"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

Inawezekana lakini huko nilipo lazima niwe na demu nazagamua sio nikae mwaka bila kumsasambua mtu sio kweli, imezida sana miezi miwili
 
Huwezi toboa kwenye uhalisia mdogo wangu, muda ni jambo muhimu sana, mpe muda shemeji... we mpe muda tu, muda una majibu mengi ya maswali tunayojiuliza kila siku.
Mapenzi ya kweli bado yapo mkuu
 
Back
Top Bottom