Look busy, Magufuli is coming? Surely Tanzanian professionals are beyond this

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Chali, chali kabisa.

Next time mijadala kama hii ya wazi ukitaka kuianzisha lazima uwe umejiandaa, kinyume cha hapo utadhalilika bure, wenye akili wameshajua mbivu na mbichi.
Wewe rudi kindergarten ujifunze tofauti ya nonsense na no nonsense kabla ya kujadiliana nami.

Ukiwa hujui tofauti hiyo nakuona country bumpkin na naweza kuelewa kwa nini unamuunga mkono country bumpkin fonti fedi mwenzako Magufuli.
 
Nilijua tu kwamba utafika mwisho uanze kutoa baseless allegations kama hizi, ila wenye akili wameshajua ukweli ulipo, ndiyo faida ya open forums kama hizi, ninauhakika wewe umejifunza zaidi kwamba humu JF kuna vichwa, kwasabu arrogance yako uliyoanza nayo jana, ni tofauti na sasa unavyoelekea kuhitimisha huu mjadala, hii ndiyo faida ya JF, kuelimishana na kusaidiana, mtu yeyote mwenye kuelimika lazima anakuwa humble, hawezi kubaki na kiwango kile kile cha ujeuri alichoanza nacho.
 
Baseless allegations wakati umeboronga na kumuita Magufuli zumbukuku ukifikiri unamsifia?

Halafu umesahihishwa unakomaa?

Wewe ni mjinga, halafu kibaya zaidi, ukioneshwa ujinga wako, badala ya kumshukuru anayekufundisha ufute ujinga wako, unakuwa mkali na kukataa kwamba wewe ni mjinga.

Hujui tofauti ya nonsense na no nonsense.

Mtu anakuonesha ulipokosea. Kwa ushahidi wa maandishi yako.

Unasema baseless allegations.

Unajua kwamba kwa kauli hii umeyaita maandishi yako mwenyewe kuwa hayana maana?
 
Huna sababu ya kutukana, ukweli ni kwamba umeshindwa katika uwanja wa hoja sasa unabaki kuangalia makosa ya lugha, kuna uhusiano gani kosa moja likufanye utoke kwenye mjadala, nimekuambia nimekuwa nikafanya haya makosa ya maandishi tangu jana tulipoanza huu mjadala, na baada ya kutuma text huwa ninayaona, nani aliyekataa kwamba hakuna makosa, au sijatenda makosa katika kuandika?. Tatizo umeishiwa points sasa unatafuta makosa ya lugha, hatupo hapa kurekebishana lugha, mbona wewe unabadilisha herufi kati ya L na R lakini so longo ninakuelewa silifanyi kuwa big deal?, ukweli upo wazi na watu wanaofuatilia wanajua wewe ni mtu wa aina gani?
 
Nikikwambia ukweli wewe kwa sababu una low capacity for accepting hard truth unaona natukana.

Hoja nitashindana nawe vipi kama hujui tofauti ya nonsense na no nonsense?

Na kama hujui hiyo tofauti, mengine mangapi huyajui?

Unajua tofauti ya up and down? Left and right? Right and wrong?

Wapi umekubali kwamba ulipoandika nonsense ulikosea?
 
Rudi post yangu namba 176 uone nilivyokuambia kwamba huwa haya makosa ninayaona baada ya kutuma ujumbe na kwamba, wewe onyesha wapi nilipokataa kwamba sijakosea, kwani hapa tunashindania hoja au makosa ya lugha, mbona wewe hujui chochote kuhusu tofauti ya report zinazotolewa na WB/IMF na zile za institutions zingine zinazofanya research za kiuchumi, jambo ambalo ni la msingi sana katika mjadala huu kuliko hilo kosa la lugha, lakini nimekuelewesha na umeelewa na mjadala umeendelea sikukukimbia pamoja na kujua kwamba wewe ni mbumbumbu katika eneo hilo?
 
Huwezi kujenga hoja kwa makosa ya lugha.

Hujaonesha ulipokubali kwamba ulikosea. Unarukaruka tu.

Halafu wewe una mawazo ya kizamani kwamba WB/IMF ndio wenye ukweli wote.

Inaonekana hujamsoma John Perkins.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jamaa anaanza kutumia makosa madogo madogo ya lugha ili akimbie mjadala[emoji23]

ndiyo zake Mr jargons. anaangalia trivial issues anaacha the core agenda.
yeye anajificha nyuma ya misemo akifikiri ndiyo justification.
hajui kwenye jukwaa hili la east African hatuangalii lugha ya malkia, sijui kiyunani, kilatini, kigiriki au hata lugha za malaika. sisi twaangalia facts and figures tu.

nashukuru kwa kuifanya kazi hiyo vizuri.
 
Hiyo ni dalili kwamba huu mjadala umefikia mwisho, tusubiri mada nyingine tukutane huko[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Umefikia mwisho kwa sababu wewe hujui tofauti ya nonsense na no nonsense na ukifundishwa hutaki kukubali kwamba umekosea.

Tutajadiliana vipi hapo?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hiyo ni dalili kwamba huu mjadala umefikia mwisho, tusubiri mada nyingine tukutane huko[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

nashukuru kwa kufunga mjadala huu kwa ushindi mkubwa. the point of departure ni kuwa the Tanzanian economy is doing good with bright future. coz no evidence to prove otherwise.
those who are arguing that the economic adversity is around the corner, are just wishful thinkers, since have no any justifiable assertion.

Magufuli mbele kwa mbele.
maana umewafanya vijana ambao wengi wao walikuwa hawaamini katika kufanya kazi bali kwenye madili na ujanja ujanja wa mjini wamebadilika kabisa.
 
ndiyo zake Mr jargons. anaangalia trivial issues anaacha the core agenda.
yeye anajificha nyuma ya misemo akifikiri ndiyo justification.
hajui kwenye jukwaa hili la east African hatuangalii lugha ya malkia, sijui kiyunani, kilatini, kigiriki au hata lugha za malaika. sisi twaangalia facts and figures tu.

nashukuru kwa kuifanya kazi hiyo vizuri.
Jana alianza kwa mbwembwe sana na maneno ya kejeli juu ya Magufuli, na kuleta theories zake za uchumi za vijiweni kutaka kuhalalosha chuki yake juu ya Magufuli, lakushangaza mwishoni ameamua kuachana na zile allegations zake dhidi ya uchumi wa nchi, anakumbatia makosa ya lugha, ila mtu mzima akijamba sio vizuri kumdhalilisha, ila wenye akili tunajua mwenzetu amejamba, tunamsitiri[emoji23]
 
nashukuru kwa kufunga mjadala huu kwa ushindi mkubwa. the point of departure ni kuwa the Tanzanian economy is doing good with bright future. coz no evidence to prove otherwise.
those who are arguing that the economic adversity is around the corner, are just wishful thinkers, since have no any justifiable assertion.
The best conclusion of this discussion[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Zitto on kusinyaa kwa Uchumi na Airtel.

Ninasimama na uchambuzi niliyoufanya na kupitishwa na Kamati Kuu ya Chama chetu cha Act Wazalendo kuwa ukuaji wa Uchumi wa nchi yetu unasinyaa. Uchambuzi wa takwimu zilizotolewa na NBS hauwezi kuwa kosa kwa namna yeyote ile. Sera za Uchumi za Serikali ya Awamu ya zilizopelekea kuanguka kwa mikopo kwenda sekta binafsi na hivyo ugavi wa fedha ( money supply M3 ) zimesababisha ukuaji wa Uchumi wa nchi yetu kusinyaa. Shirika la Fedha la Kimataifa ( IMF ) wamethibitisha hilo kwenye Taarifa yao na wameagiza Serikali kutazama upya vyanzo vyao vya Takwimu. Rais John Pombe Magufuli hawezi kuzuia uchambuzi huru wa kisera na pia takwimu za Serikali zinakosoleka na tutaendelea kutoa takwimu mbadala pale NBS wanapotoa Takwimu za uongo kufurahisha watawala.

Jambo la Airtel ni kama NBC

Nimejizuia kulisemea jambo hili Kwa sababu mbalimbali. Sababu kubwa ni kwamba unahitaji MAARIFA kushughulika na masuala kama haya.

Tukiwa PAC tulifanyia kazi sana suala la Sera ya Ubinafsishaji. Katika kila Taarifa yetu ya Mwaka tulikuwa na sehemu maalumu iliyoeleza ufuatiliaji wetu wa utekelezaji wa Sera ya ubinafsishaji. Ubinafsishaji wa TTCL ni suala tulilitolea Taarifa mara kadhaa Bungeni na Taarifa yetu ya mwisho ilikuwa January 2015. Ni ukweli usio na mashaka kuwa Kampuni ya Celtel ( sasa Airtel ) haikulipa chochote kuwezesha kumiliki hisa kwenye Celtel Tanzania na pia uuzwaji wa Celtel kwenda Zain na kisha Airtel ulipelekea Tanzania kupoteza Mapato ya Kodi ya ongezeko la Mtaji ( capital gains tax ). Mwaka 2011 Mzee Harry Kitilya akiwa Kamishna Mkuu wa TRA alituletea kwenye Kamati uchambuzi wa mapato tuliyopoteza ya jumla ya USD 312m kwa mauzo ya Zain kwenda Airtel. Kazi ndio iliwezesha kufanikiwa kutunga sheria ya capital gains tax mwaka 2012 na kuziba mwanya huo wa makampuni ya Kimataifa kukwepa kodi nchini kwetu.

Hata hivyo tunahitaji kushughulika na jambo hili la Airtel kwa muktadha wa zoezi zima la Ubinafsishaji nchini. PAC iliagiza CAG kufanya Post privatization audit ya Mashirika kadhaa ikiwemo Benki ya NBC. Matokeo yake tuliyawasilisha Bungeni. Uuzwaji wa NBC nao ulikuwa ni wa bure na huwezi kushughulika na kampuni moja moja bila kutazama muktadha mzima wa zoezi la Ubinafsishaji wa Mashirika ya Umma.

Ushauri wangu ni kutazama mchakato mzima wa Ubinafsishaji kwa kufanya ukaguzi maalumu wa sera nzima ili kutoa mapendekezo ya kurekebisha makosa yaliyofanyika. Hii itawezesha nchi kutoyumbayumba na matukio na badala yake kuwa na ‘ policy consistency ‘ kwenye jambo zima la Ubinafsishaji. Rais anaweza kuunda Tume ya Rais ( commission of inquiry) kutazama namna ubinafsishaji ulifanyika na kuchukua hatua za kisayansi baada ya matokeo ya kazi hiyo. Hili la Airtel linaweza kushughulikiwa humo na kupata matunda mazuri zaidi.

Heri ya Mwaka Mpya 2018. Mola awabariki sana na kumaliza salama mwaka 2017
 
ndiyo zake Mr jargons. anaangalia trivial issues anaacha the core agenda.
yeye anajificha nyuma ya misemo akifikiri ndiyo justification.
hajui kwenye jukwaa hili la east African hatuangalii lugha ya malkia, sijui kiyunani, kilatini, kigiriki au hata lugha za malaika. sisi twaangalia facts and figures tu.

nashukuru kwa kuifanya kazi hiyo vizuri.
Moja ya sababu tunakuwa masikini ni ku minimize mambo muhimu na kuyasema kama trivial issues.

Ndiyo maana hata makosa makubwa ya Magufuli yanayo impact investor confidence mnayaona trivial issues.

Kukosa attention to detail.

Unasaini mkataba kwa kutojua tofauti ya nonsense na no nonsense.

Unagharimika mabilioni.

Hapo ndipo utajua trivial issue.

Mtu asiyejua tofauti ya nonsense na no nosense kujadili the intricacies of the economy ni kujishebedua tu.

Zaidi, mtu asiyetaka kusahihishwa anatuonesha anakumbatia ujinga.
 
MK254
mtoa hoja.

njoo ufunge mjadala. also give credit to all members who participated fully in discussing the issue. I think you will value their contribution in this meeting.
 
Back
Top Bottom