"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

Sasa imagine ERoni ni kulishwa makande tu na pesa hakuna, uwii ikitoka ni ya kilio cha huzuni. Unamuangaliaaa unabaki kujisemea "kweli uchawi upo"!!!
Ngoja kwanza, kuna kamzigo napeleka mtaa wa Narung'ombe nipate walau ya mihogo leo. Ila wewe na Makiwendo ni pesa tu, vingine mnatoa kwa ratiba 🤣🤣🤣🏃🏃🏃
 
Yaani mjinga ndio atateseka Kwa Ajili ya mwanamke na hiyo ni Kwa sababu mtu hujielewi.

Fanya Mawasiliano lakini less expectation na atafute mtu mwingine huku Mawasiliano yakiendelea vinginevyo itkula Kwa mtu.
Hapa kidogo nimekuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…