"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

Ninachoamini my one and only kainitunzia mimi tuu wala hachepuki huko aliko kaniambia, na mwezi wa 10 anaileta mwanza mazima. Uzi ufungwe.
 
Sipendi kuongelea mambo yaliyokwisha ila haikuwa hivyo, yaliyopita hivi sasa mwaka umeisha ilhali huyu nimesema tunakaribia mwaka.

Kila zama na kitabu chake.
Dada unapendaga vibaya sana ,Ila mwisho wa siku ni kutendwa tu.
Raha mwanaume akupende sio mwanamke kuwa kama unavyofanyaga
 
Back
Top Bottom