London: Makanisa zaidi ya 500 yamefungwa na baadhi kugeuzwa misikiti, zaidi ya misikiti 500 imejengwa, Uislam unakuwa kwa spidi ya radi Ulaya

Wanaokoka ni wakristo wenzenu kwa asilimia kubwa na waisilamu kidogo sana wenye tamaa ya maisha ya Dunia. Uisilamu haumuhubiri mtu sijui kuwa na maisha mazuri,nyumba au gari.Uisilamu unahubiri pepo
Pepo na majini na mapepo yaliyomwasi mungu?
 
Kumbe ndo Mana mwamposa anawakomba waislamu wengi wamekristika wengi.
 
Mtume alieneza dini yake kwa upanga, sio kwamba alikuwa anajilinda. Tukiachana nae; Mapapa wa Vatican walikuwa wana miliki watumwa openly kabisa..., hao ni wakuu wa dini ya wakatoliki
Nimeshakuambia mimi ni muisilamu maswali ya Wakristo waulize wenyewe Na Papa ni viongozi wa madhehebu Kuna Wakristo kibao hawaamini papa

Pia uisilamu haujaenea Kwa upanga. Kasome Historia ya Dini usibase Hoja zako Kwa kusikia sikia tu. Mtume kavamiwa sana na Washirikina wa Mecca na Alipoenda kuichukua Mecca hakumwaga damu na Aliwaachia wote Huru.

Mtume alikuwa anapigwa hadi kanzu yake inajaa Damu yote, ila Jibreel alikuwa akimuomba Ruhusa Awaangamize hao watu na Mtume alikataa na kuwasamehe.
 
Hakuna watu mapimbi kama waeslamu na Wakristo wanaokinzana humu af sana sana waislam inaonekana mnashinda sana vijiweni kudanganyana kwamba dini yenu ndio bora zaidi kumbe wote hamna kitu si ukristu si uislam wote una advantage na disagvantage
 
Hiyo dini ilienezwa kwa upanga, hilo si la kujadili. Lengo la hizi dini ni nini?
 
Unaweza kuthibitisha huyo Mungu tasa asiyezaa kuwa yupo?
Yeah,Je Huoni Ngamia Alivyoumbwa Na Mbingu Ilivoinuliwa na Ardhi Ilotandazwa Na Milima Ilovosimamishwa Na Mathubiti Kwa Hakika Yuko Ambaye ameviweka Kwa Makadirio Yaliyo sawa Wala Hawezi Fananishwa Na Kiumbe chochte Katika Sifa Zake Njema
 
Hakuna watu mapimbi kama waeslamu na Wakristo wanaokinzana humu af sana sana waislam inaonekana mnashinda sana vijiweni kudanganyana kwamba dini yenu ndio bora zaidi kumbe wote hamna kitu si ukristu si uislam wote una advantage na disagvantage
Hakuna disadvantages,disadvantages Zipo Kwa Wale Wanaotaka Ishi maisha Wanayotaka Wao Wanaona Kama Dini Imewabana.Kwa hakika Kama Wasipobadilika Basi Moto Ndo Makazi Yao.
 
Yeah,Je Huoni Ngamia Alivyoumbwa Na Mbingu Ilivoinuliwa na Ardhi Ilotandazwa Na Milima Ilovosimamishwa Na Mathubiti Kwa Hakika Yuko Ambaye ameviweka Kwa Makadirio Yaliyo sawa Wala Hawezi Fananishwa Na Kiumbe chochte Katika Sifa Zake Njema
Maelezo ya kusema ngamia aliumbwa yalifaa kumpa yule anayeamini katika dhana ya uumbaji

Thibitisha huyo Mungu tasa asiyezaa yupo
 
harmo na mond hivi nao wako kundi gani na ile + yao sikioni?
 
Hiyo dini ilienezwa kwa upanga, hilo si la kujadili. Lengo la hizi dini ni nini?
Nimekuuliza huko Nyuma lengo lako la kuwepo hapa Duniani ni nini?

Kama unahisi kuna sababu ya wewe kuwepo Duniani basi Dini ndio muongozo wako kukamilisha hilo lengo la uwepo wako. Dini ni muongozo wa maisha Toka unapoamka mpaka unaporudi tena kulala, Toka unapozaliwa hadi utakapokufa.

Lete huo ushahidi imeenezwa kwa upanga,
 
Moja ya sababu kubwa watu kusilimu Ulaya kutokana ni Ukristo haujafanikiwa kuondoa maovu sugu Ktk jamii nyingi ulaya na Ulaya kushikiria rekodi chafu za mauaji, uvaaji usiofaa, unywaji, pombe, uzinzi na mmomonyoko wa maadili.
A lie. Kasome historia. Wakati wa uamsho kwenye nchi za ulaya magereza yalikuwaje na crime rate ilikuwaje. Achana na hizi stori kama kweli unataka kutoa hukumu ya haki.

Kilichoiua ulaya na Marekani ni humanism, ikianzia kwa ukatibu na Mapinduzi ya Ufaransa.

Najua kizazi cha sasa ni wavivu wa historia ila hakuna mbadala kwenye mada kama hizi. Hizi nchi mnazodai za Kikristo hata ile falsafa ya Kikristo zilikwishaipa mgongo miaka mingi sana kama majority philosophy.

Wakristo kwenye hizo nchi wanapata taabu kwa muda mrefu sasa.

Sema kwa sababu mjadala ni wa mihemko, tunaweza ku ignore facts na kuonesha "dini yetu inakua kwa kasi kwa kubadili makanisa... blah blah"
Na uislamu umefanikiwa vyema kukomesha hayo na kubadisha watu kwa kiasi kikubwa kwa kuingia imani na hofu ya Mungu moyoni
Na wale mashoga wanaouawa kila wakati Saudia na Iran ni wako nchi za Kikristo au Kipagani?

Uislam ungekuwa umefanikiwa kukomesha kwa kiasi unachokisema basi Afaghanistan, Pakistan, Iran na Saudia zingekuwa mbingu ndogo.

kuliko wengine na wngi wamejipa tumaini kuwa kuna mtu kafa kwa ajili ya dhambi zao kwa hiyo ni full bata tu.
Kama huo ndio unaujua kama Ukristo basi nakuhurumia. Inaonekana hata ABC za Ukristo huna.
Kweli uko empty kichwani kwenye suala la historia. Ungelijua kuwa abolitionists wote walikuwa Wakristo na ni wao walisababisha kuondolewa kwa utumwa ambao ilikuwa ni ultimate type ya ubaguzi ungenyamaza kimya tu.

Watu waliopambana kupinga ubaguzi kwa Martin Luther na wenzake walikuwa waislam?

Elijah na Nation of Islam unawajua na wanachosimamia? Misingi yake unaijua na kuikubali? Au kwa sababu kuna neno Islam basi umeruka nao?

Jifunze historia kabla hujaleta data za kihistoria. Na kabla hujaikosoa dini basi angalau jitahidi ujue inafundisha nini, ili makosoo yako yasiwe ucheshi!
 
Ungesoma vizuri nikichokiandika hayo mengine wala usingepata tabu ya kuniquote .Sijaonyesha kwenye andiko langu kwamba nakubali Elijah Muhammad alikuwa anahubiri Uislamu ndio maana nikaweka"Uislamu wa kiharakati" dhamira yangu kumtaja nikuonyesha jinsi gani watu wengi walivyokuwa na shauku ya mabadiliko kwa kuona hawapoi Ktk imani na njia ya sawa na ndio maana alivyokuja na sera kwamba uislamu ni dini ya watu weusi na kuwakomboa wao alipata wafuasi wengi sababu wengi waliona ukiristo haukufanikiwa kuwakomboa na walihisi kama dini ya wazungu sasa kama waliona kama unawatosheleza na haina dosari mbona NOI ilikuwa kwa haraka sana na wafuasi kuongezeka kila mahali .

Umeshauri jambo zuri la kusoma kwanza kisha kuja na hukumu ya haki .Hili jambo ulilolitaja ni kubwa sana na laiti members wote tungekuwa tunafanya hivyo basi mijadala mingine isingefika mbali na isengekuwepo kwani hata kwenye mijadala ya humu wenzako wengi wanakuja na habari za upotoshaji na uzushi au kikundi fulani na kuhusisha na Uislamu bila kufanya research yeyote ile na kila siku tunawasisitiza hili suala mfano tukio la kuchomwa mtu moto kuna member mkristo alianzisha uzi huku ukiwa na heading"Mwanafunzi achomwa moto kwa kuteleza sheria ya Uislamu" cha ajabu hakuweke hiko kufungu kinachoruhusu hivyo.

Historia nimeisoma na najua wapo wakisto wengi waliokuwa wanaharakati dhidi ya ubaguzi wa rangi na hakuna mahali nilipopinga ila nilichogusia kuwa kule kulikuwa makanisa yametawala lakini hawakuwa na ushawahi mkubwa kuhusu kukemea kadhia hiyo na nyinginezo kiasi ambacho kupelekea mambo hayo kutawala.
 
Mimi naona uislamu ni dini ya mapambano yani wao kutwaa kupambana kufanya comparison mara sijui makanisa yamebomolew imejengwa misikiti, mara sijui nani amesilimu..wakati msikiti ukigeuzwa kanisa hio kwa wakristo sio habari....
Wasaidia kwa kuwapa video kama hii za viongozi wao wenyewe...


Hizi wanaosema ni viongozi wa dini so tunakuwa na uhakika hawadanganyi

Na zingine kama hizi







 
Wenzenu wanapofunga makanisa msiwaone wajinga washajua ukweli kuwa habari za Mungu ni upimbi

Wajanja washa sanuka nyie mnakwama wapi ebu Shtukeni na nyie
,[emoji16][emoji23]
 

Baruch Spinoza aliweza kuelezea kila nilichokihisi kwa ufasaha kabisa. Kwamba ‘nature’ na kile kinachoitwa ‘mungu’ ni one and the same. ‘Mungu’ au ‘Nature’ huendesha kila kitu, tangua mwanzo kabisa (Big bang) kwa kutumia ‘manifestations’ zake, nazo si zingine bali ni ‘force of gravity’, ‘nuclear (sub-atomic) forces’ , ‘Electromagnetic forces’. Hii unaweza kuita ndio mikono ya ‘Mungu/ nature’. Kupitia mikono yake hii, anaumba na kuendesha kila kitu, kuanzia protoni , neutroni na elektroni ndogo kabisa ndani ya atomu hadi Kwa vitu vikubwa kama sayari, nyota na ‘galaxies’.

‘Mungu’ au ‘Nature’ hana ufahamu, bali nature ni kama mkondo, hufuata njia yake ‘nature always takes its course’. Kama maji yakayeyushwa na kuwa mawingu, kisha wingu hilo likafikia uzito unaostahili, basi ‘force of gravity’ itayashusha kurudi ardhini, na pasingekuwa na namna nyingine yeyote zaidi ya mvua hiyo kunyesha. Wapo watakaosema ‘Mungu’ kaleta mvua, wako sahihi, maana ‘Nature ndiye ‘Mungu’ mwenyewe, na ‘it was a necessary course of nature’ it could not have happened any other way, na haikuwa a concious decision of some supernatural being anywhere, the forces of nature were there, and hence it was always going to happen. Thus my next point.

Nature punishes and rewards naturally, go against nature (God) and you shall be punished naturally, follow the natural course (God’s way) and you shall be rewarded naturally ( not intelligently nor conciously. Nakupa mfano hapo chini..

Ukifanya mapenzi kinyume na maumbile (against nature/ God) basi utapata madhara ya kufumuka marinda na kupata haja kubwa mfululizo, kuoza , infection nk. , hivyo hiyo ni a ‘natural’ punishment for behaving against ‘nature / God’ ; halikadhalika, ukifanya mapemzi kwa utaratibu wa asili (natural way / God’s way) utakuwa rewarded naturally, utapata ujauzito, utazaa kwa uchumgu ili uheshimu kile kiumbe na ukitunze, maana maumivu yake ni makali sana, that is nature’s way of making you take extreme care of the baby, considering the pain, lakini pia unakuwa rewarded na furaha ya ajabu naada ya yale maumivu baada ya kumuona yule mtoto, that is nature’s reward.

Mifano ipo lukuki. Hence forth, no amount of prayer or fasting is ever going to change (miraculously) what was always going to happen, nature will always take its course. What i mean is , huwezi kumwagia mwanamke shahawa zako kwenye njia ya haja ukubwa (going against nature /God) halafu kesho yake wote muende kwa Mwamposa mkafanye maombi na kifinga ili mshuke mimba, nature will always take its course, what will happen was always going to hapoen as the ‘forces of nature / God’ were always going to dictate. Its like a ‘Domino effect’, already predesign set of mechanisms put together, and from the get go, they were always going to behave as pre-designed. So to pray ‘for a miracle, is absurd, because it is tatamount to asking God /nature to go against himself, its nonsensical, hence RELIGION IS UTTER NONSENSE/ UTTER MADNESS!!!!!! BUT PLACEBO IS REAL, na kwa kiwango kikubwa dini zinafaida ya ku-act kama Placebo kwa wale wenye matatizo, na ukiamini kitu, unakuwa na uwezekano mkubwa wa kufanikisha, ‘naturally’ na sio ‘miraculously’.

Now, on the question of why we exist, it is what we call ‘ A self defeating question’, because our existance ‘is a necessity of nature’s / God’s existance’; we are part and parcel of God / nature, we are part of God, hence we are infact Gods in bit by bit perspective. Asking why we exist is tatamount to asking ‘Why Does God exist?’ Can you ask such a question. Or, can you ask your self who created ‘God / nature’? Then who created the creator of Nature /God’, the we find our selves helplessly in the realm of infinity, and have no doubt, a finite mind can’t even begin to ponder about infinity, it is surely ‘FUTILE’.

The wise know this, and have decided to come up with ‘DINI’ to Scammingly quench the thirst for the knowledge of incomprehensible infinity by finites. All just for dominance, control, power, wealth ,pleasure, success and what not, poor idiots, unknowingly, brainwashed, fall into the trap of the wise. But i blame you NOT, because it was always God’s / Nature unconcious plan that you become a follower of a SCAM.
 
So kama sisi tumekuja na dini hebu nijibu maswali yafuatayo.

1. Huyo aliekuja na Dini kama Scam alijuaje mambo ya Future? Alijuaje science advanced miaka 1400 iliopita? Nitakupa mifano ya Vitu alivyotabiri mtume ama kuvielezea miaka hio.

-Mtume anasema Hakutasimama kiama kabla ya wachunga Mbuzi na ngamia ambao wanatembea pekupeku Mabedui wa jangwani watashindana kujenga Majengo marefu Duniani, leo hii maeneo waliyokua wakikaa mabedui Ndio Kuna majengo marefu duniani, wanashindana Tu Dubai na Saudia na Bado mengine yanajengwa alijuaje Mtume?

-Quran inasema miaka 1400 iliopita Viumbe hai vyote vimeumbwa na maji, hii imekuwa Confirmed baada ya Microscope kugunduliwa.

-Quran inasema Chuma si Material ya Hapa Duniani ni Material yameletwa tu, Ipo confirmed sasa hivi Meteor ilipiga Duniani na kuleta Chuma.

-Quran Imeelezea Vizuri sana suala la Embrology kuanzia manii mpaka Mtoto anapoform, Kajuaje Muhammad (S.A.W) MIAKA 1400 iliopita?

-Quran inaelezea Milima kama misumari, hivi karibuni imegundulika Milima ni kama Misumari, Tunachokiona juu ni nusu tu na Mlima unaingia Deep Ardhini.

-Pain receptors kuwa kwenye ngozi, for long time ilijulikana pain inatokana na ubongo, hivi karibuni imegundulika pain receptors zipo kwenye ngozi, imeelezewa kwenye Quran 1400 years ago

-quran inasema Kuongea Uongo ni Functiona inayotokea kwenye paji la uso, imekuwa Confirmed Karibuni part ya mbele ya ubongo ndio uongo unapotokea

-hii bing bang theory imeelezewa kwenye Quran

Kuna Facts kibao mtume amezitaja amejuaje? Miaka 1400 iliopita katikati ya jangwa? Ingekua ni fact moja ungesema labda ni coincidence ila kuna mamia ya facts.

Na yote 9, Kumi Mwenyez mungu ametoa Challenge kama kuna mtu anfikiri Quran Haijatoka kwa mungu basi ajaribu kutengeza hata Sura moja tu kama Quran, miaka 1400 sasa na Hakuna aliefanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…