Look busy, Magufuli is coming? Surely Tanzanian professionals are beyond this

Look busy, Magufuli is coming? Surely Tanzanian professionals are beyond this

Magufuli is a buffoon, one does not need clever understated articles by the outstanding Elsie Eyakuze to see that.

If anything, we should all drop the tongue in cheek civility and call out this grotesque fascist for what he is, a personified hideous retardation of any meaningful progress made in Tanzania.

The notion that any sane semi-literate Tanzanian would need any convincing to see the folly of the Magufuli administration, or even worse, of the misguided euphoria around it,beats me.

Magufuli is a schmuck who is out of his depth, with neither a political education as compass nor the requisite talent as GPS. The man cannot articulate himself in Swahili. He is Faking all kinds of impromptu manovres to impress his gullible crew and some onlookers.

Those of us who saw where Tanzania was headed years ago predicted this outcome, way back in 2Pacalypse.

And it will only get worse if the hard headed Caligula will never learn.

If Nationalism is an infantile disease, the measles of mankind, let me be the first to vaccinate myself against it by denouncing Magufuli as a shameless usurper, a pretender to the throne.
Nuff said...
 
AHAAA ahaaa haaa haaa
kuna wananchi wengi tu ambao waliona kwamba uongozi uliopita ulikuwa ukifumbia macho mambo mengi sana ya hovyo. mpaka wengi tu wakawa wanasema bora jeshi lichukue nchi. kwa hiyo vitu anavyofanya huyu mtu ndivyo tulivyokuwa tukivililia sisi wananchi tulio wengi.

tafadhali muunge mkono JPM kwa jitihada anazofanya kupambana na rushwa.
We jamaa kwanini unapenda kusema sisi wananchi....
Usizungumzie nafsi za wengine zungumzia ya kwako tu.
 
We jamaa kwanini unapenda kusema sisi wananchi....
Usizungumzie nafsi za wengine zungumzia ya kwako tu.
Ni sisi wananchi wengi kweli.

Tena wengi wao hawana hata uwezo wa kuja JF kulalamika au hata kujua kama nchi inaliwa.

Mh.Rais anamapungufu yake mengi tuu lakini ukiondoa hayo ni Rais bora tuliyekuwa naye Tz baada ya Nyerere.
 
Ni sisi wananchi wengi kweli.

Tena wengi wao hata hawakuwa na uwezo wa kuja JF kulalamika au hata kujua kama nchi inaliwa.

Mh.Rais anamapungufu yake mengi tuu lakini ukiondoa hayo ni Rais bora tuliye kuwa naye Tz baada ya Nyerere.
Kwanini uondoe mapungufu yake!?!? Hayo mapungufu ndio yanafanya mimi nisimwone bora.
Kama anafanya mazuri ni haki yake kupewa sifa lakini pale anapo kosea lazima awe criticized.
 
Kwanini uondoe mapungufu yake!?!? Hayo mapungufu ndio yanafanya mimi nisimwone bora.
.
Kwasababu hakuna binadamu mkamilifu.
Kama anafanya mazuri ni haki yake kupewa sifa lakini pale anapo kosea lazima awe criticized.
.
Na hivi ndivyo eliakeem na wengine tulivyosema kuwa siyo mkamilifu lakini mazuri yake ni mengi kuliko mapungufu.
 
AHAAA ahaaa haaa haaa. anaonekana ana akili na elimu kiasi fulani lakini ana UPUNGUFU MKUBWA sana wa UWEZO WA KUTUMIA VIZURI AKILI NA kiasi cha ELIMU ALICHONACHO katika KUJENGA HOJA.
HALAFU NI GOOD PANICKER.

NADHALI MKULU UMEONA. HANA HOJA ANAYOJENGA ZAIDI YA KUONGEA MAMBO YA VIJIWENI. Eti anasema uchumi umeshuka wala hana FACTS & FIGURES ZOZOTE ALIZOTOA. Eti JPM anawatukana mawaziri wake Mimi nikamtega kwa kusema sijawahi sikia. nilitegemea alete evidence lkn hakufanya hivyo.

anacho wa pre empty watu ni zile jargons zake. anawafanya watu WASIFIKIRIE MAANA ya ANACHOSEMA BALI KUKAZIA ZAIDI FIKIRA NAMNA ANAVYOONGEA. huo ni mtego na wengi wamenaswa.
msikilizaji au msomali mzuri ni yule anayekazia akili zake kwenye kile kinachosemwa au kuandikwa NA SI namna kilivyoandikwa au kusemwa.
Wewe ngumbaru unam support Magufuli halafu hata habari zake zilizo public huna.

Magufuli kaita mawaziri wake wapumbavu, publicly. Maana yake kajiita yeye aliyewateua mawaziri wapumbavu walioshika nafasi nyeti serikalini mpumbavu mkubwa zaidi.

Wewe hata hujui. Unam support huyu mpumbavu aliyeteua wapumbavu kuwa mawaziri.

Maana yake mawaziri wapumbavu, Magufuli mpumbavu zaidi na wewe ndiye mpumbavu zaidi ya wote hao.

Huna akili, huna taarifa, huna lolote unalolijua.

Na subiri huyo Magufuli mnavyomuendekeza aangushe uchumi mpaka mshindie maembe mabichi kwa kamasi ndipo utaelewa ninachoandika hapa.

Kwa sasa niko far ahead of you wewe kunielewa.
 
We jamaa kwanini unapenda kusema sisi wananchi....
Usizungumzie nafsi za wengine zungumzia ya kwako tu.
Huyo mjomba mjomba mbwelambwela bush star msome utamuona.

Kwa sababu kijijini kwao wote waimba kwaya ya kumsifu Magufuli na walevi wa komoni ya bwana Pombe, anafikiri dunia nzima iko hivyo.
 
.
Kwasababu hakuna binadamu mkamilifu.

.
Na hivi ndivyo eliakeem na wengine tulivyosema kuwa siyo mkamilifu lakini mazuri yake ni mengi kuliko mapungufu.
Mazuri yake ni yapi na mapungufu yake ni yapi na unayapimaje kusema mazuri yake ni zaidi ya mapungufu yake?

Unachora mstari wapi?

Na kama kuna wengine wanaweza kufanya mazuri zaidi na mapungufu machache zaidi hapo utasemaje? Utazidi kumtetea?
 
Watu wanaomsifia Magufuli wanaelewa hata Benki Kuu ya Tanzania imeshusha riba mara ngapi mwaka huu? Kutoka asilimia ngapi mpaka ngapi? Kwa sababu gani? Wanaelewa sababu za Benki Kuu kushusha riba? Wanaelewa benki kuu ni nini? Wanaelewa riba ni nini? Wanaelewa kuelewa ni ni nini? Wanaelewa nini ni nini?

Wanaelewa migongano ya kitoto iliyopo kati ya Benki Kuu na TRA inayoonyesha serikali inayojichanganya?

Wanaelewa uzalishaji wa viwandani umeshuka kiasi gani mwaka huu?

Wanaelewa kwa nini watu wanasema vyuma vinabana?
 
Al-Watan
unaandika upupu tu hapa. halafu acha kutujazia bandwidth hapa.
wewe ni bingwa wa craps.
1. kuwatukana mawaziri hujaleta prove hata moja. halafu wewe unafikiri hayo maneno yako matupu ndiyo credible source. lete ushahidi kama huna you just shut up your big bowel.
2. uchumi umeshuka huna hata facts and figures. unaishia kuropoka ropoka tu.
3. halafu sijui mgongano wa kitoto kati ya TRA NA BOT. Lete support tujue yaliyomo. umebakia na story za vijiwe vya mabumunda.
4. halafu wewe kuwa huko ughaibuni unajiona ndiyo umemaliza kila kitu. uko peponi, wakati kuna ndugu zako wengi wanaumia. unadiriki hata kusema mkome kushindia maembe. acha tukome maana hii ni nchi yetu na huyu ndiye rais wetu.
5. halafu unajigamba kuwa wewe uko mbali sana, Mimi siwezi lingana na wewe. jibu ni katika utaratibu wangu wa maisha huwa sijilinganishi na mtu awaye yote, bali huwa najilinganisha na malengo/mikakati niliyojiwekea.
6. nakushauri huna sifa ya kukakaa jukwaa hili. wewe nenda kule kwenye udaku ambako uwezo wa mtu unapimwa kwa kuropoka maneno yasiyo na ushahidi.
umeongea maneno meengi lkn huna hata source moja ya ku qualify your argument.

hapa hatuangalii sijui your discourse has how many jargons. tunachoangalia ni arguments supported by facts and figures with credible source.
 
Mazuri yake ni yapi na mapungufu yake ni yapi na unayapimaje kusema mazuri yake ni zaidi ya mapungufu yake?
.
Tatizo kubwa Tanzania ni ufisadi uliokithiri na hilo Mh.Rais analishughulikia vilivyo. Nchi inayoongozwa kwa rushwa watu masikini hawawezi kuwa na sauti yakupata haki yao.

Mapungufu yake ni pamoja uwakilishi wa hoja zake, mara nyingi anakuwa kama amegubikwa na hasira. Yeye anaelewa kwanini anaudhika lakini Sisi wananchi hatujui kwahiyo inakuwa vigumu kumuelewa.
Unachora mstari wapi?
.
Wananchi tunachotaka ni kuondoa utamaduni wa rushwa Tanzania, mtu akisimamishwa na polisi wa barabarani tunataka ajuwe sheria inasema 1,2,3.

Tunataka pesa za maendeleo ziende kunakotakiwa na kwa muda muafaka ili huduma za jamii zipatikane. Sasa kama hayo hatuyaoni tutapiga mstari na kusema, tunakwenda wapi sasa.
Na kama kuna wengine wanaweza kufanya mazuri zaidi na mapungufu machache zaidi hapo utasemaje? Utazidi kumtetea?
.
kama atapatikana aliyebora na mwenye historia nzuri ya uchapakazi na uwajibikaji wananchi tutafurahi zaidi, cha muhimu Tanzania iendelee.
 
Chamoto
unapoteza muda wako tu. HANA kitu anachokijua.
wewe tangu tumeanza huu Uzi. ukiulizwa huyu mtu kwa nini anampinga rais. unaweza eleza kiunaga ubaga sababu zake?
huyu ni mipasho tu. hana hata fact moja. vyote ni mitazamo yake ambayo haina uhalisia na isiyo na msingi.
 
Nionavyo mimi, kwa wanao mpinga Rais, wamegawanyika katika makundi matatu. Kuna ukawa, hawa wanaeleweka. Kuna wale maslahi yao yameguswa, hawa nao tulitegemea.

kuna wengine ambao wanapinga vitu vidogo vidogo visivyo na msingi ili mradi tuu wapinge, hawa mimi siwaelewi.
 
.
Tatizo kubwa Tanzania ni ufisadi uliokithiri na hilo Mh.Rais analishughulikia vilivyo. Nchi inayoongozwa kwa rushwa watu masikini hawawezi kuwa na sauti yakupata haki yao.

Mapungufu yake ni pamoja uwakilishi wa hoja zake, mara nyingi anakuwa kama amegubikwa na hasira. Yeye anaelewa kwanini anaudhika lakini Sisi wananchi hatujui kwahiyo inakuwa vigumu kumuelewa.

.
Wananchi tunachotaka ni kuondoa utamaduni wa rushwa Tanzania, mtu akisimamishwa na polisi wa barabarani tunataka ajuwe sheria inasema 1,2,3. Tunataka pesa za maendeleo ziende kunakotakiwa na kwa muda muafaka ili huduma za jamii zipatikane. Sasa kama hayo hatuyaoni tutapiga mstari na kusema, tunakwenda wapi sasa.

.
kama atapatikana aliyebora na mwenye historia nzuri ya uchapakazi na uwajibikaji wananchi tutafurahi zaidi, cha muhimu Tanzania iendelee.
Magufuli naye ni fisadi, kauza nyumba za serikali nje ya mchakato,kauzia mpaka mdogowakena hawara wake.

Habari zipo, zinajulikana.

Magufuli ni fisadi, anapandisha vyeo watu Manyara hukokwakuwekamaslahiya vikundi fulani katika chama, kwakuvuruga siasa za upinzani kwa rushwa. Mtu kakamatwa on tape, on video, halafu baada ya kukamatwa, Magufuli anampandisha kutoka Mkuu wa Wilaya kuwenda kuwa Mkuu wa Mkoa.

Magufuli ni fisadi, anatumia hela nje na bajeti. Amehonga watu wa chama cha wafanyakazi waziwazi.

Kwa nini unamuona Magufuli kinara wa kupinga rushwa wakati kasema trafiki akipewa rushwa si rushwa, nihela ya kupiga brush viatu tu?
 
Hivi maana ya ufisadi ni nini?
 
Hivi maana ya ufisadi ni nini?
Fisadi ina maana nyingi ni utongozaji wa kufanya mtu asiyekubalika akubalike, kuishi kikupe, uchafu, unyonyaji, ugomvi, ubaya, umalaya, ubadhirifu, kukosa maadili.

Magufuli kwa kauli zake tu ni fisadi.

Kwa kumtunga mimba Mama Kariuki, mke wa mtu na waziri wake, ni fisadi. Tena si fisadi tu, ni fisadi mjinga.

Kwa kuuza nyumba za serikali nje ya mchakato, ni fisadi.

Kwa nini mnamtetea mpumbavu huyu?
 
Mengi uliyoyataja ni mambo yake binafsi, hayazuii utendaji wake kikazi.

Vile vile unasahau kuwa baadhi ya maamuzi yaliyotolewa akiwa waziri hayakuwa yake, bali amri kutoka juu. Tamaduni zetu pia ni tofauti na za nchi nyingine. Unapolinganisha maadili ya viongozi zingatia pia na tamaduni za nchi husika.
 
Mengi uliyoyataja ni mambo yake binafsi, hayazuii utendaji wake kikazi.

Yapi yake binafsi? Unachoraje mstari kwamba hili ni binafsi na hili ni la umma?

Nyerere alisema kazi ya serikali haitaki watu wahuni wahuni tu, kamaunataka kufanya uhusi fanya , lakini usifanye ukiwa na kazi ya serikali. Mke wa Kaizari hatakiwi kuwa na mawaa. Unaelewa hayo?

Vile vile unasahau kuwa baadhi ya maamuzi yaliyotolewa akiwa waziri, baadhi hayakuwa yake, ilikuwa ni amri kutoka juu. Tamaduni zetu pia ni tofauti na za nchi nyingine. Unapolinganisha maadili ya viongozi zingatia pia na tamaduni za nchi husika.

Kwamba mamuzi yametolewa kwa baraza la mawaziri sioutetezi. Baraza la Mawziri likiamua kuua wagogo wote, Magufuli akakubali na kutekeleza kama waziri, atakosa uwajibikaji kwa sababu maamuzi yalitoka katika baraza la mawaziri?

Unajua kitu kinaitwa "The Nuremberg Trials" ? Unajua precedent iliyowekwa na Nuremberg Trials kwa wanajeshi wa Kijerumani walioua Wayahudi kwa msingi wa kutekeleza amri za wakubwa wao? Unajua kwamba huo utetezi ulitupiliwambali na wakaonekana wana makosa?

Ukitoa utetezi wa baraza la mawaziri lilisema, hivyo nikafanya, huo si utetezi, kamaulichofanya ni kibaya, hapo unakubali umefanya kosa. Ungeweza kujiuzulu kama hukubaliani na uamuzimbaya wa baraza la mawaziri.

Nuremberg trials - Wikipedia
 
Back
Top Bottom