"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

Babu naona unapigilia msumali wa mwisho kwenye jeneza sasa, mimi na mkwe wako tunapendana aisee๐Ÿ˜
Kwa Dunia ya sasa ni ngumu sana mahusiano ya mbali yakadumu. Labda iwe kama mlishakula viapo vya Ndoa

Lakini kama ni Uchumba wa kuitana baby baby nina uhakika wa asilimia 85 ya hayo mahusiano kutofika mbali

Hebu fikiria mpenzi wako ana magroup ya Whatsapp kama 7 hivi, yakiwemo yale ambayo wanatumiana nudes ambazo zinaweza kumfanya atamani kulalwa ama kumlala mtu.

Halafu wewe unajifanya Mwamba Kwa kumpigisha nudes video calls ama sex chats ambazo zitamfanya awe wet

Yaani hapo akikutana na fine boy yeyote anamtunuku tunda ๐Ÿ˜œ
 
Ngoja nimwambie nayeye akizidiwa apige selfie kidogo aisee, maana kumegewa kusikie tuu. Naona ananitumia sms za kunimiss sana hadi naogopa.
 
Babu naomba utoke kwenye uzi wangu please.
 
Ngoja nimwambie nayeye akizidiwa apige selfie kidogo aisee, maana kumegewa kusikie tuu. Naona ananitumia sms za kunimiss sana hadi naogopa.
Ajipige selfie, aoge maji baridi, akande punani yake kwa maji ya uvuguvugu kwenye mwaka na nusu mwili utazoea hizo genye zitapungua kasi,

Huu ndo muda unatakiwa ukaze mawasiliano sana hata akiingia toilet mpigie, video call, ukaribu wa kinawasiliano utamsaidia kuona unamjali na akili yake iwe kwako tu, ukilegea tu wahuni watamgonga kwa kutumia genye zako, kifuatacho ni majuto

Kama hamna ulazima sishauri mapenzi ya mbali mtaishia kulaumiana tu
 
Tatizo lingine yupo daslamu hapo ndio nachoka kabisa, ila tutafika tuu. Shukrani.
 
Hapana bro, pisi kali kukaa peke yake karibu mwaka mzima ujue probability ya kutokusaliti ni ndogo, kibaya zaidi ae anakutegemea financially kwa kiasi flani.

Wao wenyewe huwa wanajua huyo mwanaume huko aliko ana mtu cause they know wanaume wanapenda kuzagamua.

Mi siamini sana kwenye hizi mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ