Wewe rudi kindergarten ujifunze tofauti ya nonsense na no nonsense kabla ya kujadiliana nami.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Chali, chali kabisa.
Next time mijadala kama hii ya wazi ukitaka kuianzisha lazima uwe umejiandaa, kinyume cha hapo utadhalilika bure, wenye akili wameshajua mbivu na mbichi.
Nilijua tu kwamba utafika mwisho uanze kutoa baseless allegations kama hizi, ila wenye akili wameshajua ukweli ulipo, ndiyo faida ya open forums kama hizi, ninauhakika wewe umejifunza zaidi kwamba humu JF kuna vichwa, kwasabu arrogance yako uliyoanza nayo jana, ni tofauti na sasa unavyoelekea kuhitimisha huu mjadala, hii ndiyo faida ya JF, kuelimishana na kusaidiana, mtu yeyote mwenye kuelimika lazima anakuwa humble, hawezi kubaki na kiwango kile kile cha ujeuri alichoanza nacho.Wewe rudi kindergarten ujifunze tofauti ya nonsense na no nonsense kabla ya kujadiliana nami.
Ukiwa hujui tofauti hiyo nakuona country bumpkin na naweza kuelewa kwa nini unamuunga mkono country bumpkin fonti fedi mwenzako Magufuli.
Baseless allegations wakati umeboronga na kumuita Magufuli zumbukuku ukifikiri unamsifia?Nilijua tu kwamba utafika mwisho uanze kutoa baseless allegations kama hizi, ila wenye akili wameshajua ukweli ulipo, ndiyo faida ya open forums kama hizi, ninauhakika wewe umejifunza zaidi kwamba humu JF kuna vichwa, kwasabu arrogance yako uliyoanza nayo jana, ni tofauti na sasa unavyoelekea kuhitimisha huu mjadala, hii ndiyo faida ya JF, kuelimishana na kusaidiana, mtu yeyote mwenye kuelimika lazima anakuwa humble, hawezi kubaki na kiwango kile kile cha ujeuri alichoanza nacho.
Huna sababu ya kutukana, ukweli ni kwamba umeshindwa katika uwanja wa hoja sasa unabaki kuangalia makosa ya lugha, kuna uhusiano gani kosa moja likufanye utoke kwenye mjadala, nimekuambia nimekuwa nikafanya haya makosa ya maandishi tangu jana tulipoanza huu mjadala, na baada ya kutuma text huwa ninayaona, nani aliyekataa kwamba hakuna makosa, au sijatenda makosa katika kuandika?. Tatizo umeishiwa points sasa unatafuta makosa ya lugha, hatupo hapa kurekebishana lugha, mbona wewe unabadilisha herufi kati ya L na R lakini so longo ninakuelewa silifanyi kuwa big deal?, ukweli upo wazi na watu wanaofuatilia wanajua wewe ni mtu wa aina gani?Baseless allegations wakati umeboronga na kumuita Magufuli zumbukuku ukifikiri unamsifia?
Halafu umesahihishwa unakomaa?
Wewe ni mjinga, halafu kibaya zaidi, ukioneshwa ujinga wako, badala ya kumshukuru anayekufundisha ufute ujinga wako, unakuwa mkali na kukataa kwamba wewe ni mjinga.
Hujui tofauti ya nonsense na no nonsense.
Mtu anakuonesha ulipokosea. Kwa ushahidi wa maandishi yako.
Unasema baseless allegations.
Unajua kwamba kwa kauli hii umeyaita maandishi yako mwenyewe kuwa hayana maana?
Huna sababu ya kutukana, ukweli ni kwamba umeshindwa katika uwanja wa hoja sasa unabaki kuangalia makosa ya lugha, kuna uhusiano gani kosa moja likufanye utoke kwenye mjadala, nimekuambia nimekuwa nikafanya haya makosa ya maandishi tangu jana tulipoanza huu mjadala, na baada ya kutuma text huwa ninayaona, nani aliyekataa kwamba hakuna makosa, au sijatenda makosa katika kuandika?. Tatizo umeishiwa points sasa unatafuta makosa ya lugha, hatupo hapa kurekebishana lugha, mbona wewe unabadilisha herufi kati ya L na R lakini so longo ninakuelewa silifanyi kuwa big deal?, ukweli upo wazi na watu wanaofuatilia wanajua wewe ni mtu wa aina gani?
Rudi post yangu namba 176 uone nilivyokuambia kwamba huwa haya makosa ninayaona baada ya kutuma ujumbe na kwamba, wewe onyesha wapi nilipokataa kwamba sijakosea, kwani hapa tunashindania hoja au makosa ya lugha, mbona wewe hujui chochote kuhusu tofauti ya report zinazotolewa na WB/IMF na zile za institutions zingine zinazofanya research za kiuchumi, jambo ambalo ni la msingi sana katika mjadala huu kuliko hilo kosa la lugha, lakini nimekuelewesha na umeelewa na mjadala umeendelea sikukukimbia pamoja na kujua kwamba wewe ni mbumbumbu katika eneo hilo?Nikikwambia ukweli wewe kwa sababu una low capacity for accepting hard truth unaona natukana.
Hoja nitashindana nawe vipi kama hujui tofauti ya nonsense na no nonsense?
Na kama hujui hiyo tofauti, mengine mangapi huyajui?
Unajua tofauti ya up and down? Left and right? Right and wrong?
Wapi umekubali kwamba ulipoandika nonsense ulikosea?
Huwezi kujenga hoja kwa makosa ya lugha.Rudi post yangu namba 176 uone nilivyokuambia kwamba huwa haya makosa ninayaona baada ya kutuma ujumbe na kwamba, wewe onyesha wapi nilipokataa kwamba sijakosea, kwani hapa tunashindania hoja au makosa ya lugha, mbona wewe hujui chochote kuhusu tofauti ya report zinazotolewa na WB/IMF na zile za institutions zingine zinazofanya research za kiuchumi, jambo ambalo ni la msingi sana katika mjadala huu kuliko hilo kosa la lugha, lakini nimekuelewesha na umeelewa na mjadala umeendelea sikukukimbia pamoja na kujua kwamba wewe ni mbumbumbu katika eneo hilo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huwezi kujenga hoja kwa makosa ya lugha.
Hujaonesha ulipokubali kwamba ulikosea. Unarukaruka tu.
Halafu wewe una mawazo ya kizamani kwamba WB/IMF ndio wenye ukweli wote.
Inaonekana hujamsoma John Perkins.
Ndicho ulichobakisha hiki.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiyo ni dalili kwamba huu mjadala umefikia mwisho, tusubiri mada nyingine tukutane huko[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Ndicho ulichobakisha hiki.
Jamaa anaanza kutumia makosa madogo madogo ya lugha ili akimbie mjadala[emoji23]
Umefikia mwisho kwa sababu wewe hujui tofauti ya nonsense na no nonsense na ukifundishwa hutaki kukubali kwamba umekosea.Hiyo ni dalili kwamba huu mjadala umefikia mwisho, tusubiri mada nyingine tukutane huko[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umefikia mwisho kwa sababu wewe hujui tofauti ya nonsense na no nonsense na ukifundishwa hutaki kukubali kwamba umekosea.
Tutajadiliana vipi hapo?
Hiyo ni dalili kwamba huu mjadala umefikia mwisho, tusubiri mada nyingine tukutane huko[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Jana alianza kwa mbwembwe sana na maneno ya kejeli juu ya Magufuli, na kuleta theories zake za uchumi za vijiweni kutaka kuhalalosha chuki yake juu ya Magufuli, lakushangaza mwishoni ameamua kuachana na zile allegations zake dhidi ya uchumi wa nchi, anakumbatia makosa ya lugha, ila mtu mzima akijamba sio vizuri kumdhalilisha, ila wenye akili tunajua mwenzetu amejamba, tunamsitiri[emoji23]ndiyo zake Mr jargons. anaangalia trivial issues anaacha the core agenda.
yeye anajificha nyuma ya misemo akifikiri ndiyo justification.
hajui kwenye jukwaa hili la east African hatuangalii lugha ya malkia, sijui kiyunani, kilatini, kigiriki au hata lugha za malaika. sisi twaangalia facts and figures tu.
nashukuru kwa kuifanya kazi hiyo vizuri.
The best conclusion of this discussion[emoji120] [emoji120] [emoji120]nashukuru kwa kufunga mjadala huu kwa ushindi mkubwa. the point of departure ni kuwa the Tanzanian economy is doing good with bright future. coz no evidence to prove otherwise.
those who are arguing that the economic adversity is around the corner, are just wishful thinkers, since have no any justifiable assertion.
Moja ya sababu tunakuwa masikini ni ku minimize mambo muhimu na kuyasema kama trivial issues.ndiyo zake Mr jargons. anaangalia trivial issues anaacha the core agenda.
yeye anajificha nyuma ya misemo akifikiri ndiyo justification.
hajui kwenye jukwaa hili la east African hatuangalii lugha ya malkia, sijui kiyunani, kilatini, kigiriki au hata lugha za malaika. sisi twaangalia facts and figures tu.
nashukuru kwa kuifanya kazi hiyo vizuri.