eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Mengi uliyoyataja ni mambo yake binafsi, hayazuii utendaji wake kikazi.
Vile vile unasahau kuwa baadhi ya maamuzi yaliyotolewa akiwa waziri hayakuwa yake, bali amri kutoka juu. Tamaduni zetu pia ni tofauti na za nchi nyingine. Unapolinganisha maadili ya viongozi zingatia pia na tamaduni za nchi husika.
umeamini sasa nilichokuwa nakuambia. siku zote hana hoja. anaongea ongea tu kama punguani. umeona mambo aliyoporomosha?? basi mwambie athibitishe moja baada ya jingine uone atakavyokuja na maudaku ya saluni.
ujumbe ni rais wangu Magufuli wewe piga kazi. hawa wapiga kelele hawakosekani.
hata kikwete walimsema tena vibaya sana. sasa umekuja wewe Magufuli wanakusema tuu. ni watu wasiojitambua, ikinyesha mvua wanalalamika na jua likiwaka wanalalamika vile vile. sasa sijui kati ya mvua na jua bora nini!!!??