joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika hii link, please take a note wanaposema ...
Kwenye link ulizotuwekea kuna hii pia...
Unaandika kama mtu aliyekuwa indoctrinated kidini kwamba IMF na WB wana monopoly na ukweli na wana unimpeachable credibility. Na wengine wote hawana credibility.Umetuma link nyingi sana, sidhani kama nitaweza kuzipitia zote, lakini nimesoma moja tu, lengo langu nilitaka kujua ni nani au huyo aliyeandika amepata ushahidi wowote toka kwa creidible sources kama WB au IMF, au ni mawazo yake binafsi anavyoona yeye?.
Kwa ufupi Magufuli ni kama anafanya overhaul ya uchumi mzima uliokua umeparaganyika, lazima wafanyabiashara wawe na wasiwasi, ndiyo sababu serikali inajitahidi kuwahakikishia inestors wasiwe na wasiwasi.
Kila gazeti au muandishi ataandika vile anavyofukiria na kupenda, lakini vyombo vya kuvisikiliza zaidi katika mambo ya uchumi ni WB na IMF, hao ndiyo wanaosikilizwa na investors, wakiizungumzia nchi kwa uzuri, basi investors wanakwenda kuwekeza, lakini wakizungumzia vibaya, wawekezaji wanakuwa na mashaka, hiyo ndiyo sababu kubwa inayoifanya Tanzania kuendelea kupokea FDI kwa wingi.
Nimejaribu kupitia hiyo link inayohusu kupungua kwa 15% ya FDI, katika sababu zilizotajwa hakuna hata moja inayohusu political administration, zaidi ya high interest rate, zingine zote ni mambo ya hali ya hewa kuwa mbaya, kuchuka kwa bei za bidhaa zetu huko nje, na mambo kama hayo.
He also blamed the decline in commodity prices for dampening of FDI flows to the country, saying that macroeconomic policies have been put to a serious test.
Hiyo link ya kwamba Tanzania kutokua eneo la kuvutia mining industry, ukosoma ni tofauti kabisa na kichwa cha habari kilivyoandikwa, anahisi kwamba uenda hatua anazochukua Magufuli za kuhakikisha sector ya madini inafaidisha zaidi watanzania zikawafanya investors wasiwekeze, sasa hapo kweli kuna ushahidi wowote unaoonyesha kwamba Tanzania sio sehemu inayovutia for mining sector?
Kwenye link ulizotuwekea kuna hii pia...
Tanzania Economic Growth Remain Strong But Is Expected to Soften - Tanzania Economic Growth Remain Strong But Is Expected to Soften - TanzaniaInvest
Wamedai...
The World Bank currently forecasts an annual GDP growth rate for Tanzania of 7.1% for 2017, 2018 and 2019, and an average 6.2% between 2017 and 2026.
Duniani lazima kuwe na one or two reference points ambazo ni standards na zilizowekwa kisheria na zilizokubaliwa na walio wengi ili kuwe na maelewano, nchi zinafanya uchaguzi kuchagua viongozi wake ili kuwe na reference points wananchi waweze kuifuata, hata kama kuna watu wengine wanaweza kupinga kama ilivyo Kenya, NASA hawakubaliani kutokana na sababu zao, lakini hiyo haibadilishi ukweli kwamba Kubilee chini ya Uhuru Kenyatta ndiyo reference points za Kenya na ni muhimu kuheshimiwa na wakenya lazima wafuate maagizo yao. WB/IMF ndiyo reference za dunia zilizokubaliwa kisheria ni lazima zifuatwe na kusikilizwa, hata kama huzikubali au zinamapungufu, hao wengine unaowataja ni kama NGO's zinazofanya kazi katika nchi zetu, japo zinaweza kufanya kazi nzuri zaidi ya serikali lakini hazina legitimate kama waliyonazo WB/IMF.Unaandika kama mtu aliyekuwa indoctrinated kidini kwamba IMF na WB wana monopoly na ukweli na wana unimpeachable credibility. Na wengine wote hawana credibility.
Hawana monopoly ya ukweli wala unimpeachable credibility.In fact wana scandals nyingi tu. One has to only read John Perkins "Confession of an Economic Hitman" to see that. On a day to day basis, investors trust Bloomberg just as the WB/IMF if not more. Bloomberg carries almost all information on major exchanges.
Kufanya overhaul si tatizo. Tatizo anaifanyaje hiyo overhaul? Anafanya kwa kusikiliza ushauri wa wataalam? Au kwa sababu ana Ph.D ya Chemistry anajiona ataweza kuendesha uchumi mwenyewe?
Unajua mimi ninajaribu kutafuta ushahidi wa kitaalamu toka kwa vyombo na institution za kidunia zilizokubalika ambazo zinaonyesha kwamba Magufuli uongozi wake unadidimiza uchumi, lakini hujaniletea zaidi ya wewe kuendelea kushutumu uongozi wake kwa sababu hukubaliani na style ya uongozi wake, kila mtu ana haki ya kukubali au kutokubaliana na uongozi au kiongozi yeyote, huko sijafika bado, kwanza ningependa utoe ushahidi toka kwenye World institutions za kiuchumi kama hizi WB/IMF zinazoonyesha kwamba haziridhishwi na utendaji wake na kwamba uchumi unashuka, kama jinsi nilivyokutumia links zinazoonyesha kwamba WB inaridhishwa sana na Magufuli na uchumi unafanya vizuri.Hujapitia vizuri. The below is a tongue in cheek dig at the Magufuli administrations macroeconomic policies. Some of these people do not want to say much because of implications, for those who know how to read, the below questions the effectiveness of macroeconomic policies.
Tofautisha habari mbili tofauti, Tanzania ni sehemu inayovutia, hata mimi nimelitaja hilo hapo juu, lakini hata sehemu inayovutia inaweza kuanza mwaka na investor confidence 99% ikamaliza mwaka na investor confidence 66%. Unaweza kuvutiwa na sehemu, lakini ukaangalia policies zake zinavyoenda erratic, unakosa confidence ku invest.
Nimesema hapo juu hakuna kibaya rais kutaka the best for his country, in fact ndivyo rais anavyotakiwa kuwa. Tatizo linakuja pale masuala yanayoweza kufanywa kwa weledi bila kuathiri maslahi ya nchi, yanapofanywa kwa show za "economic warfare" inayoonekana wazi ni ya kisiasa zaidi ya kiuchumi. Magufuli is doing harm to the economy by not being meticulous and methodical. Hizi si biashara za maembe useme mtabishana bei mpandishane bilaimpact to investor confidence.
Na yote haya ni kwa sababu Magufuli kama alivyosema mwenyewe, hajajiandaa na wala hakuandaliwa kuwa rais, kakurupuka tu.
Hajui uchumi unavyoenda, anafikiri akipigishana kelele na investors ndiyo atapata results na kupendwa na Watanzania, wakati kuna njia nzuri zaidi za kuwabana wafanye anachotaka bila ku create a scene itakayoharibu uchumi.
Kamatakamata za alamasi za Petra ziliangusha kichizi shares za Petra, ambazo serikali ina 25% stake.
Kwa hiyo vurugu za Maguful;i ziliitia hasara Petra, na hivyo kuitia hasara serikali ya Tanzania.
Tatizo wewe upo very negative minded person, hutaki kusoma kitu ukaelewa kinazungumzia nini badala yake unachomekea vile unavyotaka wewe, hapa WB wanasema "However, the GDP growth of Tanzania is expected to soften partly due to the under-execution of fiscal plans", sina uhakika kama unaelewa maana ya under- excution of fiscal plans, hii haimaanishi kuna mapungufu yoyote katika sera au au political administration katika nchi, hii basically ipo katika level ya watendaji kutimiza yale malengo yaliyowekwa katika fiscal year husika, na hii inatokana na ukweli kwamba, sasa hivi Magufuli anafumua karibu uongozi wote katika kila sector ya kiuchumi na kuweka uongozi mpya, hivyo basi uongozi mpya lazima utahitaji muda wa kumipanga ili kuanza kutimiza majukumu yake bila kurudia makosa yaliyofanywa na uongozi uliopita, hilo linaweza kuchelewesha excution of fiscal plans, ni jambo linalotegemewa kutokea katika nchi yoyote au shirika lolote linalopitia katika kipindi cha kufanya marekebisho makubwa ya kiuongozi, lakini ni muhimu sana kutokea ili uchumi uweze kujipanga upya, sasa hayo unayosema wewe umeyatoa wapi?, jaribu kujielimisha kwanza kabla ya kutoa maoni hadharaniThe World Bank (WB) recently published its 16th edition of the Africa’s Pulse, a biannual analysis of African economies, confirming the robust growth of Tanzania. However, the GDP growth of Tanzania is expected to soften, partly due to the under-execution of fiscal plans.
Read more at: Tanzania Economic Growth Remain Strong But Is Expected to Soften - TanzaniaInvest and follow us on www.twitter.com/tanzaniainvest
Kwa wale wanaotaka habari za World Bank.
World Bank inaturudisha kule kule nilikosema awali.
Kuna under execution of fiscal policies (kwa sababu badala ya official fiscal policies Magufuli anapenyeza mambo anayotaka yeye?).
Hapo hapo tunaona serikali inang'ang'ania kucheza na monetary policies kushusha interest rates kila miezi kadhaa.
Exactly the sort of thing I warned about, nilipoonya juu ya overeliance on monetary policies while the issue could be fiscal policies even before reading the World Bank report.
Unajua mimi ninajaribu kutafuta ushahidi wa kitaalamu toka kwa vyombo na institution za kidunia zilizokubalika ambazo zinaonyesha kwamba Magufuli uongozi wake unadidimiza uchumi, lakini hujaniletea zaidi ya wewe kuendelea kushutumu uongozi wake kwa sababu hukubaliani na style ya uongozi wake, kila mtu ana haki ya kukubali au kutokubaliana na uongozi au kiongozi yeyote, huko sijafika bado, kwanza ningependa utoe ushahidi toka kwenye World institutions za kiuchumi kama hizi WB/IMF zinazoonyesha kwamba haziridhishwi na utendaji wake na kwamba uchumi unashuka, kama jinsi nilivyokutumia links zinazoonyesha kwamba WB inaridhishwa sana na Magufuli na uchumi unafanya vizuri.
Haya unayolalamikia wewe ni mambo ya kimtazamo ambapo kila mtu anakuwa na mtazamo wake, hayana ushahidi wowote wa kuyabeba, inategemeana na wewe unavyothani na kupendekeza ni ipi njia bora, na kila mtu anao mtazamo wake juu ya hilo, ila tukishamaliza hilo la ushahidi juu ya sera za uchumi na political administration kama zimetajwa na world legitimate institutions kuwa zinakwamisha au kuharibu uchumi, ndiyo tuweze sasa kila mtu atoe maoni yake vile anavyohisi juu ya style ya uongozi wa Magufuli
Mtembea bure si sawa na mkaa bure, Mtamuelewa tu huyu mnayemwita chizi. Na kuna wakati kenya mtaomba mpatiwe chizi kama Mg. Kenya ni sawa na column iliyooza Kisha ikavalishwa jacket la concrete ili iweze perform, kumbuka ile ya ndani inaendelea kuoza, siku ikidondoka mtastaajabu ya Musa na Farau. Time will tell
Under execution of official fiscal plans ni kwa sababu Magufuli hasikilizi wataalam. Anafanya anavyotaka yeye.Tatizo wewe upo very negative minded person, hutaki kusoma kitu ukaelewa kinazungumzia nini badala yake unachomekea vile unavyotaka wewe, hapa WB wanasema "However, the GDP growth of Tanzania is expected to soften partly due to the under-execution of fiscal plans", sina uhakika kama unaelewa maana ya under- excution of fiscal plans, hii haimaanishi kuna mapungufu yoyote katika sera au au political administration katika nchi, hii basically ipo katika level ya watendaji kutimiza yale malengo yaliyowekwa katika fiscal year husika, na hii inatokana na ukweli kwamba, sasa hivi Magufuli anafumua karibu uongozi wote katika kila sector ya kiuchumi na kuweka uongozi mpya, hivyo basi uongozi mpya lazima utahitaji muda wa kumipanga ili kuanza kutimiza majukumu yake bila kurudia makosa yaliyofanywa na uongozi uliopita, hilo linaweza kuchelewesha excution of fiscal plans, ni jambo linalotegemewa kutokea katika nchi yoyote au shirika lolote linalopitia katika kipindi cha kufanya marekebisho makubwa ya kiuongozi, lakini ni muhimu sana kutokea ili uchumi uweze kujipanga upya, sasa hayo unayosema wewe umeyatoa wapi?, jaribu kujielimisha kwanza kabla ya kutoa maoni hadharani
Sio kweli kwamba WB/IMF wanafanya kazi kidiplomasia kiasi kwamba hawawezi kukuambia ukweli pale unapoharibu, hivi ni vyombo vya kitaalamu na vinajaribu sana kuwa professional, japo lazima wawe na kiwango cha diplomasia ili kuweza kufanya kazi zake vizuri, mwaka huu IMF imeionya Kenya mara kadhaa kutokana na tabia yake ya kukopa sana na kuwekeza katika miradi isiyo na tija, IMF imeiambia Kenya kwamba uchumi hauna uwezo wa kulipia madeni wanayokupa, mbona huko wasitumie hiyo diplomasia?, hapa Tanzania miaka ya nyuma IMF iliikatia Tanzania misaada ya pesa baada ya Tanzania kukataa mapendekezo kadhaa ya kiboresha uchumi, wakaona hawawezi kuendelea kukopesha nchi ambayo uchumi wake hauna muelekeo wa kuweza kulipo deni, leo hii baada ya kujiridhisha na kuona uchumi unafanya vizuri, wamekubali na kuahidi kutoa pesa nyingi zaidi, kumbuka kupata pesa toka WB sio jambo rahisi, nchi zote duniani zinakimbilia WB ikiwemo USA, ukiona unapewa pesa nyingi na WB ujue sera zako za uchumi zinakubalikaMazee. Unaelewa kwamba WB na IMF ni vyombo vinavyofanya kazi kidiplomasia na siku vitakaposema Magufuli anaharibu uchumi kwa lugha ya wazi, hutahitaji kuambiwa hilo na yeyote ili kujua?
Unaelewa kwamba World Bank imetoka kuikopesha Tanzania $780 m kwa ajili ya Ubungo exchange na upanuzi wa barabara?
Unaelewa kwamba kwa sasa wana cultivate relationship kujenga influence na wakitaka kusema Magufuli anaharibu uchumi wanatumia lugha ya kidiplomasia kama "under execution of fiscal policy"? Hili dongo umelielewaje wewe?
Au unataka kuandikiwa "Magufuli is ruining the Tanzanian economy" na World Bank na IMF?
Zaidi ya World Bank na IMF hakuna mwingine yeyote anayeweza kusema la maana?
Sio kweli kwamba wanafanya kazi kidiplomasia au wanafanya kazi kidiplomasia?Sio kweli kwamba WB/IMF wanafanya kazi kidiplomasia kiasi kwamba hawawezi kukuambia ukweli pale unapoharibu, hivi ni vyombo vya kitaalamu na vinajaribu sana kuwa professional, japo lazima wawe na kiwango cha diplomasia ili kuweza kufanya kazi zake vizuri, mwaka huu IMF imeionya Kenya mara kadhaa kutokana na tabia yake ya kukopa sana na kuwekeza katika miradi isiyo na tija, IMF imeiambia Kenya kwamba uchumi hauna uwezo wa kulipia madeni wanayokupa, mbona huko wasitumie hiyo diplomasia?, hapa Tanzania miaka ya nyuma IMF iliikatia Tanzania misaada ya pesa baada ya Tanzania kukataa mapendekezo kadhaa ya kiboresha uchumi, wakaona hawawezi kuendelea kukopesha nchi ambayo uchumi wake hauna muelekeo wa kuweza kulipo deni, leo hii baada ya kujiridhisha na kuona uchumi unafanya vizuri, wamekubali na kuahidi kutoa pesa nyingi zaidi, kumbuka kupata pesa toka WB sio jambo rahisi, nchi zote duniani zinakimbilia WB ikiwemo USA, ukiona unapewa pesa nyingi na WB ujue sera zako za uchumi zinakubalika
Nimesema na ninarudia tena, katika kuandika scientific paper yoyote ile, kwanza unaweka facts supported by statistical data, unafanya citations, mwisho sasa unafanya discussion based on facts ulizoweka, lakushangaza wewe unafanya discussion bases on hot air, kwasababu ushahidi wote unaonyesha kwamba uchumi wa Tanzania unafanya vizuri sana, ila kuna maaneo ambayo yanahitaji some improvement, juzi nilikuwa ninasikiliza waziri wa uchumi wa china aliainisha maeneo 69 ambayo chona haifanyi vizuri hivyo kutaka yazingatiwe, hakuna uchumi unaokua kwa kasi kama Tanzania usiokuwa na maeneo ambayo hayafanyi vizuri.Under execution of official fiscal plans ni kwa sababu Magufuli hasikilizi wataalam. Anafanya anavyotaka yeye.
Case in point ni Lawrence Mafuru alivyoonya kuhusu Magufuli anavyoingilia mzunguko wa fedha kiholela atakuja kusababisha matatizo ya money supply. Mafuru akaondolewa Hazina. Magufuli akafanya anavyotaka yeye. Kilichofuata vyuma vinabana mpaka vinataka kuungana.
Tatizo Magufuli hata anapofanya kitu sahihi, anakifanya kiholela, kwa ubabe, na kwa kujiona anajua kila kitu.
Mtu wa namna hiyo ni hatari sana kuendesha uchumi.
Nadhani nimekujibu vizuri sana, mtu yeyote duniani lazima uwe na diplomasia kiasi fulani, lengo la diplomasia ni ili uweze kufikisha ujembe kwa njia ya amani na kuweza kukubalika na jamii husika, ila diplomasia haiwezi kuondoa main objective na kubadilisha lengo la ujumbe unaotaka kuufikisha, ikifika huko hiyo tena sio diplomasia ni UNAFIKIA(Unafiki)Sio kweli kwamba wanafanya kazi kidiplomasia au wanafanya kazi kidiplomasia?
You are talking out of both sides of your mouth.
You are contradicting yourself.
Sasa unajuaje kwamba hawana mengi zaidi ya kusema ila wanajizuia kwa sababu za kidiplomasia?Nadhani nimekujibu vizuri sana, mtu yeyote duniani lazima uwe na diplomasia kiasi fulani, lengo la diplomasia ni ili uweze kufikisha ujembe kwa njia ya amani na kuweza kukubalika na jamii husika, ila diplomasia haiwezi kuondoa main objective na kubadilisha lengo la ujumbe unaotaka kuufikisha, ikifika huko hiyo tena sio diplomasia ni UNAFIKIA(Unafiki)