"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

Dar to Mwanza!! Watu weweeeee🤣🤣🤣
 
Hadi ukayaandika humu, hii inaweza kuwa na ukweli 100%🤣🤣🤣

Imekuwaje huyu mwamba ukampa moyo wote namna hii, huogopi? Nijulishwe tu mambo yakigaribika, huwa nina taaluma ya kutuliza mioyo iliyovunjika🤣🤣🤣
Unataka yagaribike? Shindwaaaaa...
Ndiyoooo...hii ni ukweli ukweliii...Kekue nimekamatika Wallah😀

Ni vile tu anavyonijua nilivyo..Hii inaweza kuwa sababu ya yeye kuchukua ushindi wa mezani kirahisi sana😅...
Imagine hadi wakati mwingine tukiwa tunaongea anamsemo wake ataniambia" si ninakujua"
 
Pole Mkuu, ila hadi hapo ulipoandika inaonesha ulimshinda shetani na kazi zake zote 🤗
 
Mkuu,
Huyu ni mke wangu, ana tabia ya kunisema vibaya ili nisipendwe na wengine🤣🤣🤣 ila kiuhalisia nimechanganya sura ya baba na mama, nimechukua urefu wa wajaluo na wapare...🤣
Hawa viumbe mission zao ni kutuangamiza tuu😁
 
Kula mema ya dunia Maki, mapenzi yana dunia yake special na huwa haielezeki kirahisi, sema ukitupwa toka huko kuja huku tulipo, tutaftane🤣🤣🤣
 
Nini kilitokea mkuu😁
Fikiria unafanya kazi na jinsia tofauti. Mnaandaa taarifa za siku nzima mpaka ziishe ndio mnaondoka vinginevyo hakuna kutoka. Nilichofanya nikamwambia yeye awe anatoka saa kumi na moja jioni mimi nibaki nimalize kazi lengo lilikuwa niepuke hatari kumbe naye alikuwa na yake kichwani.
 
Kwiiiisha habari yako kabisa 🤣🤣🤣🤣
 
Kula mema ya dunia Maki, mapenzi yana dunia yake special na huwa haielezeki kirahisi, sema ukitupwa toka huko kuja huku tulipo, tutaftane🤣🤣🤣
Kabisa Shem Bae....
Kupenda na kupendwa ni raha sana...

Huo mstari wa mwisho yaani kwamba nini?....Ushindweeee😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…