FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
So kama sisi tumekuja na dini hebu nijibu maswali yafuatayo.
1. Huyo aliekuja na Dini kama Scam alijuaje mambo ya Future? Alijuaje science advanced miaka 1400 iliopita? Nitakupa mifano ya Vitu alivyotabiri mtume ama kuvielezea miaka hio.
-Mtume anasema Hakutasimama kiama kabla ya wachunga Mbuzi na ngamia ambao wanatembea pekupeku Mabedui wa jangwani watashindana kujenga Majengo marefu Duniani, leo hii maeneo waliyokua wakikaa mabedui Ndio Kuna majengo marefu duniani, wanashindana Tu Dubai na Saudia na Bado mengine yanajengwa alijuaje Mtume?
-Quran inasema miaka 1400 iliopita Viumbe hai vyote vimeumbwa na maji, hii imekuwa Confirmed baada ya Microscope kugunduliwa.
-Quran inasema Chuma si Material ya Hapa Duniani ni Material yameletwa tu, Ipo confirmed sasa hivi Meteor ilipiga Duniani na kuleta Chuma.
-Quran Imeelezea Vizuri sana suala la Embrology kuanzia manii mpaka Mtoto anapoform, Kajuaje Muhammad (S.A.W) MIAKA 1400 iliopita?
-Quran inaelezea Milima kama misumari, hivi karibuni imegundulika Milima ni kama Misumari, Tunachokiona juu ni nusu tu na Mlima unaingia Deep Ardhini.
-Pain receptors kuwa kwenye ngozi, for long time ilijulikana pain inatokana na ubongo, hivi karibuni imegundulika pain receptors zipo kwenye ngozi, imeelezewa kwenye Quran 1400 years ago
-quran inasema Kuongea Uongo ni Functiona inayotokea kwenye paji la uso, imekuwa Confirmed Karibuni part ya mbele ya ubongo ndio uongo unapotokea
-hii bing bang theory imeelezewa kwenye Quran
Kuna Facts kibao mtume amezitaja amejuaje? Miaka 1400 iliopita katikati ya jangwa? Ingekua ni fact moja ungesema labda ni coincidence ila kuna mamia ya facts.
Na yote 9, Kumi Mwenyez mungu ametoa Challenge kama kuna mtu anfikiri Quran Haijatoka kwa mungu basi ajaribu kutengeza hata Sura moja tu kama Quran, miaka 1400 sasa na Hakuna aliefanikiwa.
Akifanya mzungu inaitwa 'Teknolojia', akifanya Mwafrika inaitwa 'Uchawi', kwanini inakuwa hivi lakini?
Binafsi naamini 'Uchawi' ni teknolojia usiyoijua. Teknolojia yeyote kama huielewi ni 'Uchawi'. Fikiria enzi za Yesu uende na smartphone uanze kupiga watu picha au uanze kupiga video call , hapo hapo utadakwa na kuchomwa moto na Kanisa kwa shutuma za uchawi. Ni kama wale waliosema Dunia haipo...
Huo uzi hapo juu utakusaidia sana katika hiyo mishangao yako, kwamba huyu mtu alijuaje? Is it a coincidence, how did this guy have knowledge that was before his time, au alibahatisha au ilikuwaje?!
Nasisitiza tena, โUchawiโ au โmiraclesโ (tricks) kama baadhi ya wachungaji matapeli hapa mjini wanavyopenda kuziita ni โteknolojiaโ usiyoijua. โTeknolojiaโ ukishapata ujuzi wake tu, basi inaacha kuwa โuchawiโ na badala yake inabadilika na kuwa โknowledge / maarifaโ.
Nikupe mfano mmoja, assume umeweza kurudishwa nyuma hadi katika kipindi cha Yesu ukiwa na hiyo smartphone yako, halafu katika kipindi ambacho yesu anafanya โmiujizaโ ya kugeuza maji kuwa pombe, na wewe uanze kurekodi watu video kisha uanze kuwaonyesha, kati ya yesu na wewe mwenye smartphone, nani ataanza kusijudiwa kama Messiah? Obviously watakusujudia wewe kama si kukuone a wivu na kukuita mchawi, utasulubiwa kwa mijeledi na kutundikwa msalabani kwa kosa la UCHAWI. ila watu hawa wengejua inner working za hiyo smartphone, hakuna ambae angediriki kumuita mchawi, hakuna! โUchawiโ ni โteknolojiaโ usiyoijua, ukishaijua inaacha kuwa โuchawiโ na inakuwa โteknolojiaโ kama zilivyo nyingine tulizozizoea. Nakupa mfano mwingine...
Hapa juzi juzi ROBERT HERIEL alifanya precise prediction ya kwamba tarehe 22 march katika siku ya equinox , mvua kubwa zitaanza kunyesha, na kweli hiyo siku mvua zilianza kupiga kweli kweli. Robert angeamua kujifanya ana nguvu supernatural mbele ya IDIOTS, angeweza kusema kwamba tarehe 22 march ataiamrisha mvua inyeshe, kumbe tayari ana knowledge ya inner workings za geograpgical โforces of nature / Godโ katika siku ya equinox ambapo tarehe hiyo jua hulikaribia sana dunia, kwa mtu ambae hana ujuzi huu anaweza akaingia mkenge na kumuita Robert mchawi, lakini kwa watu wenye ujuzi wa teknolojia hiyo hatuoni cha ajabu. Tunafahamu kwamba it was a necessary โcourse of nature / Godโ and it would not have happened in any other way, no amount of prayer or fasting was ever going to change the unconcious event of nature / God.
Similarly, wapo wengi walioweza kuwa na maarifa ambayo wengine hawakuwa nayo, na wakayatumia kuji-Glorify na kutafuta โSujuduโ toka kwa binadamu wenzao, wapo wengi, akina mfalme Suleiman, akina Yesu, akina Muhammad na hata hawa wazungu wa sasa, wana Ujuzi mkubwa sana wanaotuficha, lengo ni kupata Wealth, power, reverence, pleasure, leisure , โGodlinessโ and what not. Illimuniatis or the so called โthe Illuminatedโ wana maarifa mengi sana wanayotuficha, lengo ni โDominanceโ over all others, its human nature / God given attributes to crave for all that, na hakuna wa kumlamu, ndivyo tulivyo.
Only a knowledgeable wise person can come up with โDINIโ, Hawa watu ni extraordinary, watau kama akina Muhammad hawakuwa watu wa kawaida, only now tunayaona hayo maarifa kama vitu vya kawaida, ila kwa huu ujuzi tulionao sasa, mtu akienda nao miaka ya akina Yesu, ataabudiwa kama Mungu. โMiujizaโ ni maarifa usiyoyajua, period. Nature / God unconsiously bestowed wisdom over them and what was to happen was always going to happen, no amount of prayer will ever change anything that is to happen.
DINI IS A SCAM created by the knowledgeable for purposes that i have put forth. Hivi bila kuonyesha uwezo wake huo,hivi kuna mtu angemkubalia yeye na wafuasi wake waoe wake 7? ,considering it is against a womanโs nature /God given nature kushare mwanaume? Ila wanakubali kwa sababu ya ile reverrance iliyotokana na uwezo wake โulioonekana kuwa wa ajabuโ; hivyo wakajinufaisha na kujifaidisha matamanio yao ya kimwili, DINI imefanikisha mengi sana kwa waliozomiliki, ikiwemo POLITICAL influence, na hata ECONOMIC DOMINANCE, unafikiri Hijja kule MECCA ni biashara ya nani? Wanaingiza Trillioni ngapi kila mwaka?
Mecca yaumbuka: Siri kubwa yafichuliwa!
Kwa wale mtakaokumbuka lile sakata la rushwa katika kinyang'anyiro cha kugombea kuwa mwenyeji wa michuano ya kombe la Dunia la mwaka 2022 ambapo Qatar ilishinda, mtaona ni kwa jinsi gani michuano hii ilivyo na manufaa na faida kubwa sana kwa nchi mwenyeji kutokana na wageni wengi sana kuja na...