La Roche
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 215
- 406
No comment 😂Hatujui kupenda, kudekeza, kuwekana? Hatujui???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No comment 😂Hatujui kupenda, kudekeza, kuwekana? Hatujui???
Dar to Mwanza!! Watu weweeeee🤣🤣🤣Mkuu acha tuu, ukiwa financially stable haina shida sasa hapa bado najitafuta, ninavyoandika hapa yupo arusha kwao katoka dar last week lengo lake anifate mwanza kunisalimia nikiangalia bado mambo hayajakaa sawa akija atachoma mtaji yani nawaza acha kabis. Nimem'miss sana na ninatamani aje ila ndio hivyo, ashaanza kulalamika hapa anadai nishapata mtu mwingine.
Unataka yagaribike? Shindwaaaaa...Hadi ukayaandika humu, hii inaweza kuwa na ukweli 100%🤣🤣🤣
Imekuwaje huyu mwamba ukampa moyo wote namna hii, huogopi? Nijulishwe tu mambo yakigaribika, huwa nina taaluma ya kutuliza mioyo iliyovunjika🤣🤣🤣
Pole Mkuu, ila hadi hapo ulipoandika inaonesha ulimshinda shetani na kazi zake zote 🤗Mkuu hata kama kuna kiapo cha ndoa distance marriage ni hatari sana. Binafsi niliwahi kuhamishwa kikazi kwenda mkoa X umbali wa 1200km kutoka mkoa Z familia yangu ilipo. Nafika kituo cha kazi nakabidhiwa mama wa makamo wa umri wangu ndio nifanye naye kazi mpaka over time saa nne usiku. Mkuu nilikuwa nasafiri kila bada ya wiki mbili kuja kuona familia nakaa siku nne narudi kazini ili kukwepa hatari kulingana na yule mama alivyo na mazingira ya kazi yalivyo lakini haikuwa rahisi kwa nguvu za kibinadamu..... .....
Si unanisema hapa kila siku wewe?Kwani wewe mfupi bebi?🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣Wapare huu mwaka mmeandamwa siyo poaAchana nae huyu,🤣🤣 kwani wapare wote wafupi mkuu?
Hawa viumbe mission zao ni kutuangamiza tuu😁Mkuu,
Huyu ni mke wangu, ana tabia ya kunisema vibaya ili nisipendwe na wengine🤣🤣🤣 ila kiuhalisia nimechanganya sura ya baba na mama, nimechukua urefu wa wajaluo na wapare...🤣
Kula mema ya dunia Maki, mapenzi yana dunia yake special na huwa haielezeki kirahisi, sema ukitupwa toka huko kuja huku tulipo, tutaftane🤣🤣🤣Unataka yagaribike? Shindwaaaaa...
Ndiyoooo...hii ni ukweli ukweliii...Kekue nimekamatika Wallah😀
Ni vile tu anavyonijua nilivyo..Hii inaweza kuwa sababu ya yeye kuchukua ushindi wa mezani kirahisi sana😅...
Imagine hadi wakati mwingine tukiwa tunaongea anamsemo wake ataniambia" si ninakujua"
Fikiria unafanya kazi na jinsia tofauti. Mnaandaa taarifa za siku nzima mpaka ziishe ndio mnaondoka vinginevyo hakuna kutoka. Nilichofanya nikamwambia yeye awe anatoka saa kumi na moja jioni mimi nibaki nimalize kazi lengo lilikuwa niepuke hatari kumbe naye alikuwa na yake kichwani.Nini kilitokea mkuu😁
Toa jihu linaloeleweka La Roche, tunataka kuwakata vilimi wanaotusema vibaya🤣🤣🤣No comment 😂
Kwiiiisha habari yako kabisa 🤣🤣🤣🤣Unataka yagaribike? Shindwaaaaa...
Ndiyoooo...hii ni ukweli ukweliii...Kekue nimekamatika Wallah😀
Ni vile tu anavyonijua nilivyo..Hii inaweza kuwa sababu ya yeye kuchukua ushindi wa mezani kirahisi sana😅...
Imagine hadi wakati mwingine tukiwa tunaongea anamsemo wake ataniambia" si ninakujua"
Kabisa Shem Bae....Kula mema ya dunia Maki, mapenzi yana dunia yake special na huwa haielezeki kirahisi, sema ukitupwa toka huko kuja huku tulipo, tutaftane🤣🤣🤣
Yaani, tuna roho mbaya, tunanyima wageni chakula, hatujali wapenzi wetu....hatuna jema kwa waja.🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wapare huu mwaka mmeandamwa siyo poa
Mniombeee....huyu siyo mimi...Kwiiiisha habari yako kabisa 🤣🤣🤣🤣
Kwanini mkuu?Yohimbe bark saivi unajitafuta mtavumiliana Haina shida hata 10yrs mtadumu ila ukijipata mtashindwa kuishi pamoja Kwa mwaka moja