"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

Habari wakuu,
Mpaka sasa nipo mbali na shemeji yenu ni mwaka sasa hatujaonana sababu ya issue za utafutaji japo mawasiliano yapo strong kiasi chake.

Ila mahusiano ya mbali ni Mungu tuu awe kati kutoboa ni kazi.
Kuna watu wana mahusiano hapa hapa mjini na bado wanaishi kama wapo kwa long distance relationship, haya mapenzi ya siku hizi hayana adabu kabisa
 
Weeeeh! Na alikolea kwa mshangazi🤣🤣
Nimemfurahia na kumpongeza kwa sababu hizi kubwa
-From the very beginning alishaona jaribu lipo; na hakutafuta justification ya kudondoka kwenye jaribu; instead alitafuta solution ya kumsaidia asiangukie mshangazi.

-Roho I radhi lakini mwili ni dhaifu; akawa ameangukia kwa mshangazi. Yet sijaona kwenye maelezo yake akijustify Ile cheating, kama ambavyo pharaoh's sons wangesema: all men cheat au sijui kuchepuka kwa heshima blah blah blah. Nafsi yake pasipo kushurutishwa na mtu au kukatishwa na fumanizi; iliona kwamba anachokifanya sio sahihi, hivyo hana budi ya kutafuta suluhisho la yeye kutoka mtegoni. Most of men hapa wangekuwa wameshajipatia familia ya pili; mke wa ndoa bye bye tutaonana uzeeni tukistaafu + presha na visukari vimepamba moto.

Mtu ambaye anaamua mwenyewe kwa dhati yake kubadilika au kuacha kitu fulani kwa ajili ya kulinda utu au mahusiano yake; aisee ni wa kupongezwa sana. Na hata kesho na kesho na kutwa akiteleza tena; ni rahisi yeye mwenyewe kushtuka na kurudi kwenye mstari. Wanaume wengi wanakatishwa kuchepuka (hawaachi willingly) wake zao wakishajua; so atakatisha mahusiano na mchepuko kwa muda au atahamia kwa koloni lingine kuepusha kelele. Na wengine hawana cha kukatisha wala kujutia; unataka kukaa sawa, hutaki sepa; yeye hawezi kuacha nature.
**Fact that he was regretful and repentant on his own will.......
 
Back
Top Bottom