Lonely Me...... Nimefiwa na baba yangu

Pole kwa msiba
Mungu akutangulie katika safari yako
na akutie nguvu.
 
Ooooh! pole dear Buji, its such a loss. May his soul RIP
 
Pole sana Buji... Mungu amlaze pema Baba Mdogo...........
 
Pole sana Mkuu. Mungu akupe nguvu wakati huu wa kipindi kigumu.
 
Pole sana mkuu,tuko pamoja kwenye kwenye kipindi hiki kigumu cha majonzi.
 
Pole sana bujibuji. Nakutakia safari njema ya kwenda na kurudi Usukumani. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
 
Pole Buji , safiri salama na Mungu ailaze roho ya marehemu Baba mahali pema.
 
Pole blaza buji, nashukuru unakoenda si unyakyusana, si unajua misiba yao inavyokuwaga?
 
Pole sana Bujibuji kwa kuondokewa na mpendwa wako, tuko pamoja nawe na tunakuombea heri usafiri salama.

Pamoja na masikitiko hayo, nakuomba next time usijaribu kutabiri kifo cha mtu yeyote. Sorry kama kuna mtu nitakuwa nimemkwaza kwa hili.
 

Kakak Bujibuji pole sana MUNGU akupoze machungu.
RIP Baba

Buji safari njema na uzike salama.
 
Mkuu pole sana na hayo ndio maisha ambayo binadamu sote twapitia
 
buji mwaya pole sana mpendwa,dog gvz an god taks jinalake libarikiwe!
 
Pole sana Bujibuji,kifo ni hatua ya mwisho ya maisha binadamu yoyote.Jisikie myenye amani.Mungu anakupenda.Safiri salama ukianza safari ya kwenye mazishi na uturudie salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…