Look busy, Magufuli is coming? Surely Tanzanian professionals are beyond this

Wewe unafanya discussion na mimi? Katika akili zako zilizo deluded unaona unafanya discussion na mimi hapa?

AHAAA ahaaa haaa haaa
Mimi najua najadili na wewe.
na huwa sina hulka ya kushindwa kudhibiti hisia zangu. situmii lugha chafu hata kwa mtu ambaye ni punguani. namvumilia tu.
 
Wewe huna uwezo wa kujua lugha chafu wala safi, nani punguani na nani si punguani.

Wacha kujishebedua hapa.
 
Bora hiyolugha ya mpiga debe,wewe hujui lugha yoyote, Kiswahili, Kiingereza, ya wapiga debe.

Ngumbaru nyambaf.

wewe nimekujua ulipo. huna lolote ujualo. huna hoja unayojenga zaidi ya kujificha nyuma ya professional jargons na gibberish phrases. sasa hapo unawapata wengi waingie kwenye mtego wa, badala ya kufikiria maana ya ulichoandika wanafikia namna ulivyoandika. that is poor communication.
kama unabisha pitia post zako uone wengi walivuta uangalifu wao kwenye nini!!
 
Wewe unam support mtu anaye ji contradict kama Magufuli hata pakuanzia nawe sipaoni.

Mtu anayeita mawaziri wake aliowateua mwenyewe wapumbavu, lazima awe mpumbavu zaidi yao kuwateua kuwa mawaziri wakaenda kushika nafasi nyeti. Rais akimuita Waziri mpumbavu, kashajiita yeye rais mpumbavu mkubwa zaidi ambaye hana hata vetting process.

Na wewe unayem support ni lazima uwe mpumbavu zaidi yake.
 
kwa hilo la kuwaita mawaziri wapumbavu binafsi sijawahi kulisikia. licha ya kuwa kuna mambo mengi ambayo JPM nampinga, lkn uhodari wake unazidi mapungufu yake. Mimi binafsi nafurahia sana anavyopambana na syndicate za ufisadi. at least akiondoka labda network za mafisadi zitaanza upya.
please muunge mkono JPM maana awamu iliyopita mlitaka jeshi liongoze nchi, lkn Mungu aliepusha mbali. sasa tumempata huyu ambaye anapambana na ufisadi, hakuna kikundi cha watu cha watu kinacho nufaika kwa hasara ya wengine. wewe huoni ya kuwa ni mtu sahihi tunayemtaka?
nchi ilifikia pabaya sana. kuna matajiri walifikia hata hatua za ku influence utungaji wa sheria ili ziwapendelee wao. lkn huyu amejitahidi kuiokoa nchi.
sijui pengine ulikuwa kambi ya grey hair, ukweli ni kuwa hakuna kati ya wagombea wote ambao wangefanya kazi kama anayofanya JPM.
bravo my President.
 
Nani alitaka jeshi liongoze nchi awamu iliyopita na unaninasibisha vipi mimi kizembe na hao?
 
Yaani hapa itabidi museveni aje kumtafsiria bwana yule maaana yeye akisoma na neno actualy halipo kwenye sentensi anajua kapakwa waridi !!!

umenipa mbinu na takwim tutaandika kwa kimalkia mpka mseveni aje wengi watakua wameelewa.
 
Nani alitaka jeshi liongoze nchi awamu iliyopita na unaninasibisha vipi mimi kizembe na hao?

AHAAA ahaaa haaa haaa
kuna wananchi wengi tu ambao waliona kwamba uongozi uliopita ulikuwa ukifumbia macho mambo mengi sana ya hovyo. mpaka wengi tu wakawa wanasema bora jeshi lichukue nchi. kwa hiyo vitu anavyofanya huyu mtu ndivyo tulivyokuwa tukivililia sisi wananchi tulio wengi.

tafadhali muunge mkono JPM kwa jitihada anazofanya kupambana na rushwa.
 
What makes you ask a person who writes "craps" you illiterate idiot ?
Kijana una hasira sana. Kunywa maji mengi kwanza. Naona upo nje ya mada mwemzako anaongelea mada iliyopo mezani wewe unamjadili mtu. Huu tunauita ufinyu wa kufikiri. Only people with mental disorder wanaweza kuwa na akili kama zako. Mwenzako anatema nondo za kufa mtu wewe unatema mashudu.
 
Nachelea Kusema Kupigwa Marufuku Hardcore Alcohol Mida kama hii ya Asubuhi Kumedhoofisha Uwezo Binafsi wa Kutema Lugha ya Malikia [emoji16][emoji3]
 
Wewe nawe wale wale.

Mimi najali sana logical consistency.

Mtu akishakudharau na kukutukana, amesema hana la kujifunza kwako.

Sasa huyu ananidharau na kunitukana, halafu ananiuliza swali, tujadiliane.

Kwa nini? Anaelewa anachotaka? Anajua hayo maneno anayoyatumia yana maana gani?

Au anagezageza tu bila kujua?
 
Nachelea Kusema Kupigwa Marufuku Hardcore Alcohol Mida kama hii ya Asubuhi Kumedhoofisha Uwezo Binafsi wa Kutema Lugha ya Malikia [emoji16][emoji3]
Hehehe jombaa tafuta 'substitute' asee naona kama cha Arusha kitapendeza. 😀
 
Kijana una hasira sana. Kunywa maji mengi kwanza. Naona upo nje ya mada mwemzako anaongelea mada iliyopo mezani wewe unamjadili mtu. Huu tunauita ufinyu wa kufikiri. Only people with mental disorder wanaweza kuwa na akili kama zako. Mwenzako anatema nondo za kufa mtu wewe unatema mashudu.

AHAAA ahaaa haaa haaa. anaonekana ana akili na elimu kiasi fulani lakini ana UPUNGUFU MKUBWA sana wa UWEZO WA KUTUMIA VIZURI AKILI NA kiasi cha ELIMU ALICHONACHO katika KUJENGA HOJA.
HALAFU NI GOOD PANICKER.

NADHALI MKULU UMEONA. HANA HOJA ANAYOJENGA ZAIDI YA KUONGEA MAMBO YA VIJIWENI. Eti anasema uchumi umeshuka wala hana FACTS & FIGURES ZOZOTE ALIZOTOA. Eti JPM anawatukana mawaziri wake Mimi nikamtega kwa kusema sijawahi sikia. nilitegemea alete evidence lkn hakufanya hivyo.

anacho wa pre empty watu ni zile jargons zake. anawafanya watu WASIFIKIRIE MAANA ya ANACHOSEMA BALI KUKAZIA ZAIDI FIKIRA NAMNA ANAVYOONGEA. huo ni mtego na wengi wamenaswa.
msikilizaji au msomali mzuri ni yule anayekazia akili zake kwenye kile kinachosemwa au kuandikwa NA SI namna kilivyoandikwa au kusemwa.
 
No matter how hard I try to disagree with the author, something in me keeps telling me that the person behind these writings has written nothing but the truth....
Potelea mbali naunga mkono hoja!
 
Back
Top Bottom