na Traveler maarufu Uingereza Jay Palfey naye ameshasilim
View attachment 2229412
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaokoka ni wakristo wenzenu kwa asilimia kubwa na waisilamu kidogo sana wenye tamaa ya maisha ya Dunia. Uisilamu haumuhubiri mtu sijui kuwa na maisha mazuri,nyumba au gari.Uisilamu unahubiri pepo
Basata ni wakristu? Au na wewe ndiyo wale waleSasa mbona mlitokwa povu kwa Diamond kushuti wimbo wake ndani ya jengo?
Siwaongelei Basata bali nawaongelea member wa humu waliokua wakimtukana Diamond,Basata ni wakristu? Au na wewe ndiyo wale wale
Nitaongelea dini yangu ya uisilamu.Ni kwanini wazungu na waarabu walihubiri dini zao (uislam na ukristo) kwa watumwa waliowateka na kuwasafirisha kwa majahazi kwenda kutumikishwa kwenye mashamba, ila bado kila ijumaa na Jumapili mwenye watumwa huita mchungaji au sheikh waje shambani kuwahubiria neno la Mungu?
Na wakawa wanabase sana kwenye mahubiri ya ngamia kupenya tundu la sindano, kwamba kuna furaha mbinguni baada ya mateso yao, kwamba heshimu mamlaka (mmliki wako) nk.?
Mifano ya kazi gani wakati hakuna anaeshugulika na hayo mambo...Una mfano wa msikiti wowote uliogeuzwa kanisa kwa sababu ya waumini kuacha Uislam..?