Looking for a friend/future partner/sponsor

Looking for a friend/future partner/sponsor

Haha, mimi nakuelewa. Tatizo kingereza chake na mpangilio wa mawazo vina ukakasi,, ila hajui na hajui kama hajui!! Anataka phd kama faru john,, matusi kwa taaluma
Relax hapa sijaja kupimwa uelewa, stick to the main point.
 
Yani huko kote ulikopita hujapata mtu had unakuja kusaka humu jf ... inaonekana ushaitembeza sana ... kwataarifa yako humpati boya wakukutia humu [emoji57]
 
Yani huko kote ulikopita hujapata mtu had unakuja kusaka humu jf ... inaonekana ushaitembeza sana ... kwataafifa yako humpati boya wakukutia humu [emoji57]
I undestand how it feels pale ambapo unakosa vigezo so take it easy!!
 
Yani huko kote ulikopita hujapata mtu had unakuja kusaka humu jf ... inaonekana ushaitembeza sana ... kwataafifa yako humpati boya wakukutia humu [emoji57]
Maliza kwanza shule halafu uache kumendea hela za shem wako, utaolewa wewe!
 
Professional=professionalism
Naona umeacha mada kuu umeenda kwenye grammar, embu rudi kasome kuhusu profession, professionalism, na professional usome yatumika katika context gani halafu urudi.
 
Professional=professionalism
And remember the one is adjective na nyingine noun so go and read wapi yanatumika na katika mazingira gani. Halafu utunge na sentensi kama mbili kwa kila neno, then ufananishe na hiyo ya kwangu.
 
And remember the one is adjective na nyingine noun so go and read wapi yanatumika na katika mazingira gani. Halafu utunge na sentensi kama mbili kwa kila neno, then ufananishe na hiyo ya kwangu.
haupo serious
 
Binti mimi ndio sijakuelewa au nini, hebu nifafanulie kidogo nielewe.

Unataka mfadhili wa Phd yako au unataka mpenzi ambae badae aje akufadhili phd yako.

Kuna mahala umesema kama atakufadhili phd basi hutamcheat, je asipofadhili utamcheat?

Nisaidie hapo mama angu.
 
Hujanielewa sijahitaji mtu wa kunifadhili Phd, nimesema kama akatokea atakaekubali kuwa mpenzi basi aniruhusu kujiendeleza huko mbeleni as i have planned, Sponsor niliyomaanisha hapo siyo uliyoielewa!
 
Back
Top Bottom