Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Sie hatucheat kabisaaaa🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sie hatucheat kabisaaaa🤣🤣🤣
Mkuu hata kama kuna kiapo cha ndoa distance marriage ni hatari sana. Binafsi niliwahi kuhamishwa kikazi kwenda mkoa X umbali wa 1200km kutoka mkoa Z familia yangu ilipo. Nafika kituo cha kazi nakabidhiwa mama wa makamo wa umri wangu ndio nifanye naye kazi mpaka over time saa nne usiku. Mkuu nilikuwa nasafiri kila bada ya wiki mbili kuja kuona familia nakaa siku nne narudi kazini ili kukwepa hatari kulingana na yule mama alivyo na mazingira ya kazi yalivyo lakini haikuwa rahisi kwa nguvu za kibinadamu..... .....Kwa Dunia ya sasa ni ngumu sana mahusiano ya mbali yakadumu. Labda iwe kama mlishakula viapo vya Ndoa
Lakini kama ni Uchumba wa kuitana baby baby nina uhakika wa asilimia 85 ya hayo mahusiano kutofika mbali
Hebu fikiria mpenzi wako ana magroup ya Whatsapp kama 7 hivi, yakiwemo yale ambayo wanatumiana nudes ambazo zinaweza kumfanya atamani kulalwa ama kumlala mtu.
Halafu wewe unajifanya Mwamba Kwa kumpigisha nudes video calls ama sex chats ambazo zitamfanya awe wet
Yaani hapo akikutana na fine boy yeyote anamtunuku tunda 😜
Tatizo ukiwaza vile viuno unavyopewa kua kuna boya mwingine anapewa lazima kichwa kiume.Yeye anakua nao na wewe unakua nao. Haya mambo goes without saying. Tatizo lenu mnanogewa huko.
Nini kilitokea mkuu😁Mkuu hata kama kuna kiapo cha ndoa distance marriage ni hatari sana. Binafsi niliwahi kuhamishwa kikazi kwenda mkoa X umbali wa 1200km kutoka mkoa Z familia yangu ilipo. Nafika kituo cha kazi nakabidhiwa mama wa makamo wa umri wangu ndio nifanye naye kazi mpaka over time saa nne usiku. Mkuu nilikuwa nasafiri kila bada ya wiki mbili kuja kuona familia nakaa siku nne narudi kazini ili kukwepa hatari kulingana na yule mama alivyo na mazingira ya kazi yalivyo lakini haikuwa rahisi kwa nguvu za kibinadamu..... .....
Mpaji Mungu njoo hapa ujibu mashtaka. Ni kwanini unaruhusu shetani akutumie!!!Halafu humu jamiiforums. Kuna watu wanatumia id kama watu wa dini sanaaa afu kila siku wanaonekana kuchangia mada za mapenzi kama Yesu Anakuja Mtumishi wa Bwana Mpaji Mungu na wengine kama hao😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kuchapiwa ni siri ya ndani 🤣Kwa comment hizi hata tukifunga na kusali haitasaidia aisee.
Shujaa wetu jf🤣🤣🤣4 yrs bila kuonana! Ilinisaidia kuvumilia kuishi na genye, kikubwa mawasiliano imara yakiyumba na penzi linakufa hasa kama hamjarasmisha
Sema kuna vile viuno mnatupa kunako 6×6 tukiwaza kua kuna mwingine anapewa maumivu yake acha tuu😁Kuchapiwa ni siri ya ndani 🤣
Aisee hasira tu mudawoteNa makasiriko Kwa kwenda mbele
Mtaalamu🤣🤣🤣Mahusiano ya mbali ni ujinga tu, mnaaminishana vitu havipo, mnapeana hopes hazipo....hadi muonane mnatumia gharama kubwa, just kwa weekend moja ila gharama zake aaagr.
Binafsi naona hayana(ga) afya. Kwanza kuwekana tu mbinde 🤣🤣
Mpaka sasa nina stress kisa huyu mtu kwa comment zake😁Nae mfukuze🤣🤣
🤣🤣🤣🤣Nilikuwa nakusubiri wewe msemaji wangu, uje unisemee 🤣
💉🤣🤣🤣🤣
Babe i love you!
Mkuu naona unashuka na comment moja baada ya nyingine😁Mtaalamu🤣🤣🤣