Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,583
Wewe rudi kindergarten ujifunze tofauti ya nonsense na no nonsense kabla ya kujadiliana nami.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Chali, chali kabisa.
Next time mijadala kama hii ya wazi ukitaka kuianzisha lazima uwe umejiandaa, kinyume cha hapo utadhalilika bure, wenye akili wameshajua mbivu na mbichi.
Ukiwa hujui tofauti hiyo nakuona country bumpkin na naweza kuelewa kwa nini unamuunga mkono country bumpkin fonti fedi mwenzako Magufuli.