Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,160
- 5,728
- Thread starter
- #561
Ninachoamini my one and only kainitunzia mimi tuu wala hachepuki huko aliko kaniambia, na mwezi wa 10 anaileta mwanza mazima. Uzi ufungwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Umepata presha wew kuwa na amani watu huvumilia sana ila tumepigwa na vitu vizito 😀😀km mnapendana mtafika tu
Ninachoamini my one and only kainitunzia mimi tuu wala hachepuki huko aliko kaniambia, na mwezi wa 10 anaileta mwanza mazima. Uzi ufungwe.
Kwa comment hii nishajua unashape namba 8😁Si kheri nyie wengine tunaambulia kukuta vichupi tu na brazia za wageni ukiicheck haikutoshi alaf sio mpya Yan kapata slim bby girl 🤣🤣🤣
Tatizo vishawishi vingi mwisho wa siku anaweza kuchoka, sema fresh nishajiandaa kwa lolote.Atavumilia wanaume ndo Huwa maranying wanaharibu ila wanawake tunavumilia sana had mwaka ni kawaida tu
Wao ndo wanatufundishaga ugumegumeAtavumilia wanaume ndo Huwa maranying wanaharibu ila wanawake tunavumilia sana had mwaka ni kawaida tu
Ungekuja na walaka wa yohana mbatizaji hapa.Hata yangu yangefeli ningekandia tena mngejuta wanaume wote,
Hua tunateleza mtuvumilie tuuWao ndo wanatufundishaga ugumegume
Kabisa yaani Hawa ndio wanatufunza roho ngumuWao ndo wanatufundishaga ugumegume
Dada unapendaga vibaya sana ,Ila mwisho wa siku ni kutendwa tu.Sipendi kuongelea mambo yaliyokwisha ila haikuwa hivyo, yaliyopita hivi sasa mwaka umeisha ilhali huyu nimesema tunakaribia mwaka.
Kila zama na kitabu chake.
Utajua hujui 😂Mkuu unanipigia nini?
Na sie tunatelezaga tuvumiliane ndo maana hata kwenye mada yako hii malalamiko yako potepoteHua tunateleza mtuvumilie tuu
sawa lakin nyie mpk shetani anawaogopaNa sie tunatelezaga tuvumiliane ndo maana hata kwenye mada yako hii malalamiko yako potepote
My dear, mbona sijawahi kutendwa jamani? Even so, we shida yako ni nini?Dada unapendaga vibaya sana ,Ila mwisho wa siku ni kutendwa tu.
Raha mwanaume akupende sio mwanamke kuwa kama unavyofanyaga
🤣🤣🤣yani mngekomaUngekuja na walaka wa yohana mbatizaji hapa.
Bila kuonana wala sex?Miaka miwili..